Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
nimeandika kiswahili.Tafadhali pole pole andika Flajil au FLAGYL sio Frajili Kihaya au Kikuria.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimeandika kiswahili.Tafadhali pole pole andika Flajil au FLAGYL sio Frajili Kihaya au Kikuria.
Nashukuru sana kwa ushaurimjamzito asithubutu kwa usalama wa mtoto
Avatar yako na hayo uloandika mbavu sinaSasa sisi wazee wa kulamba ile kitu ili kuongeza maisha, si ndo majanga hayaaa ?
Alafu kuna wapuuzi wanasafisha papuchi kwa mdomo eti kisa waomekane vidume vya kisasaDaaaaaah
Ukeni kuna magonjwa mengi namna hii?
HatA Mimi nimeshangaa sio ndio kujimaliza kabisaUnakunywa vidonge kumi kwa pamoja?
HeheheheheheHatA Mimi nimeshangaa sio ndio kujimaliza kabisa
Dose ya metronidazole ni ndogohyo,400mg 8hrly kwa siku 5 iko poaNimeona niirudie hii mada. sababu ni nyingi ila kubwa ni hizo mbli. Candida nimeongezea tu.
Fangasi wa candida
Hawa husababisha muwasho ukeni na kutokwa na ute mzito mweupe, ugonjwa huu unaweza mpata mwanamke yeyote ila zaidi ni wale wafanyao ngono. Kwa kawaida ute huu huwa haunuki. Pia unaweza hisi papuchi inawaka moto nakusikia maumivu wakati wa kugegedwa. Inasemekana kati ya wanawake 100 , 75 kati yao hupata ugonjwa huu maishani mwao.
Kutibu candida nirahisi sana , kuna dawa za kupaka kama clotrimazole cream, na pia kuna vidonge vya clotrimazole vya kuweka ukeni. Pia kuna vidonge vya fluconazole.
Unaweza kupaka clotrimazole au kutumia vidonge kwa siku7-14 kulingana na uzito wa ugonjwa pia unaweza kunywa kidonge kimoja cha fluconazole 150mg au vidonge vitatu (kimoja kila baada ya siku tatu) kulingana na hali
Trichomonas vaginalis
Kati ya wanawake mia kumi wanao hawa wadudu. Wanasababisha papuchi kuwasha, maumivu wakati wa kukojoa na kutokwa na maji ya rangi ya mchanganyiko wa kijani na njano ambayo hunuka vibaya.
Kutibu ni rahisi sana! Metronidazole (frajili) ambayo huwa na 200mg unameza 2g (unameza vidonge 10 kwa pamoja). Au vidonge viwili na nusu asubuhi na viwili na nusu jioni kwa siku saba. Pia unaweza tumia dawa ya tinidazole.
Bacterial vaginosis
Unatoa majimaji meupe yenye harufu ya samaki. Unapiga metronidazole200mg (frajili)vidonge viwili na nusu asubuhi na viwili na nusu jioni kwa siku saba.
Mkuu FLAGILY 10 MARA MOJA?tena za mg 2!? UTAUWA WATU WEWE!Nimeona niirudie hii mada. sababu ni nyingi ila kubwa ni hizo mbli. Candida nimeongezea tu.
Fangasi wa candida
Hawa husababisha muwasho ukeni na kutokwa na ute mzito mweupe, ugonjwa huu unaweza mpata mwanamke yeyote ila zaidi ni wale wafanyao ngono. Kwa kawaida ute huu huwa haunuki. Pia unaweza hisi papuchi inawaka moto nakusikia maumivu wakati wa kugegedwa. Inasemekana kati ya wanawake 100 , 75 kati yao hupata ugonjwa huu maishani mwao.
Kutibu candida nirahisi sana , kuna dawa za kupaka kama clotrimazole cream, na pia kuna vidonge vya clotrimazole vya kuweka ukeni. Pia kuna vidonge vya fluconazole.
Unaweza kupaka clotrimazole au kutumia vidonge kwa siku7-14 kulingana na uzito wa ugonjwa pia unaweza kunywa kidonge kimoja cha fluconazole 150mg au vidonge vitatu (kimoja kila baada ya siku tatu) kulingana na hali
Trichomonas vaginalis
Kati ya wanawake mia kumi wanao hawa wadudu. Wanasababisha papuchi kuwasha, maumivu wakati wa kukojoa na kutokwa na maji ya rangi ya mchanganyiko wa kijani na njano ambayo hunuka vibaya.
Kutibu ni rahisi sana! Metronidazole (frajili) ambayo huwa na 200mg unameza 2g (unameza vidonge 10 kwa pamoja). Au vidonge viwili na nusu asubuhi na viwili na nusu jioni kwa siku saba. Pia unaweza tumia dawa ya tinidazole.
Bacterial vaginosis
Unatoa majimaji meupe yenye harufu ya samaki. Unapiga metronidazole200mg (frajili)vidonge viwili na nusu asubuhi na viwili na nusu jioni kwa siku saba.
Mada nzuri asante mkuuu ila hiyo harufu ya samaki inasababishwa na nini na kwa nnn inuke kama samaki.Nimeona niirudie hii mada. sababu ni nyingi ila kubwa ni hizo mbli. Candida nimeongezea tu.
Fangasi wa candida
Hawa husababisha muwasho ukeni na kutokwa na ute mzito mweupe, ugonjwa huu unaweza mpata mwanamke yeyote ila zaidi ni wale wafanyao ngono. Kwa kawaida ute huu huwa haunuki. Pia unaweza hisi papuchi inawaka moto nakusikia maumivu wakati wa kugegedwa. Inasemekana kati ya wanawake 100 , 75 kati yao hupata ugonjwa huu maishani mwao.
Kutibu candida nirahisi sana , kuna dawa za kupaka kama clotrimazole cream, na pia kuna vidonge vya clotrimazole vya kuweka ukeni. Pia kuna vidonge vya fluconazole.
Unaweza kupaka clotrimazole au kutumia vidonge kwa siku7-14 kulingana na uzito wa ugonjwa pia unaweza kunywa kidonge kimoja cha fluconazole 150mg au vidonge vitatu (kimoja kila baada ya siku tatu) kulingana na hali
Trichomonas vaginalis
Kati ya wanawake mia kumi wanao hawa wadudu. Wanasababisha papuchi kuwasha, maumivu wakati wa kukojoa na kutokwa na maji ya rangi ya mchanganyiko wa kijani na njano ambayo hunuka vibaya.
Kutibu ni rahisi sana! Metronidazole (frajili) ambayo huwa na 200mg unameza 2g (unameza vidonge 10 kwa pamoja). Au vidonge viwili na nusu asubuhi na viwili na nusu jioni kwa siku saba. Pia unaweza tumia dawa ya tinidazole.
Bacterial vaginosis
Unatoa majimaji meupe yenye harufu ya samaki. Unapiga metronidazole200mg (frajili)vidonge viwili na nusu asubuhi na viwili na nusu jioni kwa siku saba.
itakuwa bacteria hao wanatengeneza kemikali kama zinazosababisha shombo ya samaki.Mada nzuri asante mkuuu ila hiyo harufu ya samaki inasababishwa na nini na kwa nnn inuke kama samaki.
inaonekana kubwa lakini siyo. maximum single dose/day ni 4g. vidonge 20 vya 200mg.Mkuu FLAGILY 10 MARA MOJA?tena za mg 2!? UTAUWA WATU WEWE!
Heri ya mwaka mpyaVidonge kumi khaaaaaaa Mungu epushia mbali
Asantee Heri nawe ....Heri ya mwaka mpya
Umefichwa sanaAsantee Heri nawe ....
Nakumiss sana