Ukatili na Unyama wa Mbunge wa CCM Singida Magharibi, Elibariki Kingu wailiza jamii

Huyu Kingu inaonekana ni Katili sana. Hata matamshi yake ukiyasikia utashangaa.
 

Hukumu unayotoa wewe kwa kuskia upande mmoja tu huoni inakufanya nawe uwe mkatili. Afu haya mambo ya dhambi na uovu Ni nani atasimama na kusema mimi Simo? Au kwa kuwa hatujulikani? Mtu anyoshe tu vidole ndo ateswe hivyo? Kuna mtu kaandika jamaa anapenda sana ngono, Labda Hapo angesema jamaa kachukua Mali ya mzee anyohudumia (kimasihara).
 
Enzi za Mwendazake hawa vijana walikuwa kama Chui wanalarua kila kilicho mbele yao.
 
Kwa habari za Kingu ni sawa na Sabaya. Habari zake mbaya zimekuwa zikiripotiwa mara kwa mara kwenye vyombo vya habari na kijamii. Siyo mara ya kwanza.

Hata kama kwa hili amesingiziwa lakini ana mengi mabaya tu.
 
Huyu Kingu Kama ametenda haya basi namshtakia kwa Mungu lolote limpate baya au jema kadri alivyomtendea mwenzake na kadri mwenzake anavyopata shida basi mkono wowote uliochangia mateso ha uyo jamaa basi nao yawafike
 
Nchi hii sasa ni kila mtu apambane na hali yake....

Ukiongea utateswa na hakuna la maana utalofanya.
 
Duh, na huyo mbunge bado yupo anapita mnamwangalia tu? Ninyi ni wapole sana lakini mimi huwezi kuniumizia ndugu yangu kiasi hiki nikakuacha salama. Nitakuwinda kama ndege popote pale, huu ni unyama siwezi kukuacha salama.
Mimi kama wewe aseeee,

Yaaan umuumize ndugu Halafu mimi nihangaike kumtibu Halafu nikuache tu unadunda?

Haki ya Mungu
 
Hajaoa,anatembeaga na vitoto vya form four
 
Ushauri wa bure: Tit for tat, ikiwa huyu mwanaharam ana familia yake, iwe mke, watoto au yeyote mwenye ana shea damu naye wafanyiziwe kwanza afu baadae ndo afuate kufanyiziwa huyo mbunge feki.

Baya litalipwa kwa baya, hawa watu waovu tumeshawachoka sasa kila siku wao tu.

Nipo Singida naomba nielekezwe taarifa zaidi kumhusu huyo mwanaharam, familia yake na wapi naweza kuwapata, bila malipo!
 
Ndio tabia ya waovu.
Hutanguliza misaada kuficha uovu wao.
Kitendo cha kupeleka misaada kwenye jimbo lisilo lake ilikuwa mbinu ya kuonyesha Lissu sio chochote.

Hivi unaujia umasikini wa Singida magharibi?
Umewahi kusikia amesaidia kitu gani?
Vile vitanda vilienda kupigwa picha tu vikarudi.
Singida Magharibi Hanna hata sehemu ya kupeleka hivyo vitanda.

Jamaa aliwahi kumchezea mama mchezo kipindi bado vice kwa kumwambia azindue vitanda vya mabweni ya shule ya sekondari utaho kwaajili ya wasichana, lakini ukweli hata utaho hamna hata Chumba moja Cha bweni
 
Ni mtu wa hovyo mnoo
 
Hakuna hata Mbunge mmoja wa kupeleka hoja huyu mtu achukuliwe hatua za kinidhamu au huu utaratibu haupo?
 
Hivi ndugu wa huyo mwanachadema hawana vitendea kazi?,panga,nyundo,shoka,rungu,upinde na mishale nk
Basi tumieni hata mbinu nyingine
Aisee kama ni mimi ndugu yangu kafanyiwa hivyo baada ya siku tatu mngezika huyo anayejiita elibarik kingu.
 
Huyu mpuuzi na bado anaitwa mheshimiwa!
Hivi kweli hii ni halali kweli?
Hivi haya mambo hadi lini jamani?
mapolisi wetu ndio hao tena hata kuchukua hatua hakuna, mbona uonevu mkubwa hivi?
Please please wananchi wote tuinuke kulaani huu upuuzi na tumsaidie huyu raia hadi sheria ichukue mkondo wake.
 
Huyu bwana aliyejeruhiwa anazidi kuumia zaidi na zaidi. Mpaka sasa sijawasikia CHADEMA wakitoa taarifa rasmi (kama ipo itakuwa wamefanya vizuri) ni namna gani atapatiwa huduma kwa haraka sana. Badala yake huko "tweeter" naona tu baadhi ya viongozi na wanachama maarufu wa CHADEMA nao wameingia kwenye mkumbo wa kulalamika tu sijui mtuhumiwa akamatwe mara ashtakiwe. Kama chama hakina uwezo wala fungu la kuhudumia wahanga kama hawa hivi kweli wameshindwa walau hata kuhamasisha wasamaria wema wamchangie? Hata jambo dogo kama hili linashindikana vipi kwa chama kkikubwa kama CHADEMA.

Hayo masuala ya sijui nani kampiga kamsababishia hayo matatizo sijui kwa sababu ya kuinua vidole viwili juu kwa sasa sio muhimu kabisa lililo kubwa na la muhimu kwa sasa ni huyo mgonjwa apate huduma haraka sana iwe kwa fedha za CHAMA au kuhamasisha raia wema wamchangie. Hayo mengine yaje baadae wakati mtu ameshapata matibabu. Nakaa najiuliza hivi wakati Lisu anapata matatizo wale waliokuwa karibu pale Dodoma wangeanza mjadala badala ya kumuwahisha Nairobi leo hii Lisu angekuwepo? CHADEMA muwahisheni huyo mgonjwa hospitalini kwanza hayo mengine ya mashataka/uchunguzi yaje baadae vinginevyo mnavyoendelea kumuacha bila matibabu mnawafikirisha sana makamanda wenu walio mstari wa mbele kukipambania chama chenu.

Kwa CHADEMA kuchelewa kuingilia kati matibabu ya huyu mgonjwa na hata hali ilivyokuwa kwa kuchelewa kumchangia Profesa J kwa kweli inawapasa wabadilike haraka sana vinginevyo makamanda watakuwa wanajiuliza mara mbili mbili ikifika wakati wa kukipambania chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…