Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Kama samaki aliyechina
km ndio hivo hakuna ambaye hajijui
..mtu kwapa lako tu likiwa na kijasho unasikia sembuse samaki aliyechina?...basi tunawafanyiaga makusudi...hata hivo mmezidi[emoji12]
 
Hahahaaa....
 
em toa ufafanuzi kidogo hiyo harufu ya shombo ka, samaki huwa inasababishwa na nini? ama ni ugonjwa gani unapelekea kusmell hivo?
Bacteria vaginosis ndio sababu kubwa ya shombo la samaki. Ukimeza secnidazole 2gm kwa mkupuo kwisha habari yake.
 
daaah yaani unaongea kwa uzoefu kabisaa bila kupekecha hongera kwa kupokea mwitangio aina mbali mbali na uji wa kangara kwa wingi.
 
Malalamiko ni mengi siku hizi shida ni nini??
Sijui ni kuongezeka kwa joto duniani?? Au shughuli za utafutaji watu wanakosa muda wa kunywa maji mengi na kujiswafi?? Au kufanya mapenzi holela kunapelekea kujibebea magonjwa mbalimbali ikiwemo fangasi na aina zingine za magonjwa ya ngono?? Au ni unywaji holela wa dawa za antibiotics ambazo zinapelekea kuua vijidudu vya uke vyenye faida na kusababisha maambukizo ya mara kwa mara katika njia ya mkojo??? Sababu zipo nyingi tuu nyingi kubwa kabisa ni life style ya mtu.
 
Kwani wao hawana pua???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…