Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #61
So umebakiza 40 ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So umebakiza 40 ?
🥰🥰 jamani mbona upendo mkubwa sana huu.!!Ni ya hovyo kweli ila mi if possible 120.
Natamani nisipitwe na teknolojia itakayokuwepo miaka 80 na kitu from now.
Natamani kuona dunia itakavyokuwa maana kuna mambo mengi sana yatakua yamebadilika kwa kiasi ambacho hatuwezi kufikiri leo.
NB.Ungekataa kuja ungetukosea tunaokupenda
Umejuaje umri wangu..? HahaSo umebakiza 40 ?
Mbona nimeona wivu, hahaha🥰🥰 jamani mbona upendo mkubwa sana huu.!!
Dada usijali Mungu atakuweka ushuhudie yote.!!
USiombe kuzeeka vibaya.😃
Kuzeeka vîbaya kupoje?
So hata ukiishi Miaka 40 inatosha?
Basi na wewe nakupenda mdogo wangu kibuyu 🥰🥰🥰Mbona nimeona wivu, hahaha
😂😂 Ni bata tuu.. hakuna kuzeeka😃
So unàtaka kuishi milele kwèñye hii Dunia si utaboeka
😍😍🥰🥰 jamani mbona upendo mkubwa sana huu.!!
Dada usijali Mungu atakuweka ushuhudie yote.!!
Mi natamam niishi miaka yoteKwema Wakulungwa.
Kwa kurudia swali; Ukiachana na Mapenzi na mipango ya Mungu, je wewe unampango au ungependa uishi Miaka mingapi Duniani?
Mimi Miaka 87.
DuuhMi natamam niishi miaka yote
😂😂 Ni bata tuu.. hakuna kuzeeka
Yes mkuu Mimi napambania sana donation na sio duration.
Babu yangu mmoja kafariki na 50+ Ila kaacha legacy kubwa Sana kasomesha ndugu zake kawasapoti kiuchumi na mali kaacha
Also kuna babu yangu mwingine katoboa 80+ Ila hakuna alama chanya kaiacha.
So I don't want to live longer with zero impact .
Labda 🤔Ujana nao kûna Wakati unachosha
Nasikia ukiokoka, unaishi milele. Try your luckyNatamani niishi milele ni vile tu ndio haiwezekani
Hiyo ni mambo ya kiroho sasa, ile kwwnye uhalisia physical haiwezekaniNasikia ukiokoka, unaishi milele. Try your lucky
😃Umejuaje umri wangu..? Haha
Hata huko rohoni haiwezekaniHiyo ni mambo ya kiroho sasa, ile kwwnye uhalisia physical haiwezekani
kama kila kitu nakamilisha kwenye ubora wake.. nife hata na miaka 27 tuKwema Wakulungwa.
Kwa kurudia swali; Ukiachana na Mapenzi na mipango ya Mungu, je wewe unampango au ungependa uishi Miaka mingapi Duniani?
Mimi Miaka 87.