Ukiachana na Mapenzi na mipango ya Mungu, je wewe unampango au ungependa uishi Miaka mingapi Duniani?

Ukiachana na Mapenzi na mipango ya Mungu, je wewe unampango au ungependa uishi Miaka mingapi Duniani?

Kwa kweli class mates wakianza kupukutika kwenye whatsapp groups tukabaki chini ya 10 basi tena hakuna namna ...nikibaki upweke utanitesa.
 
Wazinzi ndio wanatamani kufunga dunia, sisi wengine muda wowote sawa dunia ni ya hovyo.!!
Km ingekuwa unaulizwa kabla ya kuja ningekataa
Ni ya hovyo kweli ila mi if possible 120.

Natamani nisipitwe na teknolojia itakayokuwepo miaka 80 na kitu from now.

Natamani kuona dunia itakavyokuwa maana kuna mambo mengi sana yatakua yamebadilika kwa kiasi ambacho hatuwezi kufikiri leo.

NB.Ungekataa kuja ungetukosea tunaokupenda
 
Back
Top Bottom