Tabia za kibakaji kabisa hizi.Fanya hivi wakati unakabeba beba kamata tako moja halafu ufanye kama unaliviringa kwenda kulia....
Kakifanya ng`a na wewe unafanya ng'a,watajua mnacheza ila lazma wakakape panado maana katalalamika siku nzima..
Wamewahi kukubaka kwa staili kama hiyo?Tabia za kibakaji kabisa hizi.
Muulize mzee wako.Wamewahi kukubaka kwa staili kama hiyo?
Hehehe aiseee Hadi nimesahau nilichotaka nichangie.. ndg Dr samahani kidogo upo maeneo yapi Kuna Chafu zangu mbili pacha unisaidie kukaa nazo walau masaa 4 tu Kuna kitu unaweza wafanyia..Watoto wakorofi ndio nawapenda sana, wakija kwangu nawapa upendo hadi wanabadilika na kua good kids.... ila kumbuka raha ya mtoto awe katundu tundu asipooze sana na asizidishe utundu, tutamuhisi ana tatizo la Afya ya Akili.
Walete Kigamboni masaa 4 hayatoshi tupe masaa 12 utakuja kuchukua watoto wapo well disciplined bila fimbo wala kufoka foka [emoji847]Hehehe aiseee Hadi nimesahau nilichotaka nichangie.. ndg Dr samahani kidogo upo maeneo yapi Kuna Chafu zangu mbili pacha unisaidie kukaa nazo walau masaa 4 tu Kuna kitu unaweza wafanyia..
😀😀😀 Aiseee hili jibu lako linanikumbusha Kuna siku aunty Yao aliwafata jioni waende kwenye birthday ya mwezao alinipigia simu baada ya lisaa ananiamba Immanuel njoo uchukue pendulum zako na tugawane gharama za kurepair vitu hapa..nikajua tayariWalete Kigamboni masaa 4 hayatoshi tupe masaa 12 utakuja kuchukua watoto wapo well disciplined bila fimbo wala kufoka foka [emoji847]
Shule mara nyingi inawajenga watoto, ile hali ya heshima wanayojengewa shule ndio huitumia nyumbani piaWalete Kigamboni masaa 4 hayatoshi tupe masaa 12 utakuja kuchukua watoto wapo well disciplined bila fimbo wala kufoka foka [emoji847]
Hakuna lolote uoga tu, mtoto ukipay too much attention kwake hua anatabia ya kufanya sifa basi kama ni mtundu atazidisha zaidi, it's all about saikoloji tu ku deal na watoto wa aina zote, mimi hua na baby sit watoto wa ndugu zangu na rafiki zangu, kwao hulalamika utundu wa watoto wao ila wakija kwangu ni tofauti basi wanasema wanaigiza,[emoji3][emoji3][emoji3] Aiseee hili jibu lako linanikumbusha Kuna siku aunty Yao aliwafata jioni waende kwenye birthday ya mwezao alinipigia simu baada ya lisaa ananiamba Immanuel njoo uchukue pendulum zako na tugawane gharama za kurepair vitu hapa..nikajua tayari
Inategemea lakini kuna shule zingine ndio zinaenda kumpa mtoto utundu na ununda, kutokana na mchanganyiko wa tabia mbali mbali za watoto wengine,Shule mara nyingi inawajenga watoto, ile hali ya heshima wanayojengewa shule ndio huitumia nyumbani pia
Sasa watoto wa miaka 5 kushuka chini ambao shule bado hawajaanza na wanalelewa kimayai ndio tatizo
Ukatili huo mkuuFanya shambulizi la kimya kimya hakuna haja ya kushika fimbo.
Shika mkono vizuri kwenye msuli(hawezi kua na msuli) binya na dole gumba kwa nguvu kiasi utakutana na mfupa, kandamiza kama sekunde 10 hivi uone kama katarudia
KabisaHawa watoto wakikua watakua kama hawaView attachment 2589816
Hiyo miwili ya kulia ndio mizigo ya magunia ya misumari kabisaHawa watoto wakikua watakua kama hawaView attachment 2589816
Hebu acha kuwajaza wenzio bhana, ahamishwe aende wapi na hapo ndo wazazi wanapoishi? Hizo theory zako haziapply kwa wote, huo uwezo wa kumhamisha wazazi wanao?Kama ni Uswazi basi shida haipo kwa Mtoto bali ni mazingira yaliyomzunguka Mtoto, hapo badala ya kumsulubu Mtoto ni lazima ahamishwe hayo mazingira
Unamlea mtoto kimayai acha akutane na walimwenguLooh! Ukatili gani huo?
Akimtia ulemavu mtoto!?
Nyie wanaume mnashida gani lakini? Mbona mnakua makatili kila sehemu!