ZEE LA UONGO
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,314
- 3,944
80 kijana ya kazi gani.. weye 30 inakutoshaNikigonga 80 kang!! na moyo ushtuke paah!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
80 kijana ya kazi gani.. weye 30 inakutoshaNikigonga 80 kang!! na moyo ushtuke paah!!
500 itapendeza.Kwema Wakulungwa.
Kwa kurudia swali; Ukiachana na Mapenzi na mipango ya Mungu, je wewe unampango au ungependa uishi Miaka mingapi Duniani?
Mimi Miaka 87.
mipango ipo kama kawaida,Kwa hîyo HUPENDI na Huna mpàngo wowote kuhusu Muda utakaokuwapo Hapa
mipango ipo kama kawaida,
I just appreciate the life's giving
Nani atakuwa anakutoa kukuanika nje na kukurudisha?80-90 NI umri mzuri Kabisa WA kurudisha jezi
500 itapendeza.
Nani atakuwa anakutoa kukuanika nje na kukurudisha?