Mbona baba yako bwabwa lakini kapewa udiwani?mbatia
?
hatuwezi kumpa nchi mbwabwa yule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona baba yako bwabwa lakini kapewa udiwani?mbatia
?
hatuwezi kumpa nchi mbwabwa yule
Sasa kamanda sisi UKAWA tumsimamishe nani ndiyo mumkubali?mbatia
?
hatuwezi kumpa nchi mbwabwa yule
Asiye na Elimu nani? kama ni mbowe poleni sana, ana Masters ya kusomea, profesa Lipumba ni pro. wa kusomea na alitoa jasho, Dr. slaa, alisomea darasani na alitoa jasho kuupata udaktari, Je. Dr. kikwete alisomea wapi?
Kwanza mlikosea sana bunge la katiba, mngesema kama ni Dr. au prof. lazima ausomee...
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya UKAWA.Ukawa wanataka serikali tatu sio moja! Leo ghafla wameibuka wanaungana kuleta mgombea uraisi mmoja! Haya wee!! Haya twende kwenye katiba ya nchi je inaruhusu vyama kuungana na kuteua mgombea mmoja wa uraisi? Hivi UKAWA wanasoma katiba au huwa wanashinda kwenye viroba na bia za kilimanjaro? Yaani profesa mzima hajui katiba ya nchi inasemaje kuhusu hilo? Hata wakiungana katiba ya nchi inaruhusu kuunda serikali ya mseto wa vyama vingi?
UKAWA tulipowaambia wabaki bunge la katiba walifikiri tunaowashauri wajinga.Lakini tulikuwa serious ili mambo kama haya walitakiwa wabaki ndani kuyajadili kwa undani.Sasa huyo mgombea hata akipita hawezi unda serikali ya kushirikisha vyama vingine!!! Lipumba kwa kuchemka hajambo.Nashukuru hayuko tena chuo kikuu angelisha pumba watoto.
Katiba mpya ndiyo inasema hivyo mgombea urais lazima awe na elimu ya chuo kikuu.
watanzania wengi hapa mtandaoni watu wapumbavu sana!.Lipumba kama kiongozi wa kisiasa amesema kuwa umoja wao wa ukawa itamsimamisha mgombea mmoja wa urais....sasa hiyo ni hoja ambayo nchi yenye watu wenye akili wanaijadili kwa faida ya nchi but hapa Tanzania ni kinyume watu wanakaa ktk mitandaoo na kuanza kukebehi!.....kukebehi hausaidii nchi bali unabomoa nchi bali kujadili ni faida na matunda kwa nchi......hizi ndizoa akili za watu wengi hapa TZ,Ambapo gari la petroli inapata ajali na mafuta inamwagika na watu wenye akili zao wanakimbilia kwenda kuiba!yamewapata fresh....aibu gani kwaviongozi wa nchi kuwa na jamii mijizi namna hii....nchi hii inakwenda kuangamia....maana sasa hivi ukipata ajali hapa TZ hakuna msaada bali ujue umetapa balaa nyingine ya kumalizwa kabisa!......ndiyo nchi ilipofikishwa maana hatukuwa hivi!.TUMEKWISHA.
Ukistaajabu ya
Musa utayaona ya UKAWA.Ukawa wanataka serikali tatu sio moja! Leo ghafla
wameibuka wanaungana kuleta mgombea uraisi mmoja! Haya wee!! Haya
twende kwenye katiba ya nchi je inaruhusu vyama kuungana na kuteua
mgombea mmoja wa uraisi? Hivi UKAWA wanasoma katiba au huwa wanashinda
kwenye viroba na bia za kilimanjaro? Yaani profesa mzima hajui katiba ya
nchi inasemaje kuhusu hilo? Hata wakiungana katiba ya nchi inaruhusu
kuunda serikali ya mseto wa vyama vingi?
UKAWA tulipowaambia wabaki bunge la katiba walifikiri tunaowashauri
wajinga.Lakini tulikuwa serious ili mambo kama haya walitakiwa wabaki
ndani kuyajadili kwa undani.Sasa huyo mgombea hata akipita hawezi unda
serikali ya kushirikisha vyama vingine!!! Lipumba kwa kuchemka
hajambo.Nashukuru hayuko tena chuo kikuu angelisha pumba watoto.
Hilo litakuwa pigo kubwa sana kwa chama cha kifisadi,ccm.
Itawabidi ccm nao kushirikiana na UDP,TLP,ACT,ADC,TADEA etc
Hongereni sana UKAWA.Endeleeni hivyohivyo.
Lipumba, Mbatia, Dr.Slaa anayefaa hapo ni Mbatia peke yake. Mbowe hana vigezo elimu inamuangusha.
Hivi kumbe tayari tuna katiba mpya?
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya UKAWA.Ukawa wanataka serikali tatu sio moja! Leo ghafla wameibuka wanaungana kuleta mgombea uraisi mmoja! Haya wee!! Haya twende kwenye katiba ya nchi je inaruhusu vyama kuungana na kuteua mgombea mmoja wa uraisi? Hivi UKAWA wanasoma katiba au huwa wanashinda kwenye viroba na bia za kilimanjaro? Yaani profesa mzima hajui katiba ya nchi inasemaje kuhusu hilo? Hata wakiungana katiba ya nchi inaruhusu kuunda serikali ya mseto wa vyama vingi?
UKAWA tulipowaambia wabaki bunge la katiba walifikiri tunaowashauri wajinga.Lakini tulikuwa serious ili mambo kama haya walitakiwa wabaki ndani kuyajadili kwa undani.Sasa huyo mgombea hata akipita hawezi unda serikali ya kushirikisha vyama vingine!!! Lipumba kwa kuchemka hajambo.Nashukuru hayuko tena chuo kikuu angelisha pumba watoto.
watanzania wengi hapa mtandaoni watu wapumbavu sana!.Lipumba kama kiongozi wa kisiasa amesema kuwa umoja wao wa ukawa itamsimamisha mgombea mmoja wa urais....sasa hiyo ni hoja ambayo nchi yenye watu wenye akili wanaijadili kwa faida ya nchi but hapa Tanzania ni kinyume watu wanakaa ktk mitandaoo na kuanza kukebehi!.....kukebehi hausaidii nchi bali unabomoa nchi bali kujadili ni faida na matunda kwa nchi......hizi ndizoa akili za watu wengi hapa TZ,Ambapo gari la petroli inapata ajali na mafuta inamwagika na watu wenye akili zao wanakimbilia kwenda kuiba!yamewapata fresh....aibu gani kwaviongozi wa nchi kuwa na jamii mijizi namna hii....nchi hii inakwenda kuangamia....maana sasa hivi ukipata ajali hapa TZ hakuna msaada bali ujue umetapa balaa nyingine ya kumalizwa kabisa!......ndiyo nchi ilipofikishwa maana hatukuwa hivi!.TUMEKWISHA.
Lipumba, Mbatia, Dr.Slaa anayefaa hapo ni Mbatia peke yake. Mbowe hana vigezo elimu inamuangusha.
Tamaa na uroho wa madaraka. Ilikuwa umoja wa katiba sasa ni umoja wa urais
Mwenyekiti mweza wa ukawa pr ibrahimu lipumba ametangaza kusimamish mgombea mmoja wa urais mwaka 2015.pr lipumba ametangaza hayo akiwa anawahutubia maelu ya watu mkoani mtwara
CUF wakipiga kampeni sehemu wanakokubalika zaidi,CHADEMA nao wakipiga kampeni sehemu wanako kubalika zaidi na UKAWA wengine wakifanya hivyohivyo kumpigia kampeni mgombea waliye mpitisha lazima CCM ing'oke.