Ukifanikiwa kimaisha kabla ya kuoa kuna uwezekano mkubwa ukaoa mwanamke asiye na mapenzi nawe

Ukifanikiwa kimaisha kabla ya kuoa kuna uwezekano mkubwa ukaoa mwanamke asiye na mapenzi nawe

Wakati mzuri wa mwanaume kupata mwanamke anaekupenda kwa dhati ni kile kipindi ambacho bado unajitafuta, lakini kuna hasara yake hapo. Ukiwa kwenye building stage mwanamke atakuchelewesha na anaweza kukuacha pia akiona hakuna progress au hustle zako zinachelewa sana kuleta matokeo.

Kwahiyo abla ya kuoa ni vyema ukawa stable financially kwanza, lakini utatakiwa kuwa katili sana kwenye kufanya uchaguzi wako.
Natafuta Ajira Kuna ndugu yangu alioa mwanamke mbinafsi kwa sababu ya hii hii mwanamke kapata hela ya urithi pamoja na nyumba ya kupangisha baada ya kifo cha Mzee wao mwanaume wake kafichwa anaangaika mpaka kufika kukopa ili apate hela ya kulipa ada za watoto mke wake hajishughulishi na kuchangia chochote pale ndani zaidi ya kununua vipodozi vya bei ghali wakati kabla ya mke kupokea urithi aliangaikia matibabu ya mkewe mpaka anakuja kupona.
 
Tatizo NA unapojadili hizi mada unakua na mhemko, yaan unaweza ukawa sahihi na unachotaka kuwasilisha ila munkali ndio shida.

Unaposema mie akili zinafanana na wanawake, na hao ambao sio gays, wanaopinga hoja zako ndo unaishia kuwaita Simps eeh??

Sasa wee mwenyewe nikuulize, mwanamke unplanned pregnancy, STI na UTI, na madhara mengine anapata kwa kufanya pekee yake au kwa kushirikiana na wanaume??

Mie simlaumu mwanaume yoyote, ila nachopinga ni hizi lawama kwa wanawake kuwa wameharibika, ili hali waharibifu ni nyie wanaume. Sasa mnalaumu nini??

Mwanaume unataka mwanamke bikra, ili hali wee mwenyewe umewachakaza wanawake msururu, tena wengine Bikra hukuwaoa kwa kuwa hawakukidhi vigezo vingine nje ya hiyo bikra, afu unaanza kulalama. Kwelii??

Mkitaka wanawake wawe na Bikra hadi wanaolewa, basi wanaume kaeni vikao mjadili kuacha kufanya uharibifu juu ya wanawake, if not, bas kilio ni endelevuu.

Nakupa motisha, niite vyovyote utakavyo, hunipunguzii wala kuniongezea kitu.

Sahihi mkuu, daaah umenikumbusha mbali sana, baba mdogo alikuwa na ng'ombe wa Ki Ankole zaidi ya 100 tena wa Kiwango balaa kipindi hicho alikuwa na familia na watoto.

Sijui alikuja akajichanganganya vipi akapata mchepuko ulimfilisi, baada ya kufilisika tu mapenzi yaliishia hapo.

Mwaka 2021 kuna brother yetu mtoto wa baba mkubwa Mungu alimshushia Neema ya Mafanikio, alikuwa machimboni/Mgodini - Mwime - Kahama akapataga jiwe la Bilioni 2, akawa Tajiri ukoo mzima.

Alikuja kufilisiwa na mwanamke/mwanamke kutoka mwanza, mwanamke huyo huyo alishajaribu mara nyingi kutaka kumuua kwa kumuwekea sumu kwenye chakula.

Ukisikia mtu anasema wanawake wengi wanaolewa na mwanaume wasiempenda, usifikiri anachekesha. Uhalisia ni kwamba, mwanaune anaoa mwanamke anaempenda, mwanamke anaolewa na mwanaume ambae yupo tayari. Utakapoweka maisha yako kwenye mstari wanawake watakuona na watakujia na mitego ya kila mamna wakunase. Hautajua nani shetani nani malaika maana wote watakujia na tabasamu.

Watakuendea kwa mchungaji, watakuendea kwa mganga, watajifanya wema kwa wazazi wako, watawachangamkia marafiki zako n.k. Women are opportunistics. They can't engage where there is no benefits.

As a man, your value skyrockets with every level you attain. When you rise to the top you bacome the prize. Don't hand your commitment to any woman who flashes smiles and curves. Fvck her if you must, but keep looking for value.

Usijali sana masuala ya kutaka kupendwa. Hakuna upendo wa bure kwa mwanaume hapa duniani. There is no unconditional love for a man. As a man you will be loved on condition that you're able to provide and protect.

Sio vibaya kupendwa lakini sio kitu cha kulilia au cha lazima. As a man just focus to be a man no one can ignore. Masuala ya kutaka kupendwa waachie wanawake na watoto.

Vet ruthlessly, you didn't build your life to throw it away on a liability. Check her past. Past is not just a past, it's a pattern of habits and behavior, and the strong predictor of future loyalty. Judge a woman harshly and ruthlessly based on her past.

Kumbuka hata utakampopata mmoja alienyooka, haimaanishi kwamba na wengine wataacha kujileta kwako. Mwanamke hatafuti mwanaume mwaminifu wa peke ake, anataka mwanaume mwenye thamani ya juu katika circle yake. Ni bora awe demu wa nane kwa Lugumi kuliko kuwa peke ake kwa winga. Sijui utawafanya nini hawa, but either way don't take them serious.

Vile vile, kumbuka pia utakapotoboa na kujiwekea standards mfano bikira, hautaki single mother, hautaki mshangazi wa 30+ n.k, wanajamii watataka kukufundisha morality. Utasikia singo maza ni wapambanaji, sijui past does not matter na ujinga jinga mwingine Wapuuze.

Wakati unahustle hakuna aliekua ana time na opinions zako, kwanini waje kukupangia sasa hivi. Stand firm, don't compromise your standards, be ruthless with your choice, because you earned that power. Power is not meant to be polite.

Don’t be a simp
Mkuu umenikumbusha, nina visa vya kutosha kupitia hivi visa nathamini sana Familia yangu.

Kuna mzee mmoja Iringa ni maarufu sana anakaa Mtaa wa IKONONGO IRINGA anaitwa ANKO MAKOSA, mhehe wa kwanza Iring kumiliki coaster kibao alikuwa tajiri balaaaaa, Leo hii maisha yamebadilika, alifilisika kisa wanawake.

Ooooooh tuogope bunye na kuhonga.
 
Man
Sahihi mkuu, daaah umenikumbusha mbali sana, baba mdogo alikuwa na ng'ombe wa Ki Ankole zaidi ya 100 tena wa Kiwango balaa kipindi hicho alikuwa na familia na watoto.

Sijui alikuja akajichanganganya vipi akapata mchepuko ulimfilisi, baada ya kufilisika tu mapenzi yaliishia hapo.

Mwaka 2021 kuna brother yetu mtoto wa baba mkubwa Mungu alimshushia Neema ya Mafanikio, alikuwa machimboni/Mgodini - Mwime - Kahama akapataga jiwe la Bilioni 2, akawa Tajiri ukoo mzima.

Alikuja kufilisiwa na mwanamke/mwanamke kutoka mwanza, mwanamke huyo huyo alishajaribu mara nyingi kutaka kumuua kwa kumuwekea sumu kwenye chakula.
maniner wanawake sio wote
 
Hehehee.. kwahiyo wote mnatafuta bikra sio? Basi sawaa..View attachment 3583133
Mabikira wapo. Wanaume na wanawake ni tofauti kifikira. Mwanaume anatakata awe wa kwanza na awe mwenyewe, hata ukiangalia kwa wanyama, wanyama wengi wana male dominancy. Kwa hiyo jamii imeamua kumfanya mwanaume asiye na kipato kizuri kuwa hana thamani ila mwanaume huyohuyo akipata kipato, jamii ile ile inataka impangie namna ya kuishi na aina ya mwanamke wa kuwa naye. Kwa upande wangu, kama vile mwanamke alivyo na haki ya kusema hataki mwanaume asiye na pesa, mwanaume vile vile ana haki ya kusema hawezi kuoa mwanamke asiye bikira. Kila mtu ana haki yake ila tu ni kuangalia haki ya mmoja isivunje haki ya mwingine wala kuingilia haki za wengine au sheria ya sehemu husika.
 
Sawa mpewe haki yenu wanaume!
 
Yap, tupo kwenye dunia ambayo wanawake nao wana uhuru wa kufanya ngono kiholela holela bila kuwajibishwa na familia wala jamii. Kwaiyo sacrifices na provision kutoka kwa mwanaume sio tena vigezo vya kupata loyalty kutoka kwa mwanamke. Sasa hivi mwanamke kumtii mwanaume au kujitunza mpaka atakapoolewa ni aamue tu yeye mwenyewe. Hakuna mfumo wa kijamii unamuwajibisha kama zamani
Kwani wanalala na akina nani😃
 
Kwenye confession page za insta kuna wadada wengi wanalalamika kuwa wanapewa hela na kuhudumiwa almost kila kitu na waume wao, waume wao hawana changamoto yoyote ya kitabia, ila tu ni kwamba waume wao Wana sura mbaya hadi wanaona aibu kuongozana nao, na mood ya ku-sex nao hawana..wanahisi wanabakwa 😮

Najaribu kujiweka kwenye viatu vya hao wanaume, probably wanahudumia kwa nia nzuri, ila wangejua yaliyomo kwenye mioyo ya girlfriends zao, it's very sad win-one Seran ledada Shadeeya Marry Diana
Hao wanawake wengi ni MALAYA
 
Back
Top Bottom