Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivuli chake kinawatesa sana. Dunia nzima hakuna inayomtambua Magu kama gaidi isipokuwa watanzania waliozoea kuchekewa hata kwenye maovu yao.
Kivipi mkuu?Tanzania haijawahi kuwa ns Rais mkali kama Kikwete. Tulidanganywa na tabasamu lake la kinafiki.
Jikite kwenye hojaAlikuwa fala tu mwenye kudharau Wanawake.
Inaelekea hujui maana ya fala. Fala ni mwanaume anayeshikishwa ukuta kama tundu lisu.Alikuwa fala tu mwenye kudharau Wanawake.
Na walikua wanaiva kweli.
Unafiki. Ndilo neno stahiki hapo.Ccm wote Wana heshima za uoga, k
Wakati na wewe unafukiwa utaikumbuka hiyo kauli.Mungu fundi
Hiyo pesa ya madafu nani ataipokea? Inatakiwa pesa yenyewe, ambayo haipo.mi nimewaza Bimkubwa asiogope kelele akope pesa mifuko ya jamii anunue vichwa vipya tu maana hakuna Fao la Kujitoa pesa zimerundikana hazina kazi. Mradi utarudisha mkopo huo wa ndani usio na masharti ya kunyang'anywa bandari na wachina kama Sri Lanka!
Njoo unifukie sasaWakati na wewe unafukiwa utaikumbuka hiyo kauli.
Afanye nini Mama wa watu ikiwa wenye nchi wameamua.Kama Kikwete na genge lake hatadhibitiwa hii nchi itaanguka,yaani jamaa anaona hii nchi kama ya Baba yake aliachiwa urithi.Madaraka wanateuliwa watu wa ovyoovyo tu.Ila Srilanka nimewapenda bure,hawataki utani.Maisha magumu kila siku mahitaji muhimu yanapanda Bei holela holela,Bibi yupo kimya chini ya Msoga gang!vichwa vipya vya treni viwili nI bora kuliko vichwa kumi chakavu maana maintenance yake ni daily na kabla hujarudisha pesa uliyovinunulia tayari vimefeli kazi!wauzaji watakuwa wamemcheka na kumdharau sana Bimkubwa Samia!wamemuona hana akili kabisa huwezi kuanza mradi mpya wa matrilioni kwa Zana chakavu!! washauri wa Bimkubwa hawafai!!Wanampotosha achukue vichwa vingi chakavu ili mradi ukijakufeli watu waje waseme alikuwa Rais mjinga!
mi nimewaza Bimkubwa asiogope kelele akope pesa mifuko ya jamii anunue vichwa vipya tu maana hakuna Fao la Kujitoa pesa zimerundikana hazina kazi. Mradi utarudisha mkopo huo wa ndani usio na masharti ya kunyang'anywa bandari na wachina kama Sri Lanka!
Vichwa vipya vichache vitapiga kazi kubwa regularly nenda rudi usiku mchana mwanzo mwisho na vitanunua hizo vichwa chakavu ila vichwa chakavu havitaleta pesa ya kununua vichwa vipya sababu ya kupaki mara nyingi karakana for maintenance! this is simple logic Bimkubwa anafeli wapi? She is too smart for that! ameniangusha!
Kuna maamuzi mengi amepatia ila katika hili suala la kijinga kutumia vichwa chakavu vya treni Bimkubwa kachemka na kuwapa nguvu sana wote wanaosema anatumia akili za kuazima toka Msoga!
kwakweli wanawake wote mnamchukia sana huyu jamaa.Alikuwa fala tu mwenye kudharau Wanawake.
Never outshine your bossNi kwamba Samia alikua anamuogopa boss wake ama?
View attachment 2285984
Bila Mwanamke amgekuwepo huyo Mbwigakwakweli wanawake wote mnamchukia sana huyu jamaa.
anyway poleni lakini.
Aikuwa akiamua kupoteza ramani yako anaipoteza jumla. Sasa Magu anaweza akakutoa ukashangaa anakurudisha. Mfano Diwani aliwahi kuwa Katibu Tawala. Kichere, simbachawene, makame mbarawa. Woote walishusha wakapandishwa tena. Kuwasamehe wakina masamaki. Ila JM akikikuchukia ni jumlaTanzania haijawahi kuwa ns Rais mkali kama Kikwete. Tulidanganywa na tabasamu lake la kinafiki.
Mbona akina lugola walimsifu lkn akawachinjia mbali. Usifu ama usisifu kwa mwamba ulikuwa ukikoroga unakutana na rungu.
Mungu kaamua ugomvi ! in Nape voice.….Ni kwamba Samia alikua anamuogopa boss wake ama?
View attachment 2285984