Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,368
wakuu habari za kazi , habari za Shughuli na vinginevyo wazee tusaidiane kupata ufafanuzi: uchi was mwanamke unasababishwa na nini kuwa na harufu? tens eakati mwingine mbaya ya ajabu! ukishiriki ngono na mwanamke kama Hugo! week unaoga harufu haiishi!
Inaweza kua protozoa infections na cuplit wa hili ni Trichomonas vaginalis na husababishwa na kuchagia taulo sana sana zile za guest au Kuoga katika swimming pools za Umma na kwa hapa mwanamke na mwanaume lazima mtibiwe
Au wakati mwingine ni Fungal infections na hii huitwa Vaginal Thrush na hutokea iwapo mwanamke anajisafisha sana ukeni(Douching) na sabuni zilizo medicated hivo kuua Normal flora(bacteria wanaobidi wawe ukeni) hivo bacteria wakifa huwapa nafasi Fungus haina ya Candida albicans kuota
Na hii huweza kutokea mpaka mdomoni kwa watu wenye mfumo wa kulinda mwili lege lege(Immune compromised patients)
Nenda hospitali au kama unaogopa basi jaribu Metronidazole kwa Trichomoniasis au Clotrimazole kwa Vaginal thrush au combinations lkn usinywe bila ushauri wa mtaalamu maana kuna Contraindications kadhaa hapa
E.g Clotrimazole ukichanganya na pombe utapata side.effects