Ukienda mikoa hii kwa nenda kufanya kilichokupeleka, hawapendi watu wanaopenyeza mambo ya uchawa kupitiliza, Case study ni Zuchu

Na mara upande wa wakurya tu tarime ila musoma, serengeti butiama na musoma vijjn hapo ndio homes of chawaz.
 
Kidemu kinapanda stejini badala ya kuimba kinasema mitano tena... Si bora ungebak studio uangalie video bwana ako alivyoliwa tgo na Diddy
 
Sugu nlikuwa naye sangu,alinizidi darasa kdg na wakina mponjoli mwalakasuka
Watu wa mbeya wastaarabu ila ujingjing hawataki

Ova
Mwaka Gani hiyo Sangu mkuu,ulimkuta Mwakyulu?!Isote?,Bukuku?umenikumbusha mbali sana!
 
Mbeya hakujawahi kutokea juha isipokuwa Mwashambwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…