Ukienda kutafuta maisha kwenye mikoa hii ni ngumu sana kutoboa

Ukienda kutafuta maisha kwenye mikoa hii ni ngumu sana kutoboa

Hahaha nikiona mtu anamlaumu mchaga kisa kabila lake hua najua ni lazima ana matatizo ya kichwa sababu kama ni ukabila basi wachaga wasingefanikiwa kuishi na jamii zote na kufanikiwa kila mahali kama ilivyo sasa, kama wachaga wangekua wa kabila basi biashara zao zisingefanikiwa kabisa huko mikoani sababu watu wangewchukuia

Ni wivu tu wanao juu ya wachaga utafikiri ndio wanafanikiwa, yaani usidhubutu kumpa kazi kwenye kiwanda chako huyu atakilipua kwa wivu akijua utafilisika kumbe kiwanda kina bima
Mm si mchaga ila napenda sana style zao za kusaka maisha. Wako so focused in such kwamba wanachojali wao ni kesho yao.
Mchaga anatamani hata asilale kusaka maisha.
Wamejaliwa jicho la fursa.. ww unaweza pewa eneo usione chochote.. lakin mchaga akaona fursa.. na mambo yakatokea.
Wana umoja. Wanashikamana sana.

Yes kila kabila lina mabaya yake hilo ni la kawaida. Lakin pazuri lazima tusifie.
Ukiona mtu anaonyesha chuki wazi wazi na wachaga.. basi ni mvivu au alipigana nao somewhere

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona nimpite tuu....yaan yy kila kitu kusifia kagera!

Mwaka Jana likizo yangu, nimeenda na biashara fulani ya wadada loooh!

Yaan hata elfu mbili ni ishu kwao[emoji848][emoji849]...

Mkoa mgumu sana ule kihela!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mgumu sana mbali na kupakana na nchi tatu lkn bado tu

Kahawa ndo ilikuwa tegemeo kuu kiuchumi

Tabia za wahaya wengi ni wabaguzi wa kazi kuna kazi zinadharauliwa mfano kazi za vibarua wa kulima mara nyingi hufanywa na warundi, waganda wajanja sana ......wenyeji wamekalia kuchuuza bidhaa na kujisifia tu

Mhaya amlimie mtu shamba? Asubutuuuu [emoji28].....halafu wamekuwa walevi balaa!

Yaan huko vijijini mmh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha kwakweli....ujuaji sasa kila mtu anajiona ni muheshimiwa

Kuna mahali wanagoma kukarabati barabara ya kitongoji, eti kisa tu wakazi maeneo yale hawana magari ....utawasikia wanasema, "kahi emotoka zigyo omwananka abana bange tibagila motoka hawo embarabara ninkola yaki?"
Yani kwamba magari huenda kwa akina fulani hapo mi barabara natengeneza ya nini? Na barabara ni mbovu kweli kweli

Mtu analima mpaka barabarani anapanda maharage .....ubinafsi ndo weakness inayoua huu mkoa kiuchumi

[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...nimecheka sana hapo kwenye barabara...

Kwa Bibi zangu ni muleba/ nshamba... Niliyoyaona hukoo mmmh!

Wahaya so selifish sana daaah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na bora muleba kuna sehemu inaitwa kiziba.......huko ndo kuna wahaya og acha wanyahyangiro

Nawajua vizuri sana hawa watu
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...nimecheka sana hapo kwenye barabara...

Kwa Bibi zangu ni muleba/ nshamba... Niliyoyaona hukoo mmmh!

Wahaya so selifish sana daaah!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ieleweke ni ngumu sana kufanikiwa kimaisha SIO haiwezekani kufanikiwa:-

- Arusha
- Kilimanjaro
- Tabora
- Simiyu
- Geita
- Kigoma
- Lindi
- Mtwara
- Ruvuma
- Bukoba
- Mara
- zanzibar yote

Hiyo mikoa kama ndio unataka kuanza kutafuta maisha sikushauri uende.
Zanzibar ni nchi sio mkoa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom