Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Hii issue ni serious sana? Naona wadau wanalalamika kinoma.Hii ishu imekua kubwa sana, unakutana na binti mzuri mrembo ila sasa ikifika muda wa Shughuli pevu uke unanukia "kisamaki samaki"
Nashindwa kuelewa tatizo ni nini?