Ukiacha Dar, kuna mji mwingine wa kula bata nzuri na machimbo makali kama Moshi?

Ukiacha Dar, kuna mji mwingine wa kula bata nzuri na machimbo makali kama Moshi?

Moshi kuna sehemu ya maana ya Kula bata kweli? Au sijakueelewa?
 
Soma vizuri mada, mleta mada aliitenga Dar kwa kuwa haifikiwi, sasa wewe unairudisha!
Nimeirudisha kwa kusema hakuna hata baada ya dar. Wengine wote wako sawa. Yeye ahame tu eneo. Dar ni Dar. Usipende kuquote tu msg. Elewa, au toa mawazo yako.
 
Kwakweli mimi sijazunguka mikoa mingi sana ila kwa nilipopita bado sijaona sehemu nzuri za kula bata kama Moshi. Isipokuwa Dar es Salaam

Kwanza nilichopendea hakuna sehemu ya kiwango cha chini zote ni kama VIP ambazo kwa Dar lazma ukute vinywaji vinauzwa bei juu.
Pamoja na kuwapo na wageni wengi lakini bado vitu ni bei za kawaida kabisa.
SIFA KUU NILIZOPENDA ZAIDI
1. Paking kubwa lakini zinajaa
2. Sehemu kali lakini bei elekezi
3. Mademu wakali na wazuri lakini sio ombaomba kama Dar hata kama ni kampani demu sio mzigo au malaya.
4. Kubwa zaidi Hakuna sehemu isiyokuwa na Lipa kwa simu, hata kama ni muuza pepcon ana lipa kwa simu jambo ambalo kwa Dar ni maeneo machache sana wanayo. Yan kiusalama zaidi si lazima uwe na cash ili upate huduma.

Ukienda Moshi hakikisha hutakosa viwanja hivi
1. DID night Pub hii hakuna mtu alienda na msiba asipajue
2. Vegas na moto sana
3. AmuzZ hii sitoisahau kamwe mwaka mpya magari yalikuwa mengi sana mpaka barabarani ikafungwa.
4. Redstone Club hii ni club kubwa Afrika Mashariki, watu wanatoka mbali wanakuja kuinjoy hapa.

Nikisema nitaje zote huu uzi hautoshi. Najua wapo wadau watakuja shuhuda zaidi. Karibuni sana Moshi ila kama unajua chimbo lako kali litupie hapa siku tukija mji husika tufikie hapo.
Nyege Nyegezi.
 
Bata inategemea unapendelea nini! Kama mpenzi wa fukwe basi bata ni Dar es salaam. Viwanja vya ufukweni kibwena na vikali sema tu utapasuka sana manoti ila starehe ipo.

Ila kwa enjoyment ya ulevi tu kwenye Open Bars na Clubbing Moshi ni patamu na exciting stuff ni kwamba watu wake wana vibe sana na gharama ziko chini sana. Starehe ya laki 1 Moshi ni sawa na starehe ya laki 3 Dar so Pesa kidogo unainjoy kinyama kitu ambacho kwa Dar ni kigumu. Pia viwanja viko jirani jirani so hutumii gharama kubwa ku move unaweza enda multiple places in a single nigh halafu hali ya hewa iko so chilly.
Hongera mkuu inaonekana umefika na kuinjoy, ulichosema ni kweli kabisa
 
Huko kote nimevuruga!!!

Nenda Mpanda Zedigital na viwanja vingine Mtaa wa Simba na Fisi

Pisi ya 5000 kwa Dar value yake ni 600000Tsh...bia za Namibia bei ya Nyanya

Hakuna wizi wala ujanja ujanja...Misosi yotee mpaka pilau la UYOGA....vitu vya Dubai wewe tu na chawa wqke...

Huto jutia ...yani kama upo Wind nini kule NAMIBIA

Local but high Quality!!!
 
Kwakweli mimi sijazunguka mikoa mingi sana ila kwa nilipopita bado sijaona sehemu nzuri za kula bata kama Moshi. Isipokuwa Dar es Salaam

Kwanza nilichopendea hakuna sehemu ya kiwango cha chini zote ni kama VIP ambazo kwa Dar lazma ukute vinywaji vinauzwa bei juu.
Pamoja na kuwapo na wageni wengi lakini bado vitu ni bei za kawaida kabisa.
SIFA KUU NILIZOPENDA ZAIDI
1. Paking kubwa lakini zinajaa
2. Sehemu kali lakini bei elekezi
3. Mademu wakali na wazuri lakini sio ombaomba kama Dar hata kama ni kampani demu sio mzigo au malaya.
4. Kubwa zaidi Hakuna sehemu isiyokuwa na Lipa kwa simu, hata kama ni muuza pepcon ana lipa kwa simu jambo ambalo kwa Dar ni maeneo machache sana wanayo. Yan kiusalama zaidi si lazima uwe na cash ili upate huduma.

Ukienda Moshi hakikisha hutakosa viwanja hivi
1. DID night Pub hii hakuna mtu alienda na msiba asipajue
2. Vegas na moto sana
3. AmuzZ hii sitoisahau kamwe mwaka mpya magari yalikuwa mengi sana mpaka barabarani ikafungwa.
4. Redstone Club hii ni club kubwa Afrika Mashariki, watu wanatoka mbali wanakuja kuinjoy hapa.

Nikisema nitaje zote huu uzi hautoshi. Najua wapo wadau watakuja shuhuda zaidi. Karibuni sana Moshi ila kama unajua chimbo lako kali litupie hapa siku tukija mji husika tufikie hapo.
Toka upenuni mwa nyumba ya mama yako mzazi(get out of your mum backyard)
 
Dar hata shetani mwenyewe anasubiri dadadadeki sema mademu wa Arusha kama anakupa anakupa yote hasa umpate mmeru

Kadri unavyotembea ndivyo unazidi kugundua kuwa "zamani ulikuwa mjinga"

Hapa unaisfia Dar kiasi cha kusema 'shetani mwenyewe anasuburi" ila nikikupeleka Nairobi Kenya, hiyo Dar unaiona ya kawaida tu na pengine utajiona mshamba.

Vivyo hivyo ukiilinganisha Nairobi na sehemu nyingine zilizoendelea itaonekana ya kishamba pia.

NB: UZURI WA SEHEMU, HUTOKANA NA EXPOSURE YA MLENGWA.
 
Back
Top Bottom