Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Habari za wakati huu wanajamvi,

Naomba ushauri wenu kama heading hapo juu ilivyoanza. Huyu ni mke wangu kabisa wa ndoa. Hapo mwanzao hakuwa na hili tatizo kabisa iwe asubuhi au mchana au jioni alikuwa safi.

Tatizo lilianza mwaka huu mwanzoni nilihisi labda vidonge vya majira anavyotumia ndio vinaleta shida. Hivyo nilimuomba aache kutumia tufuate calendar lakini hali haikukoma. Nilimpeleka hospital pale TMJ kuna rafiki yangu ni Doctor lakini hawakugundua tatizo lolote kwa maana hakuna fungus wala U.T.I hivyo nikaishiwa pause.

Cha kushangaza yeye hahisi kama kuna hiyo harufu inatoka ukeni kwake. Ila mimi nahisi hivi vipodozi alivyoanza kutumia labda ndio vinaleta hiyo shida. Maana katika miezi aliyoanza kutumia ndio tatizo likaibuka. Anapaka mafuta yanaitwa cocoa anachanganya na griselini anadai inasaidia ngozi kuwa nyororo.

Naombeni ushauri wataalamu namsaidiaje ili hii hali iishe kwa maana wakati mwingine nakosa hamu kabisa ya kukutana naye kimwili.

Nasubiri ushauri wenu.
Ahsante.
 
Endelea kwenda kwa wataalam wa hospitali nyingine kubaini shida. For the time being ninapendekeza matumizi ya mboga za majani, kunywa maji mengi na kufanya mazoezi. Vitu hivyo ni miongoni mwa hatua zinaweza kusaidia kuufanyia mwili system restore na kukaa vyema.
 
Naombeni msaada wa majina ya dawa, mpenzi wangu ana tatizo la kunuka kwenye uke (vagina) pindi tukimaliza kufanya sex, inatokea harufu mbaya sana.

Kama kuna mtu anajua jina la dawa aniambie pliz

Njoo pm nikupatie dawa ila ni gharama sio bure
 
Hii dawa ni kiboko kwa tatizo la harufu mbaya. Na Haina madhara yeyote yale kwa mtumiaji. Ni dawa iliyofanyiwa kazi ya kitafiti kuhakikisha kuwa mtumiaj anakuwa salama na inatibu kabisa tatizo husika na kukurudishia tena tabasam lako

Dawa gani?
Mi dem zangu waliokuwa na tatizo la harufu kwenye papuchi niliwanunulia Yoni...

Achana kabisa na hiyo dawa,
 
Wakuu kumekuwa na mijadala mingi juu ya kadhia ya harufu mbaya ukeni kwa dada zetu. Watalam wa afya hembu mtusaidie kujua nini hasa chanzo cha shida hii.
 
Wakuu kumekuwa na mijadala mingi juu ya kadhia ya harufu mbaya ukeni kwa dada zetu. Watalam wa afya hembu mtusaidie kujua nini hasa chanzo cha shida hii.
Ni mafangasi sugu na ma UTI yasiyotibiwa. Mpeleke hospital huyo mrembo wako atapewa dawa za kuingiza huko ukeni na atapona kabisaaaaa!
 
Mpeleke hospitali..akafanyiwe culture ili apate tina sahihi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mko poa Nina kamanzi fulan yani kanatoa harufu kama shombo sijawahi kukutana na manzi wa hvyo aisee mpka kero yani afu kananiganda kinyama inshort anatoa harufu ukeni yani akivua tu mpka kero mm nimemshtukia ila yy nahisi anajijua maana akivua nguo mkiwa kitandani anawahi kubana miguu mpka ukitaka kuingiza anaiachia yani Ukimaliza kufanya tendo anawahi kuibana ile miguu yake yani nataka siku nije nimwambie tu akikasirika atajua mwenyewe
Kuna sku napiga naye story nikamgusia unaogaga mara ngap anasema ohoo anaogaga Muda mwingine mara moja nikaona hapa hakuna mtu hajijal usafi kama kuna dawa au tiba nyingine au nn afanye mniambie nataka nimwambie
Yani akija ndani unawaza ukienda chumbani unawza harufu tu
Yani unamaliza kufanya mapenzi unaona kabsa mwanaume anaenda kunawa yy bado kajilaza tu
Haya mnisaidie maana nataka nimchane tu
Duuh humpendi huyo dada waachie wanaompenda
 
Back
Top Bottom