Ukifanikiwa kimaisha kabla ya kuoa kuna uwezekano mkubwa ukaoa mwanamke asiye na mapenzi nawe

Ukifanikiwa kimaisha kabla ya kuoa kuna uwezekano mkubwa ukaoa mwanamke asiye na mapenzi nawe

Kwa kukwepa kuwajibika hamjambo
Mimba mtie nyie bado alaumiwe binti
Kwenye masuala ya maadili kila mtu abebe wajibu wa kuzuia yasiyo mazur
Ngoja nikuulize kitu. Wewe na mtoto wa Rais mkisababisha ajali badabarani unafikiri nani atakutana na mkono wa sheria na nani sheria haitamgusa?

Ndivyo maisha yalivyo kwenye mambo mengi sana. Mutually accountability haipo. Hata mfanye kosa moja kila mtu atawajibishwa kulingana na upande aliopo. Is not fear but that's nature. You can't wrestle it.
 
Yes, Kwa mara ya kwanza hatupingani.

Sasa inaenda kuwa worse sababu tumehama kutoka kumlinda mwanamke na sasa tunampa financial muscles ili ajilinde na hii imempa uhuru usio na mipaka na kureplace sauti ya mwanaume kwenye udhibiti.

Nikitazama mabinti wanaomaliza vyuo na kupata kazi, sioni wanawake ambao watakuwa na maadili sababu wanaogopa sauti ya mwanaume, naona wanawake ambao maadili ni uchaguzi binafsi sio shinikizo tena.
Kwani mwanamke anajilinda against what?. Na kwanini
Zamani alikua analindwa au alikuwa ananyanyasika?
Wanawake wenyewe wanasemaje kwani
 
Mwanamke wakati wote anahitaji ulinzi, ulinzi against mwanaume asiye na maadili, ndo maana binti ukipiga kelele kundi kubwa la wanaume litatoka kukulinda. Hivi ndivyo inavyopaswa kuwa.
So u understand tatizo ni mwanaume sio
I thnk wanaume mkae kama kamati, baadhi yenu mna shida sana
Mjadili na mengine kama ulawiti na ubakaji
Hakuna mwanamke anayefanya hayo
 
So u understand tatizo ni mwanaume sio
I thnk wanaume mkae kama kamati, baadhi yenu mna shida sana
Mjadili na mengine kama ulawiti na ubakaji
Hakuna mwanamke anayefanya hayo
Balance inakuwepo mwanamke akilindwa na mwanaume dhidi ya mwanaume asiye na maadili. Kuna sehemu tulikatika tukaona haki sawa ndo suluhu kumbe tunatengeneza jamii ya wanaume rojorojo isiyoweza kumhandle mwanamke.
 
So u understand tatizo ni mwanaume sio
I thnk wanaume mkae kama kamati, baadhi yenu mna shida sana
Mjadili na mengine kama ulawiti na ubakaji
Hakuna mwanamke anayefanya hayo
Unalindwa dhidi yako wewe mwenyewe. Mwanaume, jamii na mifumo ya kiserikali ni mlinzi wa pili. Tunavyosema mwanamke alindwe na hatari haimaaniishi kwamba mwanamke huyo amepewa kibari cha kujiweka karibu na hatari

Mfano mumeo/boyfriend akikutaza kutengeneza ukaribu na wanaume. Anakulinda wewe dhidi yako wewe mwenyewe. Maana hakuna mwanaume atavunja mlango na kukuvamia kwako akubake, mpaka apate access ya kukubaka ni lazima kwanza wewe mwenyewe uwe umejiweka kwenye mazingira ya kuruhusu kubakwa.
 
Nonsense
Eti mazingira ya kuruhusu nini
 
Back
Top Bottom