Ukifa leo nani atatoa taarifa zako hapa JF?

Na ww ni jina kubwa utakuwa..
usikute nakufahanu humu mijini....!!?
lkn ndio sijui kama Mzigua? aka Mmakuwa
Sio celeb hata Sema najuana Juana kidogo na binadamu wenzangu.

Kuna siku alinipost birthday rafiki yangu Hazard CFC kuna mtu akasema leo birthday ya demu flani anaitwa ..... akanitaja jina langu la kimjini mjini
 
Aiseee sijui nani atatoa taatifa zangu, humu najuana na watu wawili,mmoja ndo alinifundisha kuingia jf, na huyu tunawasiliana mara chache tatizo ninahisi hakumbuki Id yangu.

Wa pili tulijuana humu, ila nje ya jf hatuwasiliani sana ni mara chache sana kuwasiliana hata mwaka unaweza pita. Na hamjui ndugu yangu au rafiki yangu hata mmoja.

Alienielekeza kujiunga jf nikifa atajua fasta maana tunajuana b4 jf ila ninahisi kabisa hakumbuki id yangu. Na marafiki zangu wengine wanamjua.
Anyway mkiona sijaingia humu zaidi ya wiki au mbili mjue nimetangulia kwa baba, maana sio rahisi nikose bando, au nikipoteza simu ni siku mbili tu niko hewani, so kama niko hai kuingia jf ni lazima.

Aisee warumi ameniuma, hatuwezi kupata umbea ulonyooka kama wa warumi.maana huwezi kuleta umbea ukiwa umevaa id ya kiume umbea huo ukanoga.

RIP WARUMI
 
Itabidi nipate family member humu tujuane in and out
 
Mimi ni mtu wa noma sana....kungekuwa na mtu ananijua humu nisinge-comment kwa uhuru......
hapana mtu jua mimi niga....
Kwanini sasa ukose uhuru mkuu? Huku ukiwa fake ndo hutataka watu wakujue sababu watakublast.
 
Wewe una extended family kabisa huku jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…