Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Nisingechagua kufa
Hakuna mtu aliechagua kuzaliwa mkuuKutochagua kufa NI kutochagua kuzaliwa
😃Hakuna mtu aliechagua kuzaliwa mkuu
10 years to come is enough. Kama sijapata asylum yyte mbele.
85 will do!!🤣🤣
waje kuishi na shetani maana mipango yao mshaachana na mungu
Hapo umekula na kuliwa vya kutosha, jezi unawakabidhi wengine...80-90 NI umri mzuri Kabisa WA kurudisha jezi