Ukatili na Unyama wa Mbunge wa CCM Singida Magharibi, Elibariki Kingu wailiza jamii

Alipeleka

vitanda vya wagonjwa jimboni kwa lisu wakati lisu anaumwa!
Watu wa singida bhana!
Ndio tabia ya waovu.
Hutanguliza misaada kuficha uovu wao.
Kitendo cha kupeleka misaada kwenye jimbo lisilo lake ilikuwa mbinu ya kuonyesha Lissu sio chochote.

Hivi unaujia umasikini wa Singida magharibi?
Umewahi kusikia amesaidia kitu gani?
 
Ninyi watubwa Ikungi ni wapole sana hata cha kumfanya huyo mbunge hamjui? Mnamchekea tu anazidi kuumiza ndugu zenu na uenda kuna aliowaua kabisa. Ushenzi huu mnauvumilia vipi?
 
Siasa ni vita!?
WanaCCM wa kizazi hiki ndio mnaona siasa ni vita kwa sababu hamna uwezo wa kujenga hoja.
Mawazo aliwazidi kwa hoja mkaona mtumie mapanga.
Lissu mkatumia risasi.
Kuonyesha vidole viwili ni kosa la kumpa mtu ulemavu!!??
 
Ni kweli sisi wenye tunalijua hili tukio na wahusika ni Kingu mwenyewe, Karibu wake aitwaye Muna, Mwenyekiti wa UVCCM kata ya Puma, green guard kadhaa ndio walitaka kumuuwa Petter. Kingu ni zaidi ya muuwaji
 
Wanaharakati wa haki za binadamu na wenye uwezo tunaweza kumsaidia huyu ndugu binafsi nimeguswa na hili kwakweli
 
Jeshi la polisi mnaweza kumkamata huyu mbunge ashtakiwe mahakamani na amtibie mgonjwa. Siyo yeye anakula kiyoyozi kwa damu za watu.
 
Ni kweli sisi wenye tunalijua hili tukio na wahusika ni Kingu mwenyewe, Karibu wake aitwaye Muna, Mwenyekiti wa UVCCM kata ya Puma, green guard kadhaa ndio walitaka kumuuwa Petter. Kingu ni zaidi ya muuwaji
Endeleeni kulea ujinga huu na maumivu yatazidi kwa nguvu sana.
Watu mnawajua, kama Polisi hawatoi ushirikiano kwa nini msiwafanye kama mfanyiavyo vibaka?
Mbona kupiga vibaka waibq kuku hamuombi kibali polisi? Yaani mnaona kuku anathamani kubwa kuliko binadamu?
Chezesheni Kichapo kwa Kingu, Muna au Suphian Juma maana ndio wote wahalifu wasiojali wengine kwa vile hawaiungi mkono ccm.
 
So hata Ofisini ukinyimwa mshahara usi complain coz bosi akikufanyizia ukatupwa jela Mama Yako ndio atateseka kukutoa?

Don't justify upuuzi, huwezi halalisha uhalifu eti kisa tu Mama Yako ndio atahangaika!! Kwani Mbowe alipowekwa ndani kuna mwana chadema aliingia naye? Au Lissu alivyopigwa risasi kuna mwana Chadema alipigwa naye?

Ukishaamua kuingia kwenye power struggle hizo risk hazikwepeki lakini huwezi justify watu kushindwa kupractice demokrasia eti kisa unaji expose kwenye risk!! Toka lini haki ya kikatiba ikawa risk?
 
Kingu muuwaji tu huyu.Mnalawiti mwanaume mwenzio ni akili hizi au ushirikina tu huu?
 
Kingu muuwaji tu huyu.Mnalawiti mwanaume mwenzio ni akili hizi au ushirikina tu huu?
Hao ndio vijana wa Magu kama alivyokuwa Sabaya. Lakini badala ya kusubiri eti sheria itakuja kumfundisha anapaswa afundishwe yeye mwenyewe au kupitia wanaomhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…