Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Hahahahaa nimechek ww cha kufanya mpe maneno matamu ya mahaba hata kama unamdanganya muweke karibu zaid kwa kumpet alafu baadae mtumie sms mwambie baby acha kutuchanganya wanaume wengi inapelekea k yako kunuka utaona next time haitanuka [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahaaa....
 
Huyo mwanamke anatumika sana ana mchanganyiko wa shahaw mbalimbali za wanaume amechacha ulivyoingia tu ukachokonoa mishahawa ya wenzio na unajua sababu ya harufu ni shahawa za wanaume [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
daaah yaani unaongea kwa uzoefu kabisaa bila kupekecha hongera kwa kupokea mwitangio aina mbali mbali na uji wa kangara kwa wingi.
 
Malalamiko ni mengi siku hizi shida ni nini??
Sijui ni kuongezeka kwa joto duniani?? Au shughuli za utafutaji watu wanakosa muda wa kunywa maji mengi na kujiswafi?? Au kufanya mapenzi holela kunapelekea kujibebea magonjwa mbalimbali ikiwemo fangasi na aina zingine za magonjwa ya ngono?? Au ni unywaji holela wa dawa za antibiotics ambazo zinapelekea kuua vijidudu vya uke vyenye faida na kusababisha maambukizo ya mara kwa mara katika njia ya mkojo??? Sababu zipo nyingi tuu nyingi kubwa kabisa ni life style ya mtu.
 
Kwa wengine ni ugonjwa , dawa moja kubwa sana inaondoa hiyo kitu, mwanamke mwenye harufu anakamua maji ya majani ya migomba ambayo yana rangi ya njano, maanake ni majani ambayo yameanguka pembeni mwa mwa mgomaba anamiminia kidogo ukeni, yanatibu kabisa harufu, Mwenye tatizo hili ajaribu atapona, ANGALUZO: sisi wanaume tuwaambie ukweli wanawake kwamba wana harufu mbaya ili wajue changamoto hii
Kwani wao hawana pua???
 
Back
Top Bottom