Ukienda kutafuta maisha kwenye mikoa hii ni ngumu sana kutoboa

Acha uongo bwana kwa taarifa yako mkoa wa kagera ki uchumi hali ni mbaya kuliko maelezo, toka zao la kahawa, lianze kuendeshwa kisiasa, na migomba mingi kupata ugonjwa wa mnyauko ni balaa, mimi nimekulia huko, mzunguko wa pesa ni mgumu sana, hapo mtukula, kyaka bado hali ya kibiashara sio kabisa.

Mutukula, Bunazi, Kyaka nimekaa hapo bwana wizadi. Naafikiana na maelezo yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kweli mkuu
Kufanya biashara unatakiwa uwe na element zifuatazo.
SMART
S-Specific
M-Measurable
A-Attainable
R-Realistic
T-Time bond.
Hivyo lazima uisome jamii yako (Mila na destur zao) itakayoizunguka/hudumiwa na wewe ili ufanikiwe shughuli yako.
Mfano: Unaanzisha Mgahawa halafu unauza nyama ya Nguruwe kwenye jamii Kubwa yenye Iman ya Uislam.
Utatobowa kweli hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mama la mama hiyo 'handout' uliyoisoma hai-apply kabisa kwenye 'ril weldi' of ours. We Njoo kitaa utaelewa.

Hapa bongo, Watu wengi hutoboa kwa dili za magendo, kama kuuza miraa, Bangi, mirungi.
kukwepa kodi,
kuandikia miradi hewa ili kupata Grants, Loans,
Kubuni NGOs za kujinufaisha binafsi, kuchota pesa za miradi na kufanyia biashara zako,
Biashara za dini maarufu kama Pasterpreneurship,
Uganga wa Jadi,
kuhonga upatiwe contracts/zabuni hasa za Serikalini.
Kuiba Vocha za kilimo,
Kuendesha Beureau De Change na biashara za madini huku ukikwepa Kodi kisayansi..
Na Sekta ya tourism
Kumuibia Muhindi kwenye duka lake la Hardware.

Nje ya hapo, labda tuna tafsiri tofauti za kutoboa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo anakuja na hadithi za kuongopea watu!! Mkoa wa kagera kiuchumi ni hoi ile mbayaa!!!
Sidhani kama mnaelewa mada laikini. Ila anyways, ukiacha masuala ya kuwa mkoa ama nini, kila mtu amepangiwa kutobolea mahali flani. Unaweza ukakaa Dar mambo yakakataa (kama mimi) ukarudi mkoa wanaousema ni mgumu ukatoboa. Kikubwa ni juhudi zako binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama mnaelewa mada laikini. Ila anyways, ukiacha masuala ya kuwa mkoa ama nini, kila mtu amepangiwa kutobolea mahali flani. Unaweza ukakaa Dar mambo yakakataa (kama mimi) ukarudi mkoa wanaousema ni mgumu ukatoboa. Kikubwa ni juhudi zako binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakataa, popote pale mtu unaweza toboa ila, ila sehemu panapokuwa na uchumi mzuri na ukiweka jitihada zako ni rahisi sana kutoboa,
 
Ieleweke ni ngumu sana kufanikiwa kimaisha SIO haiwezekani kufanikiwa:-

- Arusha
- Kilimanjaro
- Tabora
- Simiyu
- Geita
- Kigoma
- Lindi
- Mtwara
- Ruvuma
- Bukoba
- Mara
- zanzibar yote

Hiyo mikoa kama ndio unataka kuanza kutafuta maisha sikushauri uende.
Mkuu, Nadhan kuna jambo unachanganya hapa... (KUTOKUONA FURSA vs FURSA ZILIZOPO).. umefeli sana mkuu

Naomba nidadavue mkoa mmoja fursa mbili tatu zilizopo, tena sio mkoa, nishuke kwenye Wilaya moja ndani ya mkoa mmoja...

TABORA IGUNGA

Wilaya hii ni moja ya Wilaya zinazofanya vizuri Sana kwanye kilimo, ufugaji, viwanda na usafirishaji

kuna kilimo cha mpunga Wilaya yote, Kuna eneo la Irrigation system kubwa sana liko Mwanzugi

Wanalima Choroko, wanalima pamba, karanga, mtama etc

TUZUNGUMZIE MPUNGA KWA MFANO.. FURSA ZILIZOPO KWENYE ZAO HILI

Unaweza kwenda kama mkulima, ama ukaenda kama kibarua ama ukaenda kama msafirishaji wakati wa mavuno

au unaweza kwenda ukawa unaingia porini unanunua mpunga unakuja kukoboa kwenye mashine, unauza pale pale kwa jumla (Wanunuz hua wapo wengi sana, kitakacho kuchelewesha labda ni kuanika mpunga wako tu na sio kingine)

Pia unaweza nunua mchele pale pale mashine ukawa unauza pale pale reja reja

Unaweza pia ukafanya biashara ya kununua mpunga ukaweka stock ukisubiri bei ipae uuze kwa faida nzuri tu... nk nk nk

KWENYE MIFUGO

Igunga imejaa minada karibu siku tano kama sio zote za wiki, mnada wa pale Igunga mjini hua n mwsho wa wiki.. so ni namna gani waweza tengeneza pesa hapa...

Ili nisiwachoshe nitazungumzia Ng'ombe pekee

Mosi... unaweza kwenda minada ya ndani ndani, Ng'ombe wanapatikana kwa bei rahisi tu, ukawaleta kwa kuwaswaga ukaja uza hapo igunga kwa bei nzuri tu... at some point unaweza hit jackpot.. Faida ya zaid ya 60% ya mtaji(mara moja moja lkn)

Ama unaweza kwenda minadan hapo hapo igunga au porini ukanunua ng'ombe waliokonda kabisa wale kwa bei ya mbuz.. ukatumia miez miwil au mitatu kuwanenepesha (kwa kuwapa makapi ya pamba, pumba za mahindi na pumba lain za mchele..) wananenepa vibaya mno unawarudisha sokon kwa bei ya maana

Unaweza hata kukusanya kuku kwa wafungaj ukapeleka mnadani.. naomba niishie hapa

HITIMISHO
Fursa zipo kede kede, ni uwezo wako tu wa kuzitambua ndio unao weka utofaut

vijana wa dar hawatakuelewa wanajua fursa ni mji kuwa na magorofa mengi ambayao hata hawawezi kuyamudu. hizo nondo ni za ukweli sana mji wowote palipo na watu, umeme, usafiri wa uhakika na ardhi ya kutosha ukituliza akili lazima utoboe.
 
Nadhani hukuelewa mada ya mtoa post. Hata mimi kwa wakazi napaona ni pagumu kama wewe.

Ninachozungumzia ni fursa na uwezo wa kutoboa mtu ukiamua kwenda kufanya maisha!

Hivi kapeace kweli unaweza kutoka huko ulipo au mwenzako akaja Bukoba kufanya biashara ya kahawa??

Anyways kama wewe unaichukulia kama sifa sawa. Lakini sisi wengine tulitoka Dar na tukaacha kazi zetu na elimu zetu tukaja Bukoba kuchangamkia fursa baada ya kufanya research vizuri na tunaona mambo yanaenda. Hakuna maana ya kuandika hapa kuwafurahisha watu kisa sifa wakati unakufa kwa njaa. Trust me Bukoba ni palaini mno ukifanya research ukagundua nini hasa cha kufanya.

Siku ukija Bukoba niPm tuonane nikupe live experience

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimezaliwa huko na nimekulia huko tunazungumzia sehemu kubwa ya uchumi wa kimkoa sio mafanikio ya mtu mmoja mmoja....mzunguko uliopo mtukula haufanani na vijiji au kata zisizo mpakani vijijini vina hali ngumu ya kifedha kilimo cha migomba kimekufa ardhi imechoka ......kagera sio mtukula tu

Nenda izimbya uone utavyowahurumia hata kilimo cha kuweza kujilisha tu hakiwezekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, Nadhan kuna jambo unachanganya hapa... (KUTOKUONA FURSA vs FURSA ZILIZOPO).. umefeli sana mkuu

Naomba nidadavue mkoa mmoja fursa mbili tatu zilizopo, tena sio mkoa, nishuke kwenye Wilaya moja ndani ya mkoa mmoja...

TABORA IGUNGA

Wilaya hii ni moja ya Wilaya zinazofanya vizuri Sana kwanye kilimo, ufugaji, viwanda na usafirishaji

kuna kilimo cha mpunga Wilaya yote, Kuna eneo la Irrigation system kubwa sana liko Mwanzugi

Wanalima Choroko, wanalima pamba, karanga, mtama etc

TUZUNGUMZIE MPUNGA KWA MFANO.. FURSA ZILIZOPO KWENYE ZAO HILI

Unaweza kwenda kama mkulima, ama ukaenda kama kibarua ama ukaenda kama msafirishaji wakati wa mavuno

au unaweza kwenda ukawa unaingia porini unanunua mpunga unakuja kukoboa kwenye mashine, unauza pale pale kwa jumla (Wanunuz hua wapo wengi sana, kitakacho kuchelewesha labda ni kuanika mpunga wako tu na sio kingine)

Pia unaweza nunua mchele pale pale mashine ukawa unauza pale pale reja reja

Unaweza pia ukafanya biashara ya kununua mpunga ukaweka stock ukisubiri bei ipae uuze kwa faida nzuri tu... nk nk nk

KWENYE MIFUGO

Igunga imejaa minada karibu siku tano kama sio zote za wiki, mnada wa pale Igunga mjini hua n mwsho wa wiki.. so ni namna gani waweza tengeneza pesa hapa...

Ili nisiwachoshe nitazungumzia Ng'ombe pekee

Mosi... unaweza kwenda minada ya ndani ndani, Ng'ombe wanapatikana kwa bei rahisi tu, ukawaleta kwa kuwaswaga ukaja uza hapo igunga kwa bei nzuri tu... at some point unaweza hit jackpot.. Faida ya zaid ya 60% ya mtaji(mara moja moja lkn)

Ama unaweza kwenda minadan hapo hapo igunga au porini ukanunua ng'ombe waliokonda kabisa wale kwa bei ya mbuz.. ukatumia miez miwil au mitatu kuwanenepesha (kwa kuwapa makapi ya pamba, pumba za mahindi na pumba lain za mchele..) wananenepa vibaya mno unawarudisha sokon kwa bei ya maana

Unaweza hata kukusanya kuku kwa wafungaj ukapeleka mnadani.. naomba niishie hapa

HITIMISHO
Fursa zipo kede kede, ni uwezo wako tu wa kuzitambua ndio unao weka utofaut

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kati ya igunga na nzega vipi, naona nzega miradi ya maji kabambe japo sijawahi ishi. Ila nahisi ni sehemu nzuri kibiashara. Naomba uzoefu wako
 
Nilikaa wiki mbili pale niliisoma namba,na sasa nipo kikazi nna mwezi mmoja,hatari sana dom,hela inapukutika kama upepo,nimezoea moro ukienda sokoni na 5000 unapata mahitaji ya siku moja na nusu.huku maisha ya bachela 10k per day.aisee
Matumizi ya pesa dodoma yapo juu halafu kuipata hiyo 10,000 kwa mishe mishe za kitaa ni ngumu sana. Dodoma siyo
 
Sio kweli maana mimi nimetoka dar npo Lindi na nlikuwa sina hat kitanda lakni idea yangu imenfnya nione utofaut na bdo naamin nitatoboa maan nina mwaka wa2 sasa. Inafika kipndi nkirud dar kusalimia naona kabsa maisha ya dar siwez handle kwny swala la uchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimezaliwa huko na nimekulia huko tunazungumzia sehemu kubwa ya uchumi wa kimkoa sio mafanikio ya mtu mmoja mmoja....mzunguko uliopo mtukula haufanani na vijiji au kata zisizo mpakani vijijini vina hali ngumu ya kifedha kilimo cha migomba kimekufa ardhi imechoka ......kagera sio mtukula tu

Nenda izimbya uone utavyowahurumia hata kilimo cha kuweza kujilisha tu hakiwezekani

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kweli hujaelewa mada. Sasa wewe hapo kama kijana wa kitanzania unaweza kutoka Dar ukaja kutafuta maisha Izimbya??

Achana na wakazi, mikoa yote ukiangalia wakazi unakutaga wana maisha mabovu kuliko wanaokuja kutafuta. Hilo ni jambo la kawaida.

Hapa tunaongelea uwezekano wa huyo wa kuja kutumia fursa zilizopo kutoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom