Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Usafi kwanza! samahani lakini,huyo mtarajiwa wako je anajisafisha vizuri ikulu yake? yani mpaka ndani au anamwagia maji tuu kama bustan? yani na wish nifunguke zaidi ili unielewe lakini siwezi ila utakua umenielewa...
 
Miaka yote hiyo unavumilia tu.......kweli umempenda mrembo wako.
 
Habarini wakuu popote mlipo.
Tukiachana na urembo walionao wanawake hasa wa kisasa kutokana na teknolojia na mambo mengine lakini kuna vitu vingine ambavyo unaweza kukutana navyo na ukaona kuwa urembo sio kitu ila kitu ni ile mali aliyonayo mrembo husika.
Twende kwenye mada sasa,
Ni kwamba ilikuwa mwaka 2010 nilipokutana na mtoto mrembo ambaye alifanikiwa kuuteka moyo wangu kwa kiasi kikubwa na kusababisha nianze kutangaza nia kwa kasi ya ajabu.
Miezi 3 baadae baada ya mgomo baridi nikafanikiwa kulipata hilo jimbo.
Kwakweli nilifurahi sana na kujiona ni wa pekee katika uso wa hii dunia.
Tukapanga mikakati ya kufunga hadi pingu za maisha.
Sasa siku ya kwanza kula tunda nilisikia harufu kali na nzito sana ikiambatana na vitu vyeupe vikitoka sehemu zake za G spot.
Nikamuuliza baby vp mbona hivi akaniambia mi kawaida wala usijali yataisha.
Lakini wakuu huyu mtoto mpaka leo bado ana tatizo hili na mm nimempenda toka moyoni na ninampango wa kumuoa kwa sababu anatabia njema na ndugu zangu wamemkubali.
Naombeni ushauri kama kuna uwezekano wa kupata tiba au hata njia za asili ili mkr wangu huyu mtarajiwa aweze kupona na mm niweze kufurahia tunda lake vizuri.
Natanguliza shukrani.
Anajisafisha vizur had ndani?kama jibu ni ndio basi mpeleke hospital huenda na tatizo
 
Usafi kwanza! samahani lakini,huyo mtarajiwa wako je anajisafisha vizuri ikulu yake? yani mpaka ndani au anamwagia maji tuu kama bustan? yani na wish nifunguke zaidi ili unielewe lakini siwezi ila utakua umenielewa...
Yawezekana hilo nalo nenooo maana wanawake tusipojisafisha kunako(ikulu)lazma harufu iwe kali na ukiingiza dyudyu lazma utoke na makitu meupe... yaezekana ni uchafu,Au la anamatatizo katika nyeti sake.

Everything z possible mwambie ajisafishe vizuuriii kila kona ikibidi na maji ya vuguvugu kwa mda wa wiki 1...Ikishindikana akamuone dactareee
 
Yeast infection! Nahisi ni aina fulani ya fungus! Kuna dawa za kutibu hiyo mambo hata kwenye maduka ya madawa.
Ushauri mzuri utapatikana kwa Dr. aliyetulia na mwenye nia ya kukusaidia. Sometimes baadhi ya madaktari huwa hawapo tayari kusaidia.
 
Usafi kwanza! samahani lakini,huyo mtarajiwa wako je anajisafisha vizuri ikulu yake? yani mpaka ndani au anamwagia maji tuu kama bustan? yani na wish nifunguke zaidi ili unielewe lakini siwezi ila utakua umenielewa...
FUNGUKA ACHA AIBU ZA KITOTO...MUULIZE KAMA MKEWE MTARAJIWA KAFUGA MIKUCHA?..MAANA WAFUGA KUCHA HUWA HAWAINGIZI KIDOLE KUNAKO K NA KUISAFISHA VIZURI.
MUULIZE KAMA HUWA ANAKOGA NA KUFUA PICHU NA KUBADILI PICHU KUTWA MARA TATU?
PIA MUULIZE KAMA KILA AKIENDA MSALANI UWA NASAFISHA K KILA BAADA YA KUKOJOA?

ILA NAMUHURUMIA DOGO MASIKINI...KWAHIYO HTA CHUMVI UVINZA HAJAWAHI KULA?...DAHH..KWELI MAPENZI UCHAFU NA RAHA YAKE UJICHAFUWE IPASAVYO ILI UYAFURAHIE....KWAHIYO KITU YA VAT 69 SEX POSITION NDIO DOGO HAPIGAGI...DAHHH.

HAYA MUAMBIE SASA HAYA NILIYOKUELEZA NA MENGINE ONGEZEA MWENYEWE.
 
Mimi napiga hizo kazi sana ila wengi wao huwa wakali sana ukiwahoji mtafute ex wake umuulize kama alikuwa anapata harufu kali ya kuoza Kama unavopata we we.
 
Yaani pamoja na bidii yooote ya kina Dokta Sigwa, Mwaka, Lupimo na wengineo kulipa mamilioni ya pesa kutoa elimu kupitia vyombo vya habari bado unakimbilia huku kuomba ushauri wa hilo tatizo?

Mimi nilidhani breki yako ya kwanza ingekuwa ni kwao.

Lakini Wema akisema ana mimba taarifa utaifuatilia kwa bidii mwanzo mwisho.
 
Mwambie awe anakunywa maji mengi kama Kigosi uchafu wote utatoka wenyewe!!!
 
anafuga kucha ndefu?
..hapo sioni tatizo ajioshe vema!
by nature papuchi ni safi kuliko mouth...aipige Maji kwa sana tu!
 
Habarini wakuu popote mlipo,

Tukiachana na urembo walionao wanawake hasa wa kisasa kutokana na teknolojia na mambo mengine lakini kuna vitu vingine ambavyo unaweza kukutana navyo na ukaona kuwa urembo sio kitu ila kitu ni ile mali aliyonayo mrembo husika.

Twende kwenye mada sasa, ni kwamba ilikuwa mwaka 2010 nilipokutana na mtoto mrembo ambaye alifanikiwa kuuteka moyo wangu kwa kiasi kikubwa na kusababisha nianze kutangaza nia kwa kasi ya ajabu.

Miezi 3 baadae baada ya mgomo baridi nikafanikiwa kulipata hilo jimbo.
Kwakweli nilifurahi sana na kujiona ni wa pekee katika uso wa huu wa dunia.
Tukapanga mikakati ya kufunga hadi pingu za maisha.

Sasa siku ya kwanza kula tunda nilisikia harufu kali na nzito sana ikiambatana na vitu vyeupe vikitoka sehemu zake za G spot.Nikamuuliza baby vipi mbona hivi akaniambia mi kawaida wala usijali yataisha.

Lakini wakuu huyu mtoto mpaka leo bado ana tatizo hili na mimi nimempenda toka moyoni na ninampango wa kumuoa kwasababu anatabia njema na ndugu zangu wamemkubali.

Naombeni ushauri kama kuna uwezekano wa kupata tiba au hata njia za asili ili mke wangu huyu mtarajiwa aweze kupona na mimi niweze kufurahia tunda lake vizuri.

Natanguliza shukrani.
JE,UKE WAKO UNATOA HARUFU MBAYA..? JINSI YA KUMALIZA TATIZO LAKO..

Wanawake na watu wengi huzani kuwa harufu mbaya itokayo ukeni ni matokeo ya uchavu na kutojisafisha vizuri… Matokeo yake huongeza jitihada katika kujisafisha bila mafanikio ya kuondokana na tatizo hili… Kihalisi, badala kusuluhisha, unapojisafisha zaidi ni unaongeza tatizo badala ya kutatua…
Japokuwa ni kweli mara nyingine inaweza ikawa ni sababu ya uchafu… Ila mimi naamini walio wengi huwa wanazingatia usafi… Ndo maana nimeona leo tupeane mawazo juu ya tatizo hili, na kujua namna ya kujikinga

VISABABISHI

i. Bacteria

Tatizo hili husababishwa na Bakteria kwa asilimia kubwa. Kwa asili, ukeni huishi jamii ya bacteria waitwao Lactobacillus ambao jukumu lao kubwa ni kufanya mazingila ya uke kuwa katika hali nzuri. Kutokana na njia mbaya za kusafisha uke,
hasa kujisafisha kupindukia, ama kwa kutumia sabuni zenye dawa, husababisha bacteria hawa kufa kwa wingi na mahala pake kuchukuliwa na aina zingine za bacteria ambao huzaana kwa wingi na kusababisha tatizo hili.

Pia kwa wale wanaojamiiana kinyume na maumbile, kuna hatari ya kuhamishia bacteria wanaoishi kwenye njia ya haja kubwa na kuwaamishia ukeni ambapo watazaliana na kukuletea madhala haya.

ii. Kuvu(fungus)
Hii mara nyingi huambatana na uchafu mzito utokao ukeni mfano wa maziwa mgando(mtindi)

iii. Magonjwa ya zinaa(STIs)

Kwa asilimia kubwa husababisha na Chlamyidia na kisonono(gonorrhoea). Yote mawili hutibika kirahisi, ila husababisha madhala makubwa zaidi yasipotibiwa kwa wakati.
Tukio baya ni kuwa mwanamke anaweza akawa na magonjwa haya na asione dalili yoyote. Ila mara nyingine mwanamke anaweza kujisikia maumivu anapokojoa, na mara nyingine mkojo unakuwa kama una ukungu, vikiambatana na harufu mbaya.

iv. Maambukizi ya via vya uzazi vilivyo ndani ya nyonga[Pelvic Inflammatory Diseases(PID)]
Hii husababishwa na bacteria waambukizwao kwa njia ya ngono wanapofanikiwa kufika kwenye tumbo la uzazi na hata
pia mirija ya mimba na hata kokwa(ovaries), hasa chlamydia. Mara nyingi mwanamke anaweza asijisikie chochote hadi pale atakapojisikia maumivu yasiyokwisha ya tumbo(chini ya kitovu), au itakapoingiliana na utungaji wa mimba. Na kama
atajisikia, mara nyingi huwa ni maumivu ya nyonga, harufu mbaya, uchafu mzito ukeni, homa, maumivu wakai wa kukojoa na hata maumivu wakati wa kujamiiana.
Tatizo hili lisipotibiwa mapema laweza kusababisha utasa, ama mimba kutunga nje ya mji wa mimba.

v. Kansa ya uke na kansa ya shingo ya kizazi
Asilimia chache sana ya wanawake inaweza ikawa ni kutokana na kansa ya shingo ya kizazi ama ya uke. Hapa ndipo inapoonyesha kuwa tatizo hili siyo la kufumbia macho, na umuhimu wa kuwahi kwa wataalam wa tiba kwa uchunguzi wa mapema na kabla tatizo halijawa kubwa.

vi. Uchafu
Usipokuwa msafi kwa kiwango kikubwa utakuwa unakaribisha wadudu kuzaliana na kukuletea madhala. Pia unatakiwa kuwa makini wakati wa hedhi, na pia uchaguzi wa pedi, kwani kuna pedi ambazo zina kemikali za kukata harufu zinaweza kukudhulu.

JINSI YA KUJIKINGA

• Usiwe unaosha ukeni kupita kiasi kwani husababisha kuondoa bacteria wa asili wa ukeni(Lactobacilli) na kukaribisha bacteria wenye madhala.

• Pia epuka sabuni zenye dawa(antibacterial soap) usafishapo ukeni, kwani hii pia huua bacteria wa asili wa ukeni.

• Hii haimaanishi usiwe unasafisha ukeni. Usafi ni muhimu, kwani uchafu pia hukaribisha vimelea vya magonjwa.

• Kama tatizo limeshajitokeza, wahi haraka kwa wataalam wa tiba wakufanyie uchunguzi na kujua ni kipi kati ya vilivyotajwa hapo juu kilichosababisha. Daktari atakuchunguza na kujua kama ni bacteria, fungus ama ni dalili za awali za kansa na kuchukua hatua mapema kuepusha madhala zaidi.

• Kumbuka kujisafisha kupindukia si suluhisho kama tatizo limeshajitokea, kwani kunaweza kuzidisha tatizo badala ya kusuluhisha.
Habarini wakuu popote mlipo,

Tukiachana na urembo walionao wanawake hasa wa kisasa kutokana na teknolojia na mambo mengine lakini kuna vitu vingine ambavyo unaweza kukutana navyo na ukaona kuwa urembo sio kitu ila kitu ni ile mali aliyonayo mrembo husika.

Twende kwenye mada sasa, ni kwamba ilikuwa mwaka 2010 nilipokutana na mtoto mrembo ambaye alifanikiwa kuuteka moyo wangu kwa kiasi kikubwa na kusababisha nianze kutangaza nia kwa kasi ya ajabu.

Miezi 3 baadae baada ya mgomo baridi nikafanikiwa kulipata hilo jimbo.
Kwakweli nilifurahi sana na kujiona ni wa pekee katika uso wa huu wa dunia.
Tukapanga mikakati ya kufunga hadi pingu za maisha.

Sasa siku ya kwanza kula tunda nilisikia harufu kali na nzito sana ikiambatana na vitu vyeupe vikitoka sehemu zake za G spot.Nikamuuliza baby vipi mbona hivi akaniambia mi kawaida wala usijali yataisha.

Lakini wakuu huyu mtoto mpaka leo bado ana tatizo hili na mimi nimempenda toka moyoni na ninampango wa kumuoa kwasababu anatabia njema na ndugu zangu wamemkubali.

Naombeni ushauri kama kuna uwezekano wa kupata tiba au hata njia za asili ili mke wangu huyu mtarajiwa aweze kupona na mimi niweze kufurahia tunda lake vizuri. Ukitaka Dawa ya kutibu Harufu mbaya ukeni mimi ninayo ukiweza kunitafuta nitakupa dawa na mchumba wako atapo ukihitaji dawa yangu bonyeza hapa.Mawasiliano
 
FUNGUKA ACHA AIBU ZA KITOTO...MUULIZE KAMA MKEWE MTARAJIWA KAFUGA MIKUCHA?..MAANA WAFUGA KUCHA HUWA HAWAINGIZI KIDOLE KUNAKO K NA KUISAFISHA VIZURI.
MUULIZE KAMA HUWA ANAKOGA NA KUFUA PICHU NA KUBADILI PICHU KUTWA MARA TATU?
PIA MUULIZE KAMA KILA AKIENDA MSALANI UWA NASAFISHA K KILA BAADA YA KUKOJOA?

ILA NAMUHURUMIA DOGO MASIKINI...KWAHIYO HTA CHUMVI UVINZA HAJAWAHI KULA?...DAHH..KWELI MAPENZI UCHAFU NA RAHA YAKE UJICHAFUWE IPASAVYO ILI UYAFURAHIE....KWAHIYO KITU YA VAT 69 SEX POSITION NDIO DOGO HAPIGAGI...DAHHH.

HAYA MUAMBIE SASA HAYA NILIYOKUELEZA NA MENGINE ONGEZEA MWENYEWE.
Ndio mana sijataka kumuliza kama unavyooliza weye,lakini umeshamaliza yote lol mengine yakawaida...lakini unaongea weye.....mm
 
Yawezekana hilo nalo nenooo maana wanawake tusipojisafisha kunako(ikulu)lazma harufu iwe kali na ukiingiza dyudyu lazma utoke na makitu meupe... yaezekana ni uchafu,Au la anamatatizo katika nyeti sake.

Everything z possible mwambie ajisafishe vizuuriii kila kona ikibidi na maji ya vuguvugu kwa mda wa wiki 1...Ikishindikana akamuone dactareee
Kuna siku nilisoma hapa JF mdada alisema yeye hasafishi ndani ya ikulu nikajiuliza sasa inakuwaje? bwana kaja kaweka mizigo yake leo na kesho akija anaikuta na anaongeza mengine ivi hiyo harufu itakua ya kawaida kweli? kunaweza kukawa hata na funza,nikasema huyu mdada wala asitafute sababa ya kukimbiwa....
 
Harooo usiombe ukutune na mwamke anae toa harufu sehemu hizo ni balaa yani hata ukisikia harufu ya samaki lazima ile harufu yake ikwijie kichwani.
 
Ilinitokea pia..yaani demu bomba kinyama! Niliapa kumuoa walahi,sasa siku ananipa puchi sitaisahau
Ile namaliza gemu..ilitoka harufu hiyoo na bado alitaka nizame chumvini..!
Tumebaki marafiki tu.
Ulizama huko chumvini?
 
Back
Top Bottom