gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
UNAZIJUA BALLISTIC MISSILE WEWE? KAMA WANAZO MBONA HAWAIPIGI TEL AVIV?Wavuta bangi gani tena wanamiliki ballistic missile au mimi ndio sijui kuhesabu ????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UNAZIJUA BALLISTIC MISSILE WEWE? KAMA WANAZO MBONA HAWAIPIGI TEL AVIV?Wavuta bangi gani tena wanamiliki ballistic missile au mimi ndio sijui kuhesabu ????
KAMA MAREKANI ALIIVAMIA IRAQ,LIBYA ANASHINDWA NINI KUIVAMIA URUSI?Babu Putin akidundwa kidogo anatishia Nuclear
✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝Una akili sana Dogo,najua wewe ni ke.Kwahiyo kuua watu ni sifa?
Putin namkubali sababu anaendesha ile oparesheni kistaarabu sana, kwa uwezo alionao anaweza kufanya hata zaidi ya hao unaowasifu.
Mpuuzi kweliHuna ujualo, kama lipo bas unalijua isivyo sawa sawa..Historia ya marekan u cant find it anywhere in more that 2000 years back ambapo jews walishakua wanakipiga sana na hawa waajemi na wafilist. Marekan ni taifa la juz tu halina historia oldest hata ukilinganisha na wa ottoman au warumi, wayahud ndio usiseme kabisaa wala kuwalinganisha nao
D yako moja ndo inakufanya kumuona Russia overrated kwasababu ya israel kuonea vikundi vya vikoba pale middle east!!!Bado mpaka ahakikishe amesafisha kote mashariki ya kati
Weka upuuz wangu bayana, sio kelele hiz na kijinga jingaMpuuzi kweli
Upuuzi wako mbona uko dhahiri kwenye uandishi na mwandiko wako,sikazi hata kuchamba vizuri huweziWeka upuuz wangu bayana, sio kelele hiz na kijinga jinga
Unafikiri kwakua we anakuchamba pdidy bas kila mtu yuko kama wewe !?Upuuzi wako mbona uko dhahiri kwenye uandishi na mwandiko wako,sikazi hata kuchamba vizuri huwezi
Kacheze bintiUnafikiri kwakua we anakuchamba pdidy bas kila mtu yuko kama wewe !?
Kwann hawasaidii sasa unafikiri??
Why Moscow championed the creation of IsraelSema ninahisi yaliyoandikwa kwenye Biblia yakawa na ukweli 100%. Kuwa atakayekubariki nitambariki na atakayekulaani nitamlaani. Nadhani Marekani hii siri ameijua muda mrefu sana na ndio maana muda wote ameikumbatia Israel kama mwanae vile. NA HUENDA HII NDIO SIRI KUBWA YA MAFANIKIO YA TAIFA LA MAREKANI kuwa na nguvu kubwa na uchumi kuliko taifa lolote lile duniani.
Angalia Mataifa yenye uadui na ISRAEL uone jinsi yanavyoanguka na kudumaa.
Hata Russia hii siri anaijua na ndio maana huoni akiiletea ISRAEL chokochoko.
Nchi nyingi duniani zenye uhusiano mzuri na ISRAEL zimestawi sana. Hata jirani zetu Rwanda japo ni kanchi kadogo na kanaendeshwa kidikteta lakini ana ustawi mzuri sana na jamii yake ipo vizuri hasa baada ya mauaji ya Kimbari.
Angalia Idi Amini Dada alivyowasaliti ISRAEL mwaka 1978 kwa kuwateka wale wayahudi, huenda ile ndio laana iliyomfanya ashindwe vita na likawa ni anguko lake.
Angalia jinsi Kenya ilivyobarikiwa katika Uchumi na Maendeleo ya nchi, wao miaka yote tangu uhuru wamekuwa na mahusiano mazuri sana na ISRAEL tofauti na sisi tuliovunza uhusiano na ISRAEL kipindi cha Nyerere, japo alipokuja Magufuli alirejesha. Na kipindi chote hicho Maendeleo yetu yalidumaa sana.
Tusishupaze shingo zetu na TUSIUKWEPE UKWELI. Nadhani hata Farao pamoja na kuona matendo makubwa yaliyotokea kwa wayahudi lakini bado alikuwa mgumu kuukubali ukuu wa Mungu wa ISRAEL. Hivi kweli unamkimbiza mtu halafu anafika baharini unajua sasa unamkamata halafu ghafla unaona maji yanajitenga kulia na kushoto na kutengeneza njia ili mtu huyo apite, HALAFU BADO UNAKOMAA KUMFUATA .
WAISLAMU NA WALE WA KRISTO MSIO AMINI KUWA MUNGU WA MBINGUNI ALILIBARIKI LILE TAIFA NA HATA SASA ANALILINDA . TUJITAFAKARI
MIMI NINAAMINI HUENDA HATA KULIWAZIA MABAYA TU LILE TAIFA NI LAANA
Story za kwenye vijiwe vya kahawa hizi.HIVI UNAFAHAMU KUWA BILA MAREKANI HAKUNA ISRAEL? KILA MWAKA ROBO TATU YA BAJETI YA NCHI YA ISRAEL ANATOA MAREKANI? SILAHA ZOTE NZITO NZITO NA ZA MAANA ANAPEWA NA MAREKANI? HIVI UNAFAHAMU KUNA BAADHI YA SILAHA ISRAEL ANANUNUA URUSI? HIVI UNAFAHAMU HADI SASA HIVI ISRAEL ANAPIGANA NA VIJANA WA MTAANI TU AMBAO WANAJUA KUTUMIA BUNDUKI TU TENA WAKIWA HAWANA MAFUNZO YA KIJESHI? NA BADO ANATOLEWA KAMASI?
Ehhh. kuna uhusiano gani hapo sasaIsrael hana kelele ni kipigo tu
Russia kelele Nyingi mara atishie kutumia nyuklia na mambo mengi ..
Tunataka atoe kichapo .
PatheticSema ninahisi yaliyoandikwa kwenye Biblia yakawa na ukweli 100%. Kuwa atakayekubariki nitambariki na atakayekulaani nitamlaani. Nadhani Marekani hii siri ameijua muda mrefu sana na ndio maana muda wote ameikumbatia Israel kama mwanae vile. NA HUENDA HII NDIO SIRI KUBWA YA MAFANIKIO YA TAIFA LA MAREKANI kuwa na nguvu kubwa na uchumi kuliko taifa lolote lile duniani.
Angalia Mataifa yenye uadui na ISRAEL uone jinsi yanavyoanguka na kudumaa.
Hata Russia hii siri anaijua na ndio maana huoni akiiletea ISRAEL chokochoko.
Nchi nyingi duniani zenye uhusiano mzuri na ISRAEL zimestawi sana. Hata jirani zetu Rwanda japo ni kanchi kadogo na kanaendeshwa kidikteta lakini ana ustawi mzuri sana na jamii yake ipo vizuri hasa baada ya mauaji ya Kimbari.
Angalia Idi Amini Dada alivyowasaliti ISRAEL mwaka 1978 kwa kuwateka wale wayahudi, huenda ile ndio laana iliyomfanya ashindwe vita na likawa ni anguko lake.
Angalia jinsi Kenya ilivyobarikiwa katika Uchumi na Maendeleo ya nchi, wao miaka yote tangu uhuru wamekuwa na mahusiano mazuri sana na ISRAEL tofauti na sisi tuliovunza uhusiano na ISRAEL kipindi cha Nyerere, japo alipokuja Magufuli alirejesha. Na kipindi chote hicho Maendeleo yetu yalidumaa sana.
Tusishupaze shingo zetu na TUSIUKWEPE UKWELI. Nadhani hata Farao pamoja na kuona matendo makubwa yaliyotokea kwa wayahudi lakini bado alikuwa mgumu kuukubali ukuu wa Mungu wa ISRAEL. Hivi kweli unamkimbiza mtu halafu anafika baharini unajua sasa unamkamata halafu ghafla unaona maji yanajitenga kulia na kushoto na kutengeneza njia ili mtu huyo apite, HALAFU BADO UNAKOMAA KUMFUATA .
WAISLAMU NA WALE WA KRISTO MSIO AMINI KUWA MUNGU WA MBINGUNI ALILIBARIKI LILE TAIFA NA HATA SASA ANALILINDA . TUJITAFAKARI
MIMI NINAAMINI HUENDA HATA KULIWAZIA MABAYA TU LILE TAIFA NI LAANA
Si wamesema wana silaha zote kasoro nyukilia tuUNAZIJUA BALLISTIC MISSILE WEWE? KAMA WANAZO MBONA HAWAIPIGI TEL AVIV?
Hii ndio shida ya kujadili na watoto wa shule wakiwa wanaiba simu.Israel hana kelele ni kipigo tu
Russia kelele Nyingi mara atishie kutumia nyuklia na mambo mengi ..
Tunataka atoe kichapo .
Israel hana kelele ni kipigo tu
Russia kelele Nyingi mara atishie kutumia nyuklia na mambo mengi ..
Tunataka atoe kichapo .
Amna kitu hapo mkuuOK KARIBU SHULE UJIFUNZE VIKUNDI VYA WAPIGANAJI KAMA HAMAS/HIZBOLAH HAWANA HELIKOPTA,JET FIGHTERS,VIFARU,ARMORED VEHICLES,MIFUMO YA KUZUIA MAKOMBORA N.K KWASABABU NI VIKUNDI TU SIO JESHI WANA SILAHA DHAIFU TU NA ZA KAWAIDA KINACHOWASAIDIA NI KUVAA KIRAIA NA KUJICHANGANYA NA RAIA NDIO MAANA INAKUWA NGUMU KUPAMBANA NAO KAMA WANAJITOKEZA KWENYE OPEN GROUND JWTZ INAWASHUSHA DK TU. HAMAS/HIZBULAH VIKUNDI VYA WAHUNI TU.
kwa akili za mende ulizonazo huna hata hadhi ya kukoti na kujibu hii jumbe mfia dini.Story za kwenye vijiwe vya kahawa hizi.
wangekuwa na silaha za maana israel ingekuwa imegeuka majivu siku nyingi.Si wamesema wana silaha zote kasoro nyukilia tu