Ukichelewa kuolewa kuoa hii ni shida

Ni kweli hata usipooa au kuolewa haina tatizo.
Sasa huyu mwenzetu anataka kuolewa na mtu asiyesimamisha ndo mimi ninaposhangaa.
Kwanini aolewe?
Huyu kuna vitu uwenda alivipa vipaumbele nakusahau sekta nyeti, mpaka hata kuapply formular ya shake well before use?
 
Mwambie moja ya sheria za kuvunja ndoa ni kutokufanya sex
 
Vp, bado unatafuta? [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu mmeanza kufunguka mmoja baada ya mwingine[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyo mchaga ambae hasimamishi alikua anatafuta mke au mfanyakazi[emoji3][emoji23][emoji23]Na kama uliona unaweza ishi nae kwann ulimuacha
Nilichoka kuwa na shemeji yangu huu ndio ukweli yule umpendaye anakuangalia tu , au mnafanya romance unamtafuta shem amalizie hata watoto tulikuwa tuende nairobi kuwekewa mbegu zake hii ni ilikuwa shida sana
 
Sorry! correct me kama sijakuelewa, means ulikuwa unapata romance kwa mzee baba anatibua cheche lakini moto anaenda kuuwasha shem darling?
 
Sorry! correct me kama sijakuelewa, means ulikuwa unapata romance kwa mzee baba anatibua cheche lakini moto anaenda kuuwasha shem darling?
Eh kabisa au mnapanga shemeji lini aje home mmalizane hivyoo ila kama umemmis anachoweza ni romance tu ila shemeji anamalizia kazi yake
 
Eh kabisa au mnapanga shemeji lini aje home mmalizane hivyoo ila kama umemmis anachoweza ni romance tu ila shemeji anamalizia kazi yake
Dah pole kwanini haukufanya maamuzi mapema mana hapo hakuna mapenzi ni udhalilishaji wa viwango, na yeye alikuwa anajua kama unamalizana na shemej yako na alilipokeaje?
 
Dah pole kwanini haukufanya maamuzi mapema mana hapo hakuna mapenzi ni udhalilishaji wa viwango, na yeye alikuwa anajua kama unamalizana na shemej yako na alilipokeaje?
Yeye alipanga hivyoo mana tulijaribu kila namna hakuna matokeo halisi
 
Yeye alipanga hivyoo mana tulijaribu kila namna hakuna matokeo halisi
Sasa si bora angekuacha ukafanye maisha mengine na yeye angekubaliana na hali yake, mana nawaza uyo shemej yako najua ingekuwa ngumu kukuoa au je kama alikuwa na mahusiano yake mengine si aibu kama uyo mwanamke mwenzio angegundua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…