Wachaga ni wafanyabiashara hilo hakuna mtanzania Hajui na biashara zao leo ni machinga Kesho unamkuta na frem kariakoo.Au anataka kusema wale wanaotembeza bakuli za mbege mitaani huku Dar sio wachaga wenzake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Awaongopee ambao hawajawahi fika hapo!! Miaka ya nyuma mtukula palikuwa pamechangamka sana kutokana na muingiliano wa biashara, toka jiwe ameweka kodi za ajabu pamekufa na wafanya biashara wengi wanafuata mizigo katoro!!!!
mjenga nchi si mwananchi jiulize kwa nini waje kutoboa hapa kwetu na sisi tupo? Ndo maana nikashauri ili mbongo atoboe inabidi atoke nje kule kuna fursa ambazo wenyeji hawazijui. Nikosoe kama nimekoseaNo umekosea mkuu,mbona wageni Kama wachina,wahindi wanakuja na wanatoboa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm si mchaga ila napenda sana style zao za kusaka maisha. Wako so focused in such kwamba wanachojali wao ni kesho yao.Hahaha nikiona mtu anamlaumu mchaga kisa kabila lake hua najua ni lazima ana matatizo ya kichwa sababu kama ni ukabila basi wachaga wasingefanikiwa kuishi na jamii zote na kufanikiwa kila mahali kama ilivyo sasa, kama wachaga wangekua wa kabila basi biashara zao zisingefanikiwa kabisa huko mikoani sababu watu wangewchukuia
Ni wivu tu wanao juu ya wachaga utafikiri ndio wanafanikiwa, yaani usidhubutu kumpa kazi kwenye kiwanda chako huyu atakilipua kwa wivu akijua utafilisika kumbe kiwanda kina bima
Hakuna mchaga anaetembeza bakuli. Ulizia makabila gani wanaongoza kwa omba omba dar. Namba 1 wagogo.Au anataka kusema wale wanaotembeza bakuli za mbege mitaani huku Dar sio wachaga wenzake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiwanda gani hiko labda .emb toa mfano?Viwandani day worker wakichaga wengi sana labda sijui wewe unazungumzia nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mgumu sana mbali na kupakana na nchi tatu lkn bado tuNimeona nimpite tuu....yaan yy kila kitu kusifia kagera!
Mwaka Jana likizo yangu, nimeenda na biashara fulani ya wadada loooh!
Yaan hata elfu mbili ni ishu kwao[emoji848][emoji849]...
Mkoa mgumu sana ule kihela!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhaya amlimie mtu shamba? Asubutuuuu [emoji28].....halafu wamekuwa walevi balaa!Mgumu sana mbali na kupakana na nchi tatu lkn bado tu
Kahawa ndo ilikuwa tegemeo kuu kiuchumi
Tabia za wahaya wengi ni wabaguzi wa kazi kuna kazi zinadharauliwa mfano kazi za vibarua wa kulima mara nyingi hufanywa na warundi, waganda wajanja sana ......wenyeji wamekalia kuchuuza bidhaa na kujisifia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhaya amlimie mtu shamba? Asubutuuuu [emoji28].....halafu wamekuwa walevi balaa!
Yaan huko vijijini mmh!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...nimecheka sana hapo kwenye barabara...Inasikitisha kwakweli....ujuaji sasa kila mtu anajiona ni muheshimiwa
Kuna mahali wanagoma kukarabati barabara ya kitongoji, eti kisa tu wakazi maeneo yale hawana magari ....utawasikia wanasema, "kahi emotoka zigyo omwananka abana bange tibagila motoka hawo embarabara ninkola yaki?"
Yani kwamba magari huenda kwa akina fulani hapo mi barabara natengeneza ya nini? Na barabara ni mbovu kweli kweli
Mtu analima mpaka barabarani anapanda maharage .....ubinafsi ndo weakness inayoua huu mkoa kiuchumi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...nimecheka sana hapo kwenye barabara...
Kwa Bibi zangu ni muleba/ nshamba... Niliyoyaona hukoo mmmh!
Wahaya so selifish sana daaah!
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka haijui Simiyu huyo watu Mbona wana hela tuu huku na wanakuja kusaka life na wanatoboa km kawaMaisha ni popote.. Changamoto za kwenye hiyo mikoa ndio fursa zenyewe...
Umeitaja Simiyu? Unaijua Simiyu lakini? Umeshawahi fika pale makao makuu ya mkoa, Bariadi?
Zanzibar ni nchi sio mkoa!Ieleweke ni ngumu sana kufanikiwa kimaisha SIO haiwezekani kufanikiwa:-
- Arusha
- Kilimanjaro
- Tabora
- Simiyu
- Geita
- Kigoma
- Lindi
- Mtwara
- Ruvuma
- Bukoba
- Mara
- zanzibar yote
Hiyo mikoa kama ndio unataka kuanza kutafuta maisha sikushauri uende.
Hivi mkuu ee.kuku wa mwanga bar na kito huwa nawapitia sana nimipita dom.ni nafuu kuliko mjini daslam!Umesahau dodoma Ukipata 10k kwa siku yote inaishia sokoni
CC Zero IQ
Acha ureee eti wana roho mbaya, fanya kazi uree acha.