Ukiangalia hii picha ya Samia akiwa na Magufuli unaelewa nini?

Ukiangalia hii picha ya Samia akiwa na Magufuli unaelewa nini?

Aaa wapi, dhalimu ndio muasisi wa hiu tabia ya kusifia na kusujudu viongozi. Tabia ile aliyopandikiza ndio imemea. Sasa hivi kila kiongozi wa CCM anataka kusifiwa ili kuhadaa umma kuwa wako madarakani kihalali.
Njaa zao tu ndo ziliwatuma kumwaga sifa, hakuna rais aliyependa kusifiwa na pasipostahili.
 
Huoni hilo jamaa la katikati linavyocheka kinafiki.... Kuishi na jiwe ilihitaji uvumilivu sana.
 
Mama Ni Kama anaguna!
Kuna kitu aliburuzwa tu hapo.
 
Back
Top Bottom