Ukiachana na Mapenzi na mipango ya Mungu, je wewe unampango au ungependa uishi Miaka mingapi Duniani?

🥰🥰 jamani mbona upendo mkubwa sana huu.!!

Dada usijali Mungu atakuweka ushuhudie yote.!!
 
So hata ukiishi Miaka 40 inatosha?


Yes mkuu Mimi napambania sana donation na sio duration.

Babu yangu mmoja kafariki na 50+ Ila kaacha legacy kubwa Sana kasomesha ndugu zake kawasapoti kiuchumi na mali kaacha

Also kuna babu yangu mwingine katoboa 80+ Ila hakuna alama chanya kaiacha.


So I don't want to live longer with zero impact .
 

Safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…