Kama kuna jambo la kipumbavu na la kijinga alilofanya huyu rais wa nchi jirani ni la kujipeleka kwa usa mzima mzima. Yaan kwa watu wenye akili mgando na wenye akili kisoda ndo wanaona kafanya jambo la kusifiwa, matekani huwa hasaidii nchi masikini, bali huzitumia kwa manufaa yake mwenyewe, once ukiwa huna potential kwake tena anakutema kama mua unavyotemwa ukiisha utamu.
State Visit haiji hivihivi tu. Ukiona State Visit ujue kuna ma deal ya kusainiwa yapo, kuna strategic alliances zinajengwa. Luna business lobbying imefanyika. Hii inakuwa indication ya uwezo wa nchi kufanya deal kubwa na Marekani. Hupati State Visit kwenda kuuza sura tu.Kwa hiyo kufanyiwa state visit ni kipaumbele? Mbona mna hoja hazina mashiko. Bado mna akili za kitumwa
Maraisi wa mataifa mangapi hawajafanyiwa state visit hapo Marekani yamepungukiwa nini?
Mimi sioni mantiki ya huu ushindani mlioleta
Ingeenda direct kwenye economic infrastructures ingekuwa na tija zaidi ingesupport productive activitiesInaingia katika mzunguko wa hela Kenya, watalipwa askari wa Kenya, itaenda kwenye projects za capacity building Kenya, etc
Unafikiri Ruto mjinga atoe askari wake bila kupata kitu?
Alipokelewa kwa heshima na Diddy kwa kupigwa mbupu yeye na meneja wake😃😃😃😃😃Mbona rais wa wasafi WCB, diamond platnumz amepokelewa kwa heshima nchini marekani na barani ulaya 😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
Unafikiri nchi ambazo uchumi wake unakua kwa kasi kama Indonesia, Singapore zilihitaji state visit ngapi pale Marekani kufikia hapo zilipo?State Visit haiji hivihivi tu. Ukiona State Visit ujue kuna ma deal ya kusainiwa yapo, kuna strategic alliances zinajengwa. Luna business lobbying imefanyika. Hii inakuwa indication ya uwezo wa nchi kufanya deal kubwa na Marekani. Hupati State Visit kwenda kuuza sura tu.
Rais Omar Bongo wa Gabon alitaka kulipa dola za Kimarekani milioni 8 ili apate State Visit kukutana na George W. Bush. Alijua atapiga deals kubwa zaidi ya hiyo hela.
Mbona unaangalia State Visit kama State Visit tu bila ya kuangalia deals na strategic positioning inayofanyika?
Huwezi kujua hiyo status ina ma deal yapi yanayotangazwa na yapi yasiyotangazwa sana.Ingeenda direct kwenye economic infrastructures ingekuwa na tija zaidi ingesupport productive activities
Soma mada ni nini ewe poyoyo.Maneno anayosema MMarekani usiyoyaelewa wewe kibibi, unayaimba tu kama santuri mbovu.
Sijaona hoja yako hapaHuwezi kujua hiyo status ina ma deal yapi yanayotangazwa na yapi yasiyotangazwa sana.
Na hujui ita i springboard Kenya vipi kufanya hayo mengine vizuri zaidi. Dunia nzima imemuangalia Ruto akikata deals katika njia ambayo haijamuangalia Samia.
Kenya is becoming a regional leader, commanding respect on the global scene in a way tgat Tanzania is equally waning and becoming less relevant.Sijaona hoja yako hapa
Kipimo cha raisi anayeheshimika ni nini?Mtoa mada alitaka kujua kwa nini Ruto anaheshimika sana duniani ukimlinganisha na Samia.
Ujanja wa kupewa state visit na kupewa misaada?Sababu nyingi nimezitaja hapo juu. Lakini kubwa zaidi ninkwamba viongozinwa Tanzania ni washamba.
Ni anavyoweza kuongoza global agenda.Kipimo cha raisi anayeheshimika ni nini?
AaaaahaaMarekani huwa Hana muda na viongozi wa manchi ya kijamaa.
Hakuna msaada katika geopolitics, kuna strategic moves na partnership tu.Ujanja wa kupewa state visit na kupewa misaada?
Nenda nchi za ASEAN na Latin America uone viongozi wajanja jinsi wanakuza uchumi wa nchi zao kwa kasi na kiteknolojia
Wewe si ndiye uliyeanza kusema Ruto anaheshimika dunianiMtoa mada ametaka kujua kwa nini Ruto anaheshimika kuliko Samia kimataifa, hajataka kumlinganisha Ruto na viongozi wa ASEAN wala Latin America.
Kama sababu ni hizo basi hauna hoja za maana za kumheshimishaNi anavyoweza kuongoza global agenda.
Ruto anaongoza agenda against dollar dependency Africa. Ndiyo maana kina Biden wanamuita kwenye ma state visit kupanga naye waende vipi, he is at the table setting the agenda.
Ruto anaongoza ajenda ya kupeleka Polisi wa Kenya Haiti, angalau watu wameona kaanzisha kitu, wanamsaidia kifedha na logistics nyingine.
Ruto anaongoza ajenda ya kuwapeleka Wakenya wasomi dunia nzima wakamate nafasi muhimu watoe fursa kwa wenzao walio nyumbani. Anawapigania watu wake.
Ruto anaifanyia haki dhana ya "kutofungamana na upande wowote", anaifanyia haki dhana ya "diplomasia ya uchumi". Anakula na Wachina, ananawa, anakula na Wamarekani. Anasema yeye anaangalia maslahi ya Wakenya tu.
Samia anaongoza ajenda gani kubwa kwenye nyanja za kimataifa?
Nimekurudisha mwanzo kabisa wa mada mtu kauliza kwa nini Ruto anaheshimika sana duniani kulinganisha na Samia?Wewe si ndiye uliyeanza kusema Ruto anaheshimika duniani
Na mimi nikakupa mifano ya maraisi wa mataifa mengine duniani
Mbona umepanick tena?
Hujaeleza kwa nini sina hoja, hujaeleza Samia anaongoza ajenda gani kubwa ya kimataifa.Kama sababu ni hizo basi hauna hoja za maana za kumheshimisha
Sijaona sababu zozote za msingi za Ruto kuheshimika duniani. Na wala huwezi kumpata katika list ya maraisi wanaoheshimikaNimekurudisha mwanzo kabisa wa mada mtu kauliza kwa nini Ruto anaheshimika sana duniani kulinganisha na Samia?