Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Ni kweli. Sio gaidi ila Dikteta. Na dikteta katika dunia ya sasa ni mtu mbaya zaidi kwani madikteta ndio wanaosababisha madhara makubwa katika mfumo wa maisha.Kivuli chake kinawatesa sana. Dunia nzima hakuna inayomtambua Magu kama gaidi isipokuwa watanzania waliozoea kuchekewa hata kwenye maovu yao.
Magufuli kama binadamu alikuwa na maisha yake kama wengine wote tuu, lakini tukimjadili kama Rais alikuwa wa hovyo sana kupata kutokea nchi hii.
Kwa maana hiyo, kama binadamu tunamuomba Mungu amuweke mahali panapo stahili. Ila kama Rais, tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea kiongozi muovu.