Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Kila la kheri mkuu😄Kwa wewe mwenye nayo.
Kila la kheri mkuu😄Kwa wewe mwenye nayo.
Sio ya lazima mkuu, vigezo ni vingi. Kwanza siku hizi bikra ni kutokuwa single parent.Kila la kheri mkuu😄
Itafika mahala mtaanza na bikra za mavazi, tupo hapa kuwapatia full support!🤝🏽Sio ya lazima mkuu, vigezo ni vingi. Kwanza siku hizi bikra ni kutokuwa single parent.
Hiyo ilikuwa inafuction kipindi cha nyuma lakini Sasa hivi kama mwanamke hakupendi imekula kwako atatafuta pesa kwako mapenzi anaenda kupata sehemu nyingine mfano mzuri Mimi nilipendwa na mdada na nilikuwa siombwi hela ovyo ovyo na amepanga nikaja kujua Kodi inalipwa na mtu mwingine na Mimi hajawahi kuniomba KodiNa sijui kwanini wanaume sikuhizi tunataka sana kupendwa kwanza?
Hii imefanya mageuzi ya tabia za wanawake kutokuwa watiifu na wanaume kutegemea huruma.
Kabla ilikuwa mwanamke anatii halafu upendo unafuata, sasa hivi mwanaume anataka mwanamke ampende halafu aonewe huruma asisalitiwe.
Hii ni ngumu mno kuipractise. Ile ya kwanza ya utii ilifanya kazi ndo maana wanaume walioa hata mke hajawahi kumuona, wanaonana siku wametambulishwa na wazee na ndoa zikadumu.
Ukipata mke mtiifu, mambo yanaenda kuliko ukipata mke anayekupenda tu. Kwanza anapenda nini? sura yako?
Iko wazi 🤗Hiyo ilikuwa inafuction kipindi cha nyuma lakini Sasa hivi kama mwanamke hakupendi imekula kwako atatafuta pesa kwako mapenzi anaenda kupata sehemu nyingine mfano mzuri Mimi nilipendwa na mdada na nilikuwa siombwi hela ovyo ovyo na amepanga nikaja kujua Kodi inalipwa na mtu mwingine na Mimi hajawahi kuniomba Kodi
We njookuna nini mkuu
Yap, tupo kwenye dunia ambayo wanawake nao wana uhuru wa kufanya ngono kiholela holela bila kuwajibishwa na familia wala jamii. Kwaiyo sacrifices na provision kutoka kwa mwanaume sio tena vigezo vya kupata loyalty kutoka kwa mwanamke. Sasa hivi mwanamke kumtii mwanaume au kujitunza mpaka atakapoolewa ni aamue tu yeye mwenyewe. Hakuna mfumo wa kijamii unamuwajibisha kama zamaniHiyo ilikuwa inafuction kipindi cha nyuma lakini Sasa hivi kama mwanamke hakupendi imekula kwako atatafuta pesa kwako mapenzi anaenda kupata sehemu nyingine mfano mzuri Mimi nilipendwa na mdada na nilikuwa siombwi hela ovyo ovyo na amepanga nikaja kujua Kodi inalipwa na mtu mwingine na Mimi hajawahi kuniomba Kodi
Adrew Kibe wa JF.Ukisikia mtu anasema wanawake wengi wanaolewa na mwanaume wasiempenda, usifikiri anachekesha. Uhalisia ni kwamba, mwanaune anaoa mwanamke anaempenda, mwanamke anaolewa na mwanaume ambae yupo tayari. Utakapoweka maisha yako kwenye mstari wanawake watakuona na watakujia na mitego ya kila mamna wakunase. Hautajua nani shetani nani malaika maana wote watakujia na tabasamu.
Watakuendea kwa mchungaji, watakuendea kwa mganga, watajifanya wema kwa wazazi wako, watawachangamkia marafiki zako n.k. Women are opportunistics. They can't engage where there is no benefits.
As a man, your value skyrockets with every level you attain. When you rise to the top you bacome the prize. Don't hand your commitment to any woman who flashes smiles and curves. Fvck her if you must, but keep looking for value.
Usijali sana masuala ya kutaka kupendwa. Hakuna upendo wa bure kwa mwanaume hapa duniani. There is no unconditional love for a man. As a man you will be loved on condition that you're able to provide and protect.
Sio vibaya kupendwa lakini sio kitu cha kulilia au cha lazima. As a man just focus to be a man no one can ignore. Masuala ya kutaka kupendwa waachie wanawake na watoto.
Vet ruthlessly, you didn't build your life to throw it away on a liability. Check her past. Past is not just a past, it's a pattern of habits and behavior, and the strong predictor of future loyalty. Judge a woman harshly and ruthlessly based on her past.
Kumbuka hata utakampopata mmoja alienyooka, haimaanishi kwamba na wengine wataacha kujileta kwako. Mwanamke hatafuti mwanaume mwaminifu wa peke ake, anataka mwanaume mwenye thamani ya juu katika circle yake. Ni bora awe demu wa nane kwa Lugumi kuliko kuwa peke ake kwa winga. Sijui utawafanya nini hawa, but either way don't take them serious.
Vile vile, kumbuka pia utakapotoboa na kujiwekea standards mfano bikira, hautaki single mother, hautaki mshangazi wa 30+ n.k, wanajamii watataka kukufundisha morality. Utasikia singo maza ni wapambanaji, sijui past does not matter na ujinga jinga mwingine Wapuuze.
Wakati unahustle hakuna aliekua ana time na opinions zako, kwanini waje kukupangia sasa hivi. Stand firm, don't compromise your standards, be ruthless with your choice, because you earned that power. Power is not meant to be polite.
Don’t be a simp
Utasikia Malaya wa mtaani na wasomi walisema Do not Judge no one is perfect--dump them mercilesslyJudge a woman harshly and ruthlessly based on her past.
Ok mkuu, Lets say ulipendwa na malaya sawa, unadhani angekuwa mwanamke mtiifu kati yako na anayemhudumia angekuwa mtiifu kwa nani?Hiyo ilikuwa inafuction kipindi cha nyuma lakini Sasa hivi kama mwanamke hakupendi imekula kwako atatafuta pesa kwako mapenzi anaenda kupata sehemu nyingine mfano mzuri Mimi nilipendwa na mdada na nilikuwa siombwi hela ovyo ovyo na amepanga nikaja kujua Kodi inalipwa na mtu mwingine na Mimi hajawahi kuniomba Kodi
Ukiona demu anangangania uwe wa peke yake ujue bado hujawa na hela za kutosha, Akishajua kwako kuna future hajali una mademu wangapi, Mwingine anakwambia Kabisa mimi nipangie hata chumba kimoja tu wala sitakusumbuaNi bora awe demu wa nane kwa Lugumi kuliko kuwa peke ake kwa winga. Sijui utawafanya nini hawa, but either way don't take them serious.
Anayemhudumia!Ok mkuu, Lets say ulipendwa na malaya sawa, unadhani angekuwa mwanamke mtiifu kati yako na anayemhudumia angekuwa mtiifu kwa nani?
Kabisa mkuu.Anayemhudumia!
Kwenye confession page za insta kuna wadada wengi wanalalamika kuwa wanapewa hela na kuhudumiwa almost kila kitu na waume wao, waume wao hawana changamoto yoyote ya kitabia, ila tu ni kwamba waume wao Wana sura mbaya hadi wanaona aibu kuongozana nao, na mood ya ku-sex nao hawana..wanahisi wanabakwa 😮mwanaume hatakiwi kupendwa bali aheshimiwe kwa nguvu zote,, sio maneno yangu ila ni maneno ya mama flani aloambiwa na mama yake
😀 anasboWee ndo unajua Leo?????? Wewe mwanamke yeyote akikukubalia akikisha unamvunja marinda kwanza, maana skuizi mpaka mwanamke akukubali ashaona kwako Kuna manufaa flani.
Vunja marinda bila huruma ndo mengine yaendelee,
Hawa wanawake skuizi wapo kimaslahi sio watu wa kuwahurumia Tena, anapojileta vunja marinda yote
Ndio watu wanavumilia mahitaji zaidi, hali ni tete huko nje!😅Kwenye confession page za insta kuna wadada wengi wanalalamika kuwa wanapewa hela na kuhudumiwa almost kila kitu na waume wao, waume wao hawana changamoto yoyote ya kitabia, ila tu ni kwamba waume wao Wana sura mbaya hadi wanaona aibu kuongozana nao, na mood ya ku-sex nao hawana..wanahisi wanabakwa 😮
Natamani nipate huo moyo ila nashindwa kabisa lol 😂Najaribu kujiweka kwenye viatu vya hao wanaume, probably wanahudumia kwa nzuri, ila wangejua yaliyomo kwenye mioyo ya girlfriends zao, it's very sad win-one Seran ledada Shadeeya Marry Diana
hapana... kumbuka hukuwa na nguvu za kiume na ndiyo akaondoka... si ni yule binti mdogo au? Mwizukulu mgikurumimi mbona alisepa mwenyewe na alikuwa anapata kila kitu........
HahahaMwanamke anaekugeuza retirement plan yake hana tofaut na shetani