Ukiendesha Range rover 2018 uwezekano wa kupata ajali ni mdogo sana!

Kuna shida kwenye instalation ya google map, hasa kweny sattelite walivyo note maeneo...kuna wakat nilikuwa natoka Mwanza naelekea Musoma, google map ikaniambia nipo along Sirari-Mbeya road..ndo nikachoka kabisa
 
Inaitwa Range Rover Velar ni hatari fire....

Remember, your mind is greatest asset.
 
Tunashukuru serikali ya awamu ya tano, si unaona chombo hicho.
 
ajari = ajali
ukikalibia = ukikaribia
spear = spare
hitirafu = hitilafu
fikili = fikiri

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…