Ukiachana na elimu, Wanyakyusa wa Mbeya wapewe taji lao kwenye kutoa wachungaji na waimba gospel maarufu nchini

Wapewe pia taji la ubishi. Wachungaji wengi ni feki hapo labda Mwakasege.
 
Matunda yapo ya kutosha, ndizi matoki, uganda , malindi, ndyari zinapatikana, mahindi, maharage, Mchele, magimbi, mihogo, viazi mbatata, Karanga, ngano ya mabumunda, njegere, yaani full kunenepa tu makalio na vitambi
Ndo maana wanawake na wanaume wa Mbeya wana vitambi. Wanakula sana kitimoto na viazi mviringo. Wanga plus Mafuta =Kitambi plus cholestérol.
 
Masasati, mapora, numbu, makusa ushindwe wewe tu
Ila Mbeya ni mkoa umebarikiwa sana kwa vitu vingi hadi hali ya hewa iko safi. Ilitakiwa uwe mbali sana kimaendeleo kama kungekua na mipango mizuri ya maendeleo Tz. Kuna tatizo sehemu kwenye uongozi wa hii nchi tbh.
 
Kabla ya kumuingiza Lusekelo ungeanza kumuuliza, Lusekelo ni Mhehe wa Iringa na hii aliisema yeye binafsi akielezea alipokuwa Tanu yuthiligi kabla ya Uhuru, hesimu matakwa yake.
 
Yessir
Umemsahau Joel Lwaga
Green City Hoyee
 
Ingawa kuna makanisa tele lakini huko ndipo wanapotoka wapiga nondo na wachuna ngozi bila kusahahu wanunua vidole vya binadamu hai.
 
Askofu Mwatujobhe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…