Ukifanikiwa kimaisha kabla ya kuoa kuna uwezekano mkubwa ukaoa mwanamke asiye na mapenzi nawe

Ukifanikiwa kimaisha kabla ya kuoa kuna uwezekano mkubwa ukaoa mwanamke asiye na mapenzi nawe

Mkuu ubalikiwe sana kwa kweli

Una madini ya kutisha sana

Endelea kutupa madini kaka

Nimeelewa sana hapo kwamba mwanamke hatafuti mwanamme wa kwake pekee yake ila anatafuta mwanamme mwenye thaman kubwa kwamba demu yuko tayari awe wa kumi kwa fred vunja bei lakin siyo awe demu wa pekee kwa vijana masikin kama akina adriz

Umetisha sana
Story ya Sulemain inaeleza yote haya
 
Ukisikia mtu anasema wanawake wengi wanaolewa na mwanaume wasiempenda, usifikiri anachekesha. Uhalisia ni kwamba, mwanaune anaoa mwanamke anaempenda, mwanamke anaolewa na mwanaume ambae yupo tayari. Utakapoweka maisha yako kwenye mstari wanawake watakuona na watakujia na mitego ya kila mamna wakunase. Hautajua nani shetani nani malaika maana wote watakujia na tabasamu.

Watakuendea kwa mchungaji, watakuendea kwa mganga, watajifanya wema kwa wazazi wako, watawachangamkia marafiki zako n.k. Women are opportunistics. They can't engage where there is no benefits.

As a man, your value skyrockets with every level you attain. When you rise to the top you bacome the prize. Don't hand your commitment to any woman who flashes smiles and curves. Fvck her if you must, but keep looking for value.

Usijali sana masuala ya kutaka kupendwa. Hakuna upendo wa bure kwa mwanaume hapa duniani. There is no unconditional love for a man. As a man you will be loved on condition that you're able to provide and protect.

Sio vibaya kupendwa lakini sio kitu cha kulilia au cha lazima. As a man just focus to be a man no one can ignore. Masuala ya kutaka kupendwa waachie wanawake na watoto.

Vet ruthlessly, you didn't build your life to throw it away on a liability. Check her past. Past is not just a past, it's a pattern of habits and behavior, and the strong predictor of future loyalty. Judge a woman harshly and ruthlessly based on her past.

Kumbuka hata utakampopata mmoja alienyooka, haimaanishi kwamba na wengine wataacha kujileta kwako. Mwanamke hatafuti mwanaume mwaminifu wa peke ake, anataka mwanaume mwenye thamani ya juu katika circle yake. Ni bora awe demu wa nane kwa Lugumi kuliko kuwa peke ake kwa winga. Sijui utawafanya nini hawa, but either way don't take them serious.

Vile vile, kumbuka pia utakapotoboa na kujiwekea standards mfano bikira, hautaki single mother, hautaki mshangazi wa 30+ n.k, wanajamii watataka kukufundisha morality. Utasikia singo maza ni wapambanaji, sijui past does not matter na ujinga jinga mwingine Wapuuze.

Wakati unahustle hakuna aliekua ana time na opinions zako, kwanini waje kukupangia sasa hivi. Stand firm, don't compromise your standards, be ruthless with your choice, because you earned that power. Power is not meant to be polite.

Don’t be a simp
Mwanamke hajaumbwa kupenda mwanaume ameumbwa kutii na ili mwanamke akutii lazima uwe na mali zitakazomfanya maisha yake yawe mepesi (jumlisha na uume imara hapa) ... Ukiwa na mali utakua na mamlaka huwezi kuwa masikini ukataka mwanamke akutii hilo sahau.

Sasa unapotaka kuoa hakikisha kabisa unajiepusha na mwanamke malaya na wala siyo yule asiyekupenda bali awe anakutii tuu.
 
Ukisikia mtu anasema wanawake wengi wanaolewa na mwanaume wasiempenda, usifikiri anachekesha.
Uhalisia ni kwamba, mwanaune anaoa mwanamke anaempenda, mwanamke anaolewa na mwanaume ambae yupo tayari.
Utakapoweka maisha yako kwenye mstari wanawake watakuona na watakujia na mitego ya kila mamna wakunase.
Hautajua nani shetani nani malaika maana wote watakujia na tabasamu.

watajifanya wema kwa wazazi wako, watawachangamkia marafiki zako n.k.
Women are opportunistics. They can't engage where there is no benefits.
As a man, your value skyrockets with every level you attain. When you rise to the top you bacome the prize.
Don't hand your commitment to any woman who flashes smiles and curves. Fvck her if you must, but keep looking for value.
Usijali sana masuala ya kutaka kupendwa. Hakuna upendo wa bure kwa mwanaume hapa duniani. There is no unconditional love for a man. As a man you will be loved on condition that you're able to provide and protect.
Sio vibaya kupendwa lakini sio kitu cha kulilia au cha lazima.
As a man just focus to be a man no one can ignore. Masuala ya kutaka kupendwa waachie wanawake na watoto.

Vet ruthlessly, you didn't build your life to throw it away on a liability. Check her past. Past is not just a past, it's a pattern of habits and behavior, and the strong predictor of future loyalty.
Judge a woman harshly and ruthlessly based on her past.
Kumbuka hata utakampopata mmoja alienyooka, haimaanishi kwamba na wengine wataacha kujileta kwako.
Mwanamke hatafuti mwanaume mwaminifu wa peke ake, anataka mwanaume mwenye thamani ya juu katika circle yake.
Ni bora awe demu wa nane kwa Lugumi kuliko kuwa peke ake kwa winga.
Sijui utawafanya nini hawa, but either way don't take them serious.
Vile vile, kumbuka pia utakapotoboa na kujiwekea standards mfano bikira, hautaki single mother, hautaki mshangazi wa 30+ n.k, wanajamii watataka kukufundisha morality.
Utasikia singo maza ni wapambanaji, sijui past does not matter na ujinga jinga mwingine Wapuuze.
Wakati unahustle hakuna aliekua ana time na opinions zako, kwanini waje kukupangia sasa hivi.
Stand firm, don't compromise your standards, be ruthless with your choice, because you earned that power. Power is not meant to be polite.
Don’t be a simp
 
Umenikumbusha wimbo wakati tupo vijana tunakua wa Zali la mentali, wapo wanawake ambao wanaume zao wamefanikiwa sana sababu yao.

zali la mentali, limetokea wakati nina njaa, nikapendwa na demu mkali, na kuwaacha watu wakinishangaa mtaa
 
Mwanamke anafundishwa kupenda , kama hauna pesa epuka Wanawake kwa namna yoyote ile, oa ukishajipata kimaisha.
Na sijui kwanini wanaume sikuhizi tunataka sana kupendwa kwanza?

Hii imefanya mageuzi ya tabia za wanawake kutokuwa watiifu na wanaume kutegemea huruma.

Kabla ilikuwa mwanamke anatii halafu upendo unafuata, sasa hivi mwanaume anataka mwanamke ampende halafu aonewe huruma asisalitiwe.

Hii ni ngumu mno kuipractise. Ile ya kwanza ya utii ilifanya kazi ndo maana wanaume walioa hata mke hajawahi kumuona, wanaonana siku wametambulishwa na wazee na ndoa zikadumu.

Ukipata mke mtiifu, mambo yanaenda kuliko ukipata mke anayekupenda tu. Kwanza anapenda nini? sura yako?
 
Na sijui kwanini wanaume sikuhizi tunataka sana kupendwa kwanza?

Hii imefanya mageuzi ya tabia za wanawake kutokuwa watiifu na wanaume kutegemea huruma.

Kabla ilikuwa mwanamke anatii halafu upendo unafuata, sasa hivi mwanaume anataka mwanamke ampende halafu aonewe huruma asisalitiwe.

Hii ni ngumu mno kuipractise. Ile ya kwanza ya utii ilifanya kazi ndo maana wanaume walioa hata mke hajawahi kumuona, wanaonana siku wametambulishwa na wazee na ndoa zikadumu.

Ukipata mke mtiifu, mambo yanaenda kuliko ukipata mke anayekupenda tu. Kwanza anapenda nini? sura yako?
Labda anapenda masikio yaliyo bendi kama ya elves ,wale wa kwenye movie ya lord of rings na hobbit😅
 
Back
Top Bottom