UKAWA wakicheza na hii fursa imekula kwao sababu wakimweka lowassa ndani CCM imekufa rasmi.
MMhmm!
1. Lowassa agombee urais kupitia CHADEMA.
2. Prof. Lipumba agombee Umakamu wa Urais.
3. Dr. Slaa akagombee ubunge ili aje awe waziri mkuu.
Tuache uoga na wongo jamani mtoa hoja ana hoja. Wanaukawa tulizeni akili. Lowassa alishatoa changamoto kuwa mwenye ushahidi na ufisadi alioufanya atoke hadharani. Tatizo la Dr Slaa ni kuwa alishamuweka kwenye list of shame hivyo hataki kula matapishi yake
Sawa mkuu hapo umenikumbusha kuwa kwenye siasa hakuna uadui wa kudumu wala urafiki wa kudumu. Maadui wakubwa wanaweza kuwa marafiki wakubwa na marafiki wakubwa wanaweza kuwa maadui wakubwa. Slaa akituliza akili anaweza kuelewa hilo. Nani alijua kuwa ZZK na Mbowe au CHADEMA watakuja kuwa na uhusiano wa Yuda na Yesu? Nani alijua Mrema atakuja kumuunga mkono JK hadi afikiriwe kurudishiwa mafao yake? Hiyo ndiyo sihasa!Mbona JK naye alimweka kwenye list of shame na bado aliweza kumtembelea Ikulu na kunywa naye Juice? Dr. Slaa naamini hana shida katika hilo, kwani hata yeye amekuwa akihubiri siku nyingi kuhusu mdudu CCM.
Mkuu kusafisha Lowasa ni kazi ndogo tu ni hivi "NDG WANANCHI LOWASA SI FISADI ILA ALIBEBESHWA MZIGO WA DHAMBI WA CHAMA ILI CHAMA CCM KIENDELEE KUTAWALA,ILA UKWELI NDG WANANCHI SISI KAMA UKAWA TULIKUWA TUNAMCHAFUA NDG LOWASA ILI CCM WAMWACHIE AJE HUKU UPINZANI TUENDELEZE MAPAMBANO YA KUKING'OA HIKI CHAMA KONGWE,PIA NDG WANANCHI KUMBKENI SIASA NI MCHEZO WA KIHUNI HIVYO TULIMUHTAJI SANA LOWASA AONGOZE MAPAMBANO HAYA KWANI LOWASA NI MTU SAFI,SAHIHI,TUNAMPENDA NA TUNAMUAMINI ATATUPELEKA KTK MABADILIKO YANAYOTARAJIWA NA UKAWA" hili ndio dodoki pekee la UKAWA kwa lOWASA mkuu!!
CCM was the best for him to win this thing(ingawa hakuwa na nafasi pia). Hata kama akiendea nje ya CCM hawezi kushinda kwa sababu;
1. Kwenda nje ya chama kwa kuwa tu amekatwa tafsiri ni kuwa si muumini wa 'demokrasia' , simply ni mbabe na anachotaka lazima kiwe.(Hii itafanya ashindwe kuuzika kwa wananchi)
2. Kuhamia chama kingine (nje ya CCM) ,chenye sera na ilani tofauti na CCM, ni kuibua maswali muda wote huo alikuwa wapi kama aliamini sera hizo(za chama kipya) kama si unafiki!
3.Kuhamia chama kingine(ni kutaka urais tu, otherwise angebaki tu CCM), chama gani kitakubali makapi ya CCM yawe "cream" ya chama?
4. Wafuasi wengi walimuamini kama "anaweza" kuleta mabadiliko akiwa ndani ya CCM na si nje.
5. Baada ya 'kukatwa' na kuwatelekeza mashabiki/wafuasi wake Dodoma wakiwa hawajielewi hakuna atakayemuamini.
So kwa sababu hizo huu ni mwisho wa Lowassa(wether ni ndani au nje ya CCM).

Mi nafikili wakuu watakua wameliona hilo na watalichambua kwa kina, unajua si jambo lahisi kuubeba mzigo alio ubeba ilhali hana kosa lolote na kama alikubali tujitwisha mzigo huo ili afiche maovu ya wengine, mi nafikili lazima wangelipa fazira kwa mabaya aliyo wabebea.Wananchi gani? na kumsafisha kwa lipi? Je kuhusu Richmond unakumbuka Mwakyembe alisemaje bungeni? ni kwanini hakusema yote? Muulizeni awaambie, je zaidi ya Lowassa ni nani alitia mkono kwenye Richmond?
Lowassa haitaji kusafishwa na hakika hii nafasi UKAWA wasiache hata kidogo.
CCM wamemkataa EL kwa sababu maadili yake yamepelea. Sasa kama hiyo ni mizengwe basi tupo pamoja...na aende huko ukawa ambako maadili "sio kigezo".Kumbe unajua kama kuna mizengwe? Sasa unahoji nini Lowassa kutokuingia 5 bora?
Huoni kama napo ilifanyika mizengwe pia?
Kwanza ukae ukijua taratibu za kumpata mgombea wa CCM zilikiukwa.Ulitakiwa uanze mkutano mkuu wa kupendekeza majina matano ya kuingia kamati kuu ili yatoke majina matatu ya mwisho.
Lakini kilichofanyika ni vice versa na ndio mizengwe yenyewe iliyotumika kumkata Lowassa jina.
Viongoz wa ukawa chondechonde hii ni nafas hadhim sana kuwai kutokea fanyeni hvyo tafadhal kwa maslah mapana ya mama Tanzania by Mbatia voice
Uko sahihi mkuu.