Ukichelewa kuolewa kuoa hii ni shida

Kama mtoto wa kiume una miaka 33 bado hujaoa, jitafakari.
Kwa ma slay queen Kama umefikisha 34 hujaolewa, tafuta boda boda uzae nae halafu Anza uanaharakati wa u feminist.
Ukiwa 34 hujaolewa ujue wanaume
Mmmh inaweza kua ni sawa..mawazo yako hayo
 
Wasukuma , wakisii , wanyakusa hawajatahiriwa
 
Hahahaaa...... Wanawake wa mjini bhana, hawaishiwi vioja.
 
Nakubali, mengine hata ukiwa alone unaweza mudu ila ile kitu hata MUNGU alituweza hainaga self defence.
...nia ya kuoana ni kupata mtoto... na kubadili lifestyle... Ili kuachana au angalau kupunguza na kuepuka zile za hovyo... bila kusahau kurahisisha mambo due to kusaidizana kiuhalali...
 
hana mtoto hata mmoja hio shida ya kutosimamisha hata mm ilinikimbiza nitaishije?? atanitia vidole?? mboo ina utam wake
Kwahiyo ulitest mitambo kabla hajakuoa au ulikimbia baada ya ndoa?

Vipi kama jamaa labda siku hiyo tu hakuwa sawa Ila Ina erect?
 
Kwahiyo ulitest mitambo kabla hajakuoa au ulikimbia baada ya ndoa?

Vipi kama jamaa labda siku hiyo tu hakuwa sawa Ila Ina erect?
hata hio ndoa hatukuwah kuoana sasa ntajuaje hill swali lako labpili
 

Uyo mchaga ambae hasimamishi alikua anatafuta mke au mfanyakazi[emoji3][emoji23][emoji23]Na kama uliona unaweza ishi nae kwann ulimuacha
 
Kuchelewa kuolewa na kuoa kunaanzia miaka mingapi kwan?????
Ukipata mtoto ukiwa na miaka 35.....siku mwanao akifikisha umri kama wako wewe utakuwa na 70.....check life span.
Hapo hujazingatia hospice.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…