runtown
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 844
- 1,163
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo bwana kwa taarifa yako mkoa wa kagera ki uchumi hali ni mbaya kuliko maelezo, toka zao la kahawa, lianze kuendeshwa kisiasa, na migomba mingi kupata ugonjwa wa mnyauko ni balaa, mimi nimekulia huko, mzunguko wa pesa ni mgumu sana, hapo mtukula, kyaka bado hali ya kibiashara sio kabisa.
Huyo anakuja na hadithi za kuongopea watu!! Mkoa wa kagera kiuchumi ni hoi ile mbayaa!!!Mutukula, Bunazi, Kyaka nimekaa hapo bwana wizadi. Naafikiana na maelezo yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kweli mkuu
Kufanya biashara unatakiwa uwe na element zifuatazo.
SMART
S-Specific
M-Measurable
A-Attainable
R-Realistic
T-Time bond.
Hivyo lazima uisome jamii yako (Mila na destur zao) itakayoizunguka/hudumiwa na wewe ili ufanikiwe shughuli yako.
Mfano: Unaanzisha Mgahawa halafu unauza nyama ya Nguruwe kwenye jamii Kubwa yenye Iman ya Uislam.
Utatobowa kweli hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama mnaelewa mada laikini. Ila anyways, ukiacha masuala ya kuwa mkoa ama nini, kila mtu amepangiwa kutobolea mahali flani. Unaweza ukakaa Dar mambo yakakataa (kama mimi) ukarudi mkoa wanaousema ni mgumu ukatoboa. Kikubwa ni juhudi zako binafsiHuyo anakuja na hadithi za kuongopea watu!! Mkoa wa kagera kiuchumi ni hoi ile mbayaa!!!
Sijakataa, popote pale mtu unaweza toboa ila, ila sehemu panapokuwa na uchumi mzuri na ukiweka jitihada zako ni rahisi sana kutoboa,Sidhani kama mnaelewa mada laikini. Ila anyways, ukiacha masuala ya kuwa mkoa ama nini, kila mtu amepangiwa kutobolea mahali flani. Unaweza ukakaa Dar mambo yakakataa (kama mimi) ukarudi mkoa wanaousema ni mgumu ukatoboa. Kikubwa ni juhudi zako binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, Nadhan kuna jambo unachanganya hapa... (KUTOKUONA FURSA vs FURSA ZILIZOPO).. umefeli sana mkuuIeleweke ni ngumu sana kufanikiwa kimaisha SIO haiwezekani kufanikiwa:-
- Arusha
- Kilimanjaro
- Tabora
- Simiyu
- Geita
- Kigoma
- Lindi
- Mtwara
- Ruvuma
- Bukoba
- Mara
- zanzibar yote
Hiyo mikoa kama ndio unataka kuanza kutafuta maisha sikushauri uende.
vijana wa dar hawatakuelewa wanajua fursa ni mji kuwa na magorofa mengi ambayao hata hawawezi kuyamudu. hizo nondo ni za ukweli sana mji wowote palipo na watu, umeme, usafiri wa uhakika na ardhi ya kutosha ukituliza akili lazima utoboe.Mkuu, Nadhan kuna jambo unachanganya hapa... (KUTOKUONA FURSA vs FURSA ZILIZOPO).. umefeli sana mkuu
Naomba nidadavue mkoa mmoja fursa mbili tatu zilizopo, tena sio mkoa, nishuke kwenye Wilaya moja ndani ya mkoa mmoja...
TABORA IGUNGA
Wilaya hii ni moja ya Wilaya zinazofanya vizuri Sana kwanye kilimo, ufugaji, viwanda na usafirishaji
kuna kilimo cha mpunga Wilaya yote, Kuna eneo la Irrigation system kubwa sana liko Mwanzugi
Wanalima Choroko, wanalima pamba, karanga, mtama etc
TUZUNGUMZIE MPUNGA KWA MFANO.. FURSA ZILIZOPO KWENYE ZAO HILI
Unaweza kwenda kama mkulima, ama ukaenda kama kibarua ama ukaenda kama msafirishaji wakati wa mavuno
au unaweza kwenda ukawa unaingia porini unanunua mpunga unakuja kukoboa kwenye mashine, unauza pale pale kwa jumla (Wanunuz hua wapo wengi sana, kitakacho kuchelewesha labda ni kuanika mpunga wako tu na sio kingine)
Pia unaweza nunua mchele pale pale mashine ukawa unauza pale pale reja reja
Unaweza pia ukafanya biashara ya kununua mpunga ukaweka stock ukisubiri bei ipae uuze kwa faida nzuri tu... nk nk nk
KWENYE MIFUGO
Igunga imejaa minada karibu siku tano kama sio zote za wiki, mnada wa pale Igunga mjini hua n mwsho wa wiki.. so ni namna gani waweza tengeneza pesa hapa...
Ili nisiwachoshe nitazungumzia Ng'ombe pekee
Mosi... unaweza kwenda minada ya ndani ndani, Ng'ombe wanapatikana kwa bei rahisi tu, ukawaleta kwa kuwaswaga ukaja uza hapo igunga kwa bei nzuri tu... at some point unaweza hit jackpot.. Faida ya zaid ya 60% ya mtaji(mara moja moja lkn)
Ama unaweza kwenda minadan hapo hapo igunga au porini ukanunua ng'ombe waliokonda kabisa wale kwa bei ya mbuz.. ukatumia miez miwil au mitatu kuwanenepesha (kwa kuwapa makapi ya pamba, pumba za mahindi na pumba lain za mchele..) wananenepa vibaya mno unawarudisha sokon kwa bei ya maana
Unaweza hata kukusanya kuku kwa wafungaj ukapeleka mnadani.. naomba niishie hapa
HITIMISHO
Fursa zipo kede kede, ni uwezo wako tu wa kuzitambua ndio unao weka utofaut
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimezaliwa huko na nimekulia huko tunazungumzia sehemu kubwa ya uchumi wa kimkoa sio mafanikio ya mtu mmoja mmoja....mzunguko uliopo mtukula haufanani na vijiji au kata zisizo mpakani vijijini vina hali ngumu ya kifedha kilimo cha migomba kimekufa ardhi imechoka ......kagera sio mtukula tuNadhani hukuelewa mada ya mtoa post. Hata mimi kwa wakazi napaona ni pagumu kama wewe.
Ninachozungumzia ni fursa na uwezo wa kutoboa mtu ukiamua kwenda kufanya maisha!
Hivi kapeace kweli unaweza kutoka huko ulipo au mwenzako akaja Bukoba kufanya biashara ya kahawa??
Anyways kama wewe unaichukulia kama sifa sawa. Lakini sisi wengine tulitoka Dar na tukaacha kazi zetu na elimu zetu tukaja Bukoba kuchangamkia fursa baada ya kufanya research vizuri na tunaona mambo yanaenda. Hakuna maana ya kuandika hapa kuwafurahisha watu kisa sifa wakati unakufa kwa njaa. Trust me Bukoba ni palaini mno ukifanya research ukagundua nini hasa cha kufanya.
Siku ukija Bukoba niPm tuonane nikupe live experience
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu kati ya igunga na nzega vipi, naona nzega miradi ya maji kabambe japo sijawahi ishi. Ila nahisi ni sehemu nzuri kibiashara. Naomba uzoefu wakoMkuu, Nadhan kuna jambo unachanganya hapa... (KUTOKUONA FURSA vs FURSA ZILIZOPO).. umefeli sana mkuu
Naomba nidadavue mkoa mmoja fursa mbili tatu zilizopo, tena sio mkoa, nishuke kwenye Wilaya moja ndani ya mkoa mmoja...
TABORA IGUNGA
Wilaya hii ni moja ya Wilaya zinazofanya vizuri Sana kwanye kilimo, ufugaji, viwanda na usafirishaji
kuna kilimo cha mpunga Wilaya yote, Kuna eneo la Irrigation system kubwa sana liko Mwanzugi
Wanalima Choroko, wanalima pamba, karanga, mtama etc
TUZUNGUMZIE MPUNGA KWA MFANO.. FURSA ZILIZOPO KWENYE ZAO HILI
Unaweza kwenda kama mkulima, ama ukaenda kama kibarua ama ukaenda kama msafirishaji wakati wa mavuno
au unaweza kwenda ukawa unaingia porini unanunua mpunga unakuja kukoboa kwenye mashine, unauza pale pale kwa jumla (Wanunuz hua wapo wengi sana, kitakacho kuchelewesha labda ni kuanika mpunga wako tu na sio kingine)
Pia unaweza nunua mchele pale pale mashine ukawa unauza pale pale reja reja
Unaweza pia ukafanya biashara ya kununua mpunga ukaweka stock ukisubiri bei ipae uuze kwa faida nzuri tu... nk nk nk
KWENYE MIFUGO
Igunga imejaa minada karibu siku tano kama sio zote za wiki, mnada wa pale Igunga mjini hua n mwsho wa wiki.. so ni namna gani waweza tengeneza pesa hapa...
Ili nisiwachoshe nitazungumzia Ng'ombe pekee
Mosi... unaweza kwenda minada ya ndani ndani, Ng'ombe wanapatikana kwa bei rahisi tu, ukawaleta kwa kuwaswaga ukaja uza hapo igunga kwa bei nzuri tu... at some point unaweza hit jackpot.. Faida ya zaid ya 60% ya mtaji(mara moja moja lkn)
Ama unaweza kwenda minadan hapo hapo igunga au porini ukanunua ng'ombe waliokonda kabisa wale kwa bei ya mbuz.. ukatumia miez miwil au mitatu kuwanenepesha (kwa kuwapa makapi ya pamba, pumba za mahindi na pumba lain za mchele..) wananenepa vibaya mno unawarudisha sokon kwa bei ya maana
Unaweza hata kukusanya kuku kwa wafungaj ukapeleka mnadani.. naomba niishie hapa
HITIMISHO
Fursa zipo kede kede, ni uwezo wako tu wa kuzitambua ndio unao weka utofaut
Sent using Jamii Forums mobile app
It is damn true. Wakikuuliza unitag niwajibu. Nina ushuhuda kbsa. Hawa watu siyo pamoja na wakurya
Matumizi ya pesa dodoma yapo juu halafu kuipata hiyo 10,000 kwa mishe mishe za kitaa ni ngumu sana. Dodoma siyoNilikaa wiki mbili pale niliisoma namba,na sasa nipo kikazi nna mwezi mmoja,hatari sana dom,hela inapukutika kama upepo,nimezoea moro ukienda sokoni na 5000 unapata mahitaji ya siku moja na nusu.huku maisha ya bachela 10k per day.aisee
Wewe kweli hujaelewa mada. Sasa wewe hapo kama kijana wa kitanzania unaweza kutoka Dar ukaja kutafuta maisha Izimbya??Nimezaliwa huko na nimekulia huko tunazungumzia sehemu kubwa ya uchumi wa kimkoa sio mafanikio ya mtu mmoja mmoja....mzunguko uliopo mtukula haufanani na vijiji au kata zisizo mpakani vijijini vina hali ngumu ya kifedha kilimo cha migomba kimekufa ardhi imechoka ......kagera sio mtukula tu
Nenda izimbya uone utavyowahurumia hata kilimo cha kuweza kujilisha tu hakiwezekani
Sent using Jamii Forums mobile app