Kumbuka hata utakampopata mmoja alienyooka, haimaanishi kwamba na wengine wataacha kujileta kwako. Mwanamke hatafuti mwanaume mwaminifu wa peke ake, anataka mwanaume mwenye thamani ya juu katika circle yake. Ni bora awe demu wa nane kwa Lugumi kuliko kuwa peke ake kwa winga. Sijui utawafanya nini hawa, but either way don't take them serious.
Kwa sababu ni maamuzi ambayo tayari umeshayafanya, mimi sina cha kukushauriMkuu Natafuta ajira mimi tayari nishajikaanga naishi na single mother aggregate ya 1-0 unachopaswa kunishauri ni jinsi gani naishi naye
Hayae mkuuKwa sababu ni maamuzi ambayo tayari umeshayafanya, mimi sina cha kukushauri
Mbaya zaidi ni kuwa retirement plan. Unahustle wakati agemate wako anakitombesha sana. Halafu ukijipata wakati yeye ameshaanza kuchoka ndio anakuja na sound za "sasa hivi najitambua nataka real man wa kufanya nae maisha" .Sahihi
Ukijipata manzi akikwambia anakupenda unashindwa kuelewa anamaanisha au njaa ndio inamsumbua
Kwa kifupi hizi mbanga za kuoa baada ya kupata kazi au kufanikiwa zinafanya wanetu waoe matapeli
Feminism imewadanganya kwamba mwanaume na mwanamke wapo sawa kwenye kila kitu, cha kushangaza likija suala la provision na kulipa bill huo usawa wa kijinsia wanaukanaVery true. Mwanamke yake heshima tu kwa mume. Love wasn't meant for girls. Upendo tuachieni sisi, ndio maana ktk jamii nyngi anaechagua ni wa kiume, wewe wa kike wajibu wako ni kutii. Ila utandawazi unapotosha sana, eti wanawake nao siku hizi wanatongoza, what can you provide kwa unaemtongoza? just only your private parts?
Kaka huu uzi naukimbia hizi spana siyo za nchi hiiMbaya zaidi ni kuwa retirement plan. Unahustle wakati agemate wako anakitombesha sana. Halafu ukijipata wakati yeye ameshaanza kuchoka ndio anakuja na sound za "sasa hivi najitambua nataka real man wa kufanya nae maisha" .
Imeandikwa, mwanamke huwa hapendi bali hupendwa.... Ishi nao kwa akiliUkisikia mtu anasema wanawake wengi wanaolewa na mwanaume wasiempenda, usifikiri anachekesha. Uhalisia ni kwamba, mwanaune anaoa mwanamke anaempenda, mwanamke anaolewa na mwanaume ambae yupo tayari. Utakapoweka maisha yako kwenye mstari wanawake watakuona na watakujia na mitego ya kila mamna wakunase. Hautajua nani shetani nani malaika maana wote watakujia na tabasamu.
Watakuendea kwa mchungaji, watakuendea kwa mganga, watajifanya wema kwa wazazi wako, watawachangamkia marafiki zako n.k. Women are opportunistics. They can't engage where there is no benefits.
As a man, your value skyrockets with every level you attain. When you rise to the top you bacome the prize. Don't hand your commitment to any woman who flashes smiles and curves. Fvck her if you must, but keep looking for value.
Usijali sana masuala ya kutaka kupendwa. Hakuna upendo wa bure kwa mwanaume hapa duniani. There is no unconditional love for a man. As a man you will be loved on condition that you're able to provide and protect.
Sio vibaya kupendwa lakini sio kitu cha kulilia au cha lazima. As a man just focus to be a man no one can ignore. Masuala ya kutaka kupendwa waachie wanawake na watoto.
Vet ruthlessly, you didn't build your life to throw it away on a liability. Check her past. Past is not just a past, it's a pattern of habits and behavior, and the strong predictor of future loyalty. Judge a woman harshly and ruthlessly based on her past.
Kumbuka hata utakampopata mmoja alienyooka, haimaanishi kwamba na wengine wataacha kujileta kwako. Mwanamke hatafuti mwanaume mwaminifu wa peke ake, anataka mwanaume mwenye thamani ya juu katika circle yake. Ni bora awe demu wa nane kwa Lugumi kuliko kuwa peke ake kwa winga. Sijui utawafanya nini hawa, but either way don't take them serious.
Vile vile, kumbuka pia utakapotoboa na kujiwekea standards mfano bikira, hautaki single mother, hautaki mshangazi wa 30+ n.k, wanajamii watataka kukufundisha morality. Utasikia singo maza ni wapambanaji, sijui past does not matter na ujinga jinga mwingine Wapuuze.
Wakati unahustle hakuna aliekua ana time na opinions zako, kwanini waje kukupangia sasa hivi. Stand firm, don't compromise your standards, be ruthless with your choice, because you earned that power. Power is not meant to be polite.
Don’t be a simp
Nishapiga vyombo...🍺Ongeza chochote mkuu
mimi mbona alisepa mwenyewe na alikuwa anapata kila kitu........Ni kheri ujitahidi sana katika maisha yako usioe, ukishaoa tu unajitia kufuri na huchomoki.
Upo sahihi.mwanaume hatakiwi kupendwa bali aheshimiwe kwa nguvu zote,, sio maneno yangu ila ni maneno ya mama flani aloambiwa na mama yake
Bado kuna jamii za vijijini wanawake wanatambua nafasi yao kwa mwanaume hasa jamii za kifugaji ila hawa visebengo wa mijini na wanaojiona wamesoma ndo wanaoharibu maadili ya wanawake. Matokeo yake wanaishia maisha ya majuto.Feminism imewadanganya kwamba mwanaume na mwanamke wapo sawa kwenye kila kitu, cha kushangaza likija suala la provision na kulipa bill huo usawa wa kijinsia wanaukana
Mkuu hizi Sasa ni chuki za waziwazi sio ushauri unaojenga kama ni dada yako ndio anafanyiwa hivyo we ungejisikiajeWee ndo unajua Leo?????? Wewe mwanamke yeyote akikukubalia akikisha unamvunja marinda kwanza, maana skuizi mpaka mwanamke akukubali ashaona kwako Kuna manufaa flani.
Vunja marinda bila huruma ndo mengine yaendelee,
Hawa wanawake skuizi wapo kimaslahi sio watu wa kuwahurumia Tena, anapojileta vunja marinda yote