Sasa kwa usiku kupungua 50% kuna tofauti gani?Sio kweli ikishafika 8 kwenda 9 watu wanapungua kwa 50% hata movement zinapingua kwa karibu 60%
Kusema ziko sawa na mchana huo ni uwongo kwa halakati zangu kea wiki kazima nipite zaidi ya mara mbili usiku mnene
Jambo kubwa ni kuwa hapo saa 24 siku 7 za wiki hukosi daladala la kukufikisha au kukusaidia kukufikisha sehemu yoyote ya jiji la dar
Yaan hapo buguruni chama sheri ni kama lango KUU La DSM
Hiyo ni afya kubwa kwa watu wa mkoani au hujagundua kuwa karibia wote wakazi wa dar wana kauchizi, na waliowengi ni wezi, usimwamini mtu dar ata ndugu yako anakuibia halafu anageuza kuwa halali yake.Huwa napata tabu sana nikienda mkoani.
Kule ikifika saa 11 jioni wanapika chakula cha usiku.
Kama ni familia mtakuwa na masaa mawili ya stori baada ya hapo kila mtu anaenda kulaza ubavu wake.
Mkoani ni kitu cha kawaida kuona muuza duka anafunga biashara saa 1 jioni.
Saa 3 usiku kule ni usiku wa manane na ndio mida ambayo hata wezi wanakuwa na confidence ya kufanya uhalifu wao bila kusanukiwa.
Huu ni upuuzi na ushamba.Mikoani mmepoa sana,kuna mikoa ikifika saa tatu huwezi kuona mtu nje,still wanaamka saa moja, mnakuwa mbafanya nini ndani muda wote.
Saa sita za usiku DSM kuna watu ndio wanajiandaa watoke
Saa saba usiku wauza chipsi bado wanamenya viazi.
Juzi kuna mtuhumiwa kampiga na kitako cha bastola mwenzake saa 12 asubuhi wakiwa kwenye club ya usiku.
Mnalala sana mikoani
Mkoa wenye hadhi ya jiji hauwezi kuwa na raia ambao saa 3 kwao ni usiku mkubwa wamelala hawajitambuiHiyo ni afya kubwa kwa watu wa mkoani au hujagundua kuwa karibia wote wakazi wa dar wana kauchizi, na waliowengi ni wezi, usimwamini mtu dar ata ndugu yako anakuibia halafu anageuza kuwa halali yake.
Pale Uptown City of Johannesburg, kuna kitongoji kinaitwa Hillbrow aisee hapo ni 24 hours hapapoi, thats the meaning of big City.Mkoa wenye hadhi ya jiji hauwezi kuwa na raia ambao saa 3 kwao ni usiku mkubwa wamelala hawajitambui
Na walio ndani ya gari binafsi kama ni mke na mume, hawatazamani hata kuangaliana kuongea kila mtu yuko bize na simu au mmoja kalala, stressed life.Sasa mtalalaje mapema na foleni yote ile mpaka saa nne za usiku mtu yupo kwenye daladala anaenda kwake, kazini katoka saa kumi jioni na akifika nyumbani mpaka amelala ni saa sita usiku halafu saa kumi asubuh tena yupo kwenye dalala anaenda kazini.
Ndiyo maana wakazi wa dar wengi wanalala kwenye madaladala kama unabisha kesho panda daladala saa kumi na moja asubuh then angalia asilimia ngapi ya abiria wapo macho kama sio wote wameuchapa.
Huu ni ukweli mchungu. Asilimia 90 wako kwenye ndoa ama.mahusiano kama picha tu.Kwenye foleni zao angalia tu ndani ya gari, kama si mmoja wao amelala basi anachati, au wameweka sura mbuzi, nuru ya uso haipo, uchovu mkubwa, kazini stressi, kurudi usiku wa manane, foleni kubwa, haridhishwi kitandani, mtu kwa siku analala masaa 2 tu, kula yenyewe wanakula fast food au junk foods, machipsi yai, wikend hakuna kupumzka, ni kwenda kujirusha kula mapombe na junk foods, matokeo kiriba tumbo na unene uliopindukia, matatizo ya afya mengi kama nguvu za kiume, presha sukari, hapo ndio mtu anaanza tena kubugia madawa kujaza sumu mwilini, hapo sijazungumzia pollution kama air and land polution za huko dar na noise pollution, ni mtu mmoja huyo anayapata haya yote halafu mnasema ni ujanja kwamba mji umechangamka kumbe watu ni nusu maiti zinazotembea.Ndo maana mnaongoz kulialia humu jukwaan kwa kugongewa madem zenu due hampati muda wa kupumzika na kula vyakula laini laini..mwsho wa siku kimoja Chali.....sie wa mikoani ni show show
Huko sahihi, wenye njaa ni wengi na mahitaji ni makubwa lkn sio sifa, ni shida tuu.Mkoa wenye hadhi ya jiji hauwezi kuwa na raia ambao saa 3 kwao ni usiku mkubwa wamelala hawajitambui
😀 Mnafanya watu waliopo nje ya Dar na hawajakaa Dar wahisi ukiamka unakunywa chai Serena au Hyatt, wanazoziona katika movie. Kwako una furniture za ulaya, bafu kubwa lina jaccuzzi na sehemu ya steaming,ki shower amazing. Ukienda beach unakodi yatch, unakunywa beer saafi imported,sehemu nzuriWapi? Tusidanganyane na kutiana moyo
Jamaa alietoa mada sio mtu wa night life bana, au alienda sehemu muda mfupi. Akataka kwenda kula bata jumatatu au jumanne usiku.Kwamba kukesha ndio ujanja, hakuna mtu asiependa kutulizana usiku ila kwakuwa imebidi tu
Mtu anaamka saa 10 alfajiri analala saa 7 usiku sio kwa kupenda
Mkoa gani ulitafuta chakula kwa tochi? Au unaongelea aina ya chakula,ulikosa chips kavu? Kama ulikuwa Arusha ungeenda Granmelia ipo pale mkuu ina hadhi ya nyota tano kama Serena unapokunywa chai. Au kama ni masikini masikini ungeenda maeneo Shivers/Mrina ungepata nyama choma na mad* wa kununua.Mikoani kuna Uzi sana...sana tatu unatafuta chakula kwa tochi!
Kama una ela Dar mchana ni muda wa kulala.Mikoani mmepoa sana,kuna mikoa ikifika saa tatu huwezi kuona mtu nje,still wanaamka saa moja, mnakuwa mbafanya nini ndani muda wote.
Saa sita za usiku DSM kuna watu ndio wanajiandaa watoke
Saa saba usiku wauza chipsi bado wanamenya viazi.
Juzi kuna mtuhumiwa kampiga na kitako cha bastola mwenzake saa 12 asubuhi wakiwa kwenye club ya usiku.
Mnalala sana mikoani
Wanawake asilimia kubwa wanaojiona wazuri Tanzania nzima wanakimbilia Dar.Dar es salaam watoto wazuri hatari pia kama ni mtu wa kupenda starehe ndio penyewe tatizo usikose tu pesa .
Naunga mkono hoja. Saa7 una menya chips manake watu wa huko wanashida sana. Muda wa kulala na familia wee Bado unafanya kazi. Mchana unatosha kabisa kuingiza Hela.Sema moderator kaedit cha habari kilikuwa kinasema "ntu" Sasa mtu unauza chips maana yake hela mnaisaka kwa tochi sisi huku samoja tushafunga hesabu😂trilion moja kwa siku
kwahiyo maisha mazuri ni Dar tu?Wapi? Tusidanganyane na kutiana moyo
Sio leo mkuu. Hayo maisha ni yablong time way back.Wanawake asilimia kubwa wanaojiona asilimia wazuri Tanzania nzima wanakimbilia Dar.
Wa levels zote za maisha.