Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015


ukiwa chadema na akili yako inavia
 

Wakati CCM wanaunda serekali ya mseto Zanzibar katiba ili kuwa inaruhusu?.
 
CUF wakipiga kampeni sehemu wanakokubalika zaidi,CHADEMA nao wakipiga kampeni sehemu wanako kubalika zaidi na UKAWA wengine wakifanya hivyohivyo kumpigia kampeni mgombea waliye mpitisha lazima CCM ing'oke.
 

hongera mkuu" tatzo la inchi viongoz wezi" raia wataachaje kuwa wezi?
 

Katiba ya six inaruhusu mgombea binafsi. je! akishinda ataunda serikali na nani?
 
Hilo litakuwa pigo kubwa sana kwa chama cha kifisadi,ccm.
Itawabidi ccm nao kushirikiana na UDP,TLP,ACT,ADC,TADEA etc
Hongereni sana UKAWA.Endeleeni hivyohivyo.

Hivyo vyama ulivyosema vijiunge na CCM kwani vipo? Hivyo ni viongozi tuu ambao wapo ndio maana hata uchaguzi wa ndani haupo.
 
Hivi kumbe tayari tuna katiba mpya?

Hawajielewi hao! Hawajui kuwa hiyo katiba pendekezwa inaenda kufia Kibanda Maiti. Hapo ndio inaenda kubatizwa kuitwa "Katiba Maiti"
 

Pole sana, Unaonekana kuwa mshabiki wa kitu usichokijua. Inasikitisha sana.Try to find the Knowledge hata ya hiyo katiba.
 

Usiumizwe kichwa,wanaopinga ni CCM wasiopenda umoja wa wapinzani.
 
Kuungana kama UKAWA sio jambo la msingi sana,kwasababu UKAWA(UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI) sasa wanansimamisha mgombea ili awe raisi au ili akalete katiba mpya;
Mtu anaweza akawa mteteaji na muandishi mzuri wa katiba lkn anaweza kuongoza nchi kama TZ.
UKAWA wabaki kama UKAWA na ihusu mambo ya katiba na mgombea URAISI awe kama mgombea URAISI....
 
Lipumba, Mbatia, Dr.Slaa anayefaa hapo ni Mbatia peke yake. Mbowe hana vigezo elimu inamuangusha.

1. Harry S. Truman
(1945-1953)

2. Abraham Lincoln
(1861-1865)

3. George Washington
(1789-1797)

Hao wote never graduated lakini uliza Wamarekani kati ya best presidents they ever had uone kama utawakosa hao kwenye list.
 
Tamaa na uroho wa madaraka. Ilikuwa umoja wa katiba sasa ni umoja wa urais

Ni kweli kabisa! huu uroho na tamaa ya madaraka ni kitu kibaya sana miaka 50 unatawala mwenyewe tu ni bora na wengine watumie falsafa ya "UMOJA NI NGUVU" labda hawa huenda wakatuongoza badala ya kututawala kama ilivyo sasa ni miaka 50 tunatawaliwa!
 
Mwenyekiti mweza wa ukawa pr ibrahimu lipumba ametangaza kusimamish mgombea mmoja wa urais mwaka 2015.pr lipumba ametangaza hayo akiwa anawahutubia maelu ya watu mkoani mtwara

Good move to us. They should walk the talk and not otherwise.
 
CUF wakipiga kampeni sehemu wanakokubalika zaidi,CHADEMA nao wakipiga kampeni sehemu wanako kubalika zaidi na UKAWA wengine wakifanya hivyohivyo kumpigia kampeni mgombea waliye mpitisha lazima CCM ing'oke.

Ndoto za ALINANACHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…