Ukiambiwa toa kimoja hapo utatoa kitu gani?

Nna allergie na kuku ... daaah
Ingekuwa chuzi la nyama ya mbuzi hapo ningetoa ugali
 
Chapati; ngano si nzuri kwa afya.
Aliyekwambia ni nani au ndio hao madaktari wa hovyo wa mtandaoni ambao wakianza kunadi dawa zao ili wauze basi kuna vyakula wataviponda as if ni sumu mwilini badala ya kuongelea tu faida ya kila chakula na matumizi sahihi ya chakula husika kwa viwango sahihi.

Nitakupa mfano. Chipsi zege yaani chipsi mayai, na nyama ya kuku na mishikaki plus bia au soda kwa mtu ambaye amekondeana na yupo chini ya uzito wa mwili unaotakiwa ni chakula muafaka na anatakiwa kukipata.

Ila mtu ambaye yupo overweight, bonge, manyama uzembe mwenye pressure ya kupanda, hicho chakula hatakiwi kukigusa labda kwa kuonja onja ila sio kama sehemu ya mlo wake wa kila siku.

So matumizi ya chakula ndilo jambo la msingi la kutazama na sio kutishana hapa.

Ngano ni muhimu sana katika lishe ikipangiliwa kwa usahihi na aina zingine za vyakula.
 
Ni lishe za wanyama sio havina swagg binadamu unakulaje mahindi yaliopondwa yakawa unga binadamu unakulaje mahindi yaliotokewa maganda yakachanganywa na maharage
Ugali ni kisindikizio cha mboga. Mboga ndio lishe kamili ya mwanadamu.

Unatakiwa ule ugali wenye mchanganyiko wa nafaka zaidi ya moja yaani mahindi, ngano, muhogo, mchele, mtama, mbegu za maboga, halafu huu mchanganyiko haitakiwi nafaka zake zikobolewe hata moja zote zinasagwa kwapamoja. Ugali wa huo mchanganyiko hauhitaji kula mwingi unasonga kidogo tu kama robo kilo ya unga ila unashibisha na kuwa na virutubisho na lishe nzuri sana.

Halafu kwenye mboga balance mambo, bakuli moja iwe na mojawapo kati ya hizi hapa, njegere, Maharage, kunde, au njugu mawe, bakuli ya pili iwe na mojawapo ya hizi hapa, nyama yoyote ile iwe ya kuku, samaki, mbuzi, au bata, kisha bakuli ya tatu iwe na mboga za majani ambazo zimeandaliwa kwa kukaagwa bila kupoteza ukijani wake na uasilia wake yaani kupashwa baada ya kuoshwa vizuri kwa maji safi na vinegar, kisha bakuli nyingine iwe na mboga mboga ya mchuzi wenye mboga mboga au kisindikizio, glass ya mtindi kwaajiri ya kusaidia umeng'enyaji wa chakula .

Sasa wabongo hata kama anakijikipato kidogo tumeshazoea kula ugali na mboga moja as if ni sheria. Na ndio maana maugali yanakuwa makubwa kama nini halafu mboga kidogo. Sasa hiyo kiafya si nzuri. Halafu ugali wenyewe wa unga wa sembe ule mweupeeeee kama unga wa chaki. Kwann usipatwe na kisukari sasa huko utu uzimani kwa kula haya matakata kila siku.

Ukila chapati au mkate, unatakiwa upate na nyama ya mchuzi, au maini ya mchuzi, mtori wa nyama au maini, na upate smoothie ya matunda, hii itasaida katika digestion. Sio unakula chapati kavu na chai ya rangi, kwann usipate constipation.
 
Mimi nalisha nguruwe mahindi paraza na soya sasa hapo si kande zilizokosa maji na moto tu alafu unakuta binadamu timamu kabisa anakula kande katia na bluebanda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya matusi mkuu, kwanini unatutukana hivi. Hakika nimeumia sana siku ya leo. Hii comment imeniharibia mipango yangu ya mwaka mzima.
 
Huna mipango unakuja kufia kwenye comment yangu😂😂😂😂😂 usitafute sababu za kuilaza familia njaa
 
Ugali ni kisindikizio cha mboga. Mboga ndio lishe kamili ya mwanadamu.

Unatakiwa ule ugali wenye mchanganyiko wa nafaka zaidi ya moja yaani mahindi, ngano, muhogo, mchele, mtama, mbegu za maboga, halafu huu mchanganyiko haitakiwi nafaka zake zikobolewe hata moja zote zinasagwa kwapamoja. Ugali wa huo mchanganyiko hauhitaji kula mwingi unasonga kidogo tu kama robo kilo ya unga ila unashibisha na kuwa na virutubisho na lishe nzuri sana.

Halafu kwenye mboga balance mambo, bakuli moja iwe na mojawapo kati ya hizi hapa, njegere, Maharage, kunde, au njugu mawe, bakuli ya pili iwe na mojawapo ya hizi hapa, nyama yoyote ile iwe ya kuku, samaki, mbuzi, au bata, kisha bakuli ya tatu iwe na mboga za majani ambazo zimeandaliwa kwa kukaagwa bila kupoteza ukijani wake na uasilia wake yaani kupashwa baada ya kuoshwa vizuri kwa maji safi na vinegar, kisha bakuli nyingine iwe na mboga mboga ya mchuzi wenye mboga mboga au kisindikizio, glass ya mtindi kwaajiri ya kusaidia umeng'enyaji wa chakula .

Sasa wabongo hata kama anakijikipato kidogo tumeshazoea kula ugali na mboga moja as if ni sheria. Na ndio maana maugali yanakuwa makubwa kama nini halafu mboga kidogo. Sasa hiyo kiafya si nzuri. Halafu ugali wenyewe wa unga wa sembe ule mweupeeeee kama unga wa chaki. Kwann usipatwe na kisukari sasa huko utu uzimani kwa kula haya matakata kila siku.

Ukila chapati au mkate, unatakiwa upate na nyama ya mchuzi, au maini ya mchuzi, mtori wa nyama au maini, na upate smoothie ya matunda, hii itasaida katika digestion. Sio unakula chapati kavu na chai ya rangi, kwann usipate constipation.
Broo unatupiga ngumi kwenye vidonda ambavyo havijapona, hii sio haki.
 
Huna mipango unakuja kufia kwenye comment yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usitafute sababu za kuilaza familia njaa
Naangalia uwezekano wa kukufungulia mashtaka kwenye mahakama za kimataifa. Unawezaje kudharau tamaduni za watu kwa kiasi hicho
 
Mmedharauliwa toka mnazaliwa leo ndio unastuka baada ya kusema nalisha nguruwe zangu mahindi paraza na soya😂😂😂😂😂😂
 
Mmedharauliwa toka mnazaliwa leo ndio unastuka baada ya kusema nalisha nguruwe zangu mahindi paraza na soya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hili suala lako litatufikisha mbali, kesho ICC watatoa warrant ya kukukamata kwa dharula. Unachokifanya ni kuhatarisha usalama wa dunia.
 
Back
Top Bottom