CCM was the best for him to win this thing(ingawa hakuwa na nafasi pia). Hata kama akiendea nje ya CCM hawezi kushinda kwa sababu;
1. Kwenda nje ya chama kwa kuwa tu amekatwa tafsiri ni kuwa si muumini wa 'demokrasia' , simply ni mbabe na anachotaka lazima kiwe.(Hii itafanya ashindwe kuuzika kwa wananchi)
2. Kuhamia chama kingine (nje ya CCM) ,chenye sera na ilani tofauti na CCM, ni kuibua maswali muda wote huo alikuwa wapi kama aliamini sera hizo(za chama kipya) kama si unafiki!
3.Kuhamia chama kingine(ni kutaka urais tu, otherwise angebaki tu CCM), chama gani kitakubali makapi ya CCM yawe "cream" ya chama?
4. Wafuasi wengi walimuamini kama "anaweza" kuleta mabadiliko akiwa ndani ya CCM na si nje.
5. Baada ya 'kukatwa' na kuwatelekeza mashabiki/wafuasi wake Dodoma wakiwa hawajielewi hakuna atakayemuamini.
So kwa sababu hizo huu ni mwisho wa Lowassa(wether ni ndani au nje ya CCM).