Ni kweli. Sio gaidi ila Dikteta. Na dikteta katika dunia ya sasa ni mtu mbaya zaidi kwani madikteta ndio wanaosababisha madhara makubwa katika mfumo wa maisha.Kivuli chake kinawatesa sana. Dunia nzima hakuna inayomtambua Magu kama gaidi isipokuwa watanzania waliozoea kuchekewa hata kwenye maovu yao.
hapana huyu mama ni mnyenyekevu pia ni mcha Mungu sana ila apunguze tu kujibu kila hoja zinazotembea mtandaoni yeye azifanyie kazi kimya kimya.Ni kwamba Samia alikua anamuogopa boss wake ama?
View attachment 2285984
Madaraka ni kupokezanaIla leo huyo aliyekuwa Anamtisha ndiye anahakikisha mke wake anatunzwa vyema ili asiangukie kwa masela!
Huko CCM sifa kubwa ni kuwa mnafiki na nidhamu ya wogaNi kwamba Samia alikua anamuogopa boss wake ama?
View attachment 2285984
Ni kawaida sana kwa watu kutokuwasahau watu waovu kirahisi kuliko wema. Mpaka leo Hitler bado anakumbukwa.Nimeamini JPM alikuwa na POWER ya ajabu sana.
Mwaka mmoja yupo kaburini lakini bado ANAWAJAMBISHA JAMBISHA kila inayoitwa leo.
Na ATAWAJAMBISHA kweli kweli.
M/ Mungu ni mwingi wa rehema na huruma. Anasema samehe 7x70, hivyo kwa wengi tunaamini kwa mabaya yake atasameheka na kwa mazuri yake atapongezwa. No one who is perfect na usitegemee kila rais amlizishe kila mtu. We umedai ndo mbaya kuwahi kutokea ila wapo wanaoamini ndo mzuri kuliko wte. Waache watu waamini kadri wawezavyo na wajuavyo.Ni kweli. Sio gaidi ila Dikteta. Na dikteta katika dunia ya sasa ni mtu mbaya zaidi kwani madikteta ndio wanaosababisha madhara makubwa katika mfumo wa maisha.
Magufuli kama binadamu alikuwa na maisha yake kama wengine wote tuu, lakini tukimjadili kama Rais alikuwa wa hovyo sana kupata kutokea nchi hii.
Kwa maana hiyo, kama binadamu tunamuomba Mungu amuweke mahali panapo stahili. Ila kama Rais, tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea kiongozi muovu.