Frontsmigo
Senior Member
- Sep 9, 2024
- 173
- 203
Na fisiem ni matapeli nguliWafuasi wa chadema wanaharibu Sana majiji, tunashukru Arusha wameacha ule ujinga wa kichadema chadema baada ya kugundua kuwa chadema ni matapeli ya kisiasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na fisiem ni matapeli nguliWafuasi wa chadema wanaharibu Sana majiji, tunashukru Arusha wameacha ule ujinga wa kichadema chadema baada ya kugundua kuwa chadema ni matapeli ya kisiasa.
Na mara upande wa wakurya tu tarime ila musoma, serengeti butiama na musoma vijjn hapo ndio homes of chawaz.Nadhani wote mmesikia kilichomtokea Zuchu huko Mbeya, Sio kosa lake, Hakujua kwamba yupo eneo tofauti kabisa, Alikuwa akipigia sana debe viongozi bila kujua kufanya hivyo ni kuamsha hisia kali wasizozipenda wanambeya wasiopenda mambo ya kutukuza sana viongozi (Uchawa)
Na kama unaingiza mambo ya uchawa basi jua kubalance, usizidishe.
1. Kilimanjaro - Pamoja na mazingira magumu ya kuwa upande wa upinzani, Vyam vilivyoweza kuleta upinzani mkubwa nchini huwa vina viongozi wa mkoa huo kuanzia TLP, NCCR, CHADEMA, n.k. ni watu ambao wamefikia levels za juu zaidi kwenye mambo ya upinzani.
2. Mbeya - Huku watu wanapenda sana haki ndio maana hii Nchi unapozungumzia watetezi wengi wanatokea huko, Kina Nay wa Mitego kakulia huku, Mwabukusi, Mawakili wa vyama pinzani, n.k. Kwa mwaka huu pekee kuna kijana kakamatwa huko kwa kosa la kuchoma picha, kuna mchungaji kafungwa kwa kumkosoa Rais, n.k. Unavyopanda stejini fanya kilichokuleta maana mzunguko wa pesa ni mdogo viingilio vinatafutwa kwa taabu.
3. Mara - Nje ya kuwa maarufu kwa kumtoa Nyerere kiongozi alielitanguliza taifa bila kujipendelea mkoa wake pamoja na kuacha alama ya mkoa uliojitolea zaidi kwenda kuipigania nchi Kagera, Ni watu wenye misimamo yao hawapendi mambo ya uchawa uliopitiliza.
Siku ukikosea na wakakudaka, utakuja simulia ni Kwa nini mkojo wa Mtoto haufuati laws of gravity. We Waite tu hilo jina na waje wafanye kweli…Kichwa cha habari kisomeke mikoa inayoongoza kwa wavuta bangi
amewahi kukulia Mbeya mitaa ya Mbalizi kabla hajaja Dsm, anyway nakupa nyongeza nyingine kina SuguAcha uongo nay wa mitego katolea kilimanjaro mamake ndio mtu wa mbeya. Toka lini mbeya kukawa na majina ya emannuel elibarick
Kutana na wtu ngoma ngumu huko....Ndugu yangu,mwanzo mgumu hata siyo ushamba🥴
Sugu nlikuwa naye sangu,alinizidi darasa kdg na wakina mponjoli mwalakasukaamewahi kukulia Mbeya mitaa ya Mbalizi kabla hajaja Dsm, anyway nakupa nyongeza nyingine kina Sugu
Malizia hivi "mbichi"Kichwa cha habari kisomeke mikoa inayoongoza kwa wavuta bangi
Jinga sana wewe!Kichwa cha habari kisomeke mikoa inayoongoza kwa wavuta bangi
Hao ndo wanaojielewa.Kichwa cha habari kisomeke mikoa inayoongoza kwa wavuta bangi
Kama ni hivyo wasiovuta ndo mazezeta.Malizia hivi "mbichi"
Mwaka Gani hiyo Sangu mkuu,ulimkuta Mwakyulu?!Isote?,Bukuku?umenikumbusha mbali sana!Sugu nlikuwa naye sangu,alinizidi darasa kdg na wakina mponjoli mwalakasuka
Watu wa mbeya wastaarabu ila ujingjing hawataki
Ova
Mtanzania yeyote ni boya tu hata hao wa mbeya ni maboya tuSugu nlikuwa naye sangu,alinizidi darasa kdg na wakina mponjoli mwalakasuka
Watu wa mbeya wastaarabu ila ujingjing hawataki
Ova
Na Wewe ni boya!Mzee wa kubetiMtanzania yeyote ni boya tu hata hao wa mbeya ni maboya tu
Mimi sio mtanzania yaani watanzania wote ni manyumbu tu hata hao wa mbeya ni manyumbuNa Wewe ni boya!Mzee wa kubeti
Nadhani wewe Nyumbi kubwa lao!Mimi sio mtanzania yaani watanzania wote ni manyumbu tu hata hao wa mbeya ni manyumbu
Yes Mimi ni nyumbi kama ulivyoandika ila wewe ni nyumbuNadhani wewe Nyumbi kubwa lao!
Nyumbu tuko pamoja mkuu,ukiwa Mtanzania halisi Tena wa Chama tawala!Yes Mimi ni nyumbi kama ulivyoandika ila wewe ni nyumbu