Inasikitisha kwakweli....ujuaji sasa kila mtu anajiona ni muheshimiwa
Kuna mahali wanagoma kukarabati barabara ya kitongoji, eti kisa tu wakazi maeneo yale hawana magari ....utawasikia wanasema, "kahi emotoka zigyo omwananka abana bange tibagila motoka hawo embarabara ninkola yaki?"
Yani kwamba magari huenda kwa akina fulani hapo mi barabara natengeneza ya nini? Na barabara ni mbovu kweli kweli
Mtu analima mpaka barabarani anapanda maharage .....ubinafsi ndo weakness inayoua huu mkoa kiuchumi
Sent using
Jamii Forums mobile app