Ukiangalia hii picha ya Samia akiwa na Magufuli unaelewa nini?

Kivuli chake kinawatesa sana. Dunia nzima hakuna inayomtambua Magu kama gaidi isipokuwa watanzania waliozoea kuchekewa hata kwenye maovu yao.

Alikuwa dictator uchwara fullstop.
 
naona team Lumumba bk7 wamerudi kwa kasi sana msimu huu na kauli mbiu ni 1 pinga na kukosoa yote ya JPM na kusifia pumba za awamu ya 6
anaway,, kazi iendelee
 
Hiyo pesa ya madafu nani ataipokea? Inatakiwa pesa yenyewe, ambayo haipo.
 
Naona kicheko kulikuwa kimembana, lazima kastory ka ngono kalichomekewa
 
Afanye nini Mama wa watu ikiwa wenye nchi wameamua.Kama Kikwete na genge lake hatadhibitiwa hii nchi itaanguka,yaani jamaa anaona hii nchi kama ya Baba yake aliachiwa urithi.Madaraka wanateuliwa watu wa ovyoovyo tu.Ila Srilanka nimewapenda bure,hawataki utani.Maisha magumu kila siku mahitaji muhimu yanapanda Bei holela holela,Bibi yupo kimya chini ya Msoga gang!
 
Tanzania haijawahi kuwa ns Rais mkali kama Kikwete. Tulidanganywa na tabasamu lake la kinafiki.
Aikuwa akiamua kupoteza ramani yako anaipoteza jumla. Sasa Magu anaweza akakutoa ukashangaa anakurudisha. Mfano Diwani aliwahi kuwa Katibu Tawala. Kichere, simbachawene, makame mbarawa. Woote walishusha wakapandishwa tena. Kuwasamehe wakina masamaki. Ila JM akikikuchukia ni jumla
 
Mbona akina lugola walimsifu lkn akawachinjia mbali. Usifu ama usisifu kwa mwamba ulikuwa ukikoroga unakutana na rungu.

Aaa wapi, dhalimu ndio muasisi wa hiu tabia ya kusifia na kusujudu viongozi. Tabia ile aliyopandikiza ndio imemea. Sasa hivi kila kiongozi wa CCM anataka kusifiwa ili kuhadaa umma kuwa wako madarakani kihalali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…