Ukifanikiwa kimaisha kabla ya kuoa kuna uwezekano mkubwa ukaoa mwanamke asiye na mapenzi nawe

Ukifanikiwa kimaisha kabla ya kuoa kuna uwezekano mkubwa ukaoa mwanamke asiye na mapenzi nawe

Kwenye confession page za insta kuna wadada wengi wanalalamika kuwa wanapewa hela na kuhudumiwa almost kila kitu na waume wao, waume wao hawana changamoto yoyote ya kitabia, ila tu ni kwamba waume wao Wana sura mbaya hadi wanaona aibu kuongozana nao, na mood ya ku-sex nao hawana..wanahisi wanabakwa 😮

Najaribu kujiweka kwenye viatu vya hao wanaume, probably wanahudumia kwa nia nzuri, ila wangejua yaliyomo kwenye mioyo ya girlfriends zao, it's very sad win-one Seran ledada Shadeeya Marry Diana
to be honest mi siwezi kudate mtu simpendi wala sina hisia nae, nishawahi kujaribu mara moja ila nilishindwa
 
Kwenye confession page za insta kuna wadada wengi wanalalamika kuwa wanapewa hela na kuhudumiwa almost kila kitu na waume wao, waume wao hawana changamoto yoyote ya kitabia, ila tu ni kwamba waume wao Wana sura mbaya hadi wanaona aibu kuongozana nao, na mood ya ku-sex nao hawana..wanahisi wanabakwa 😮

Najaribu kujiweka kwenye viatu vya hao wanaume, probably wanahudumia kwa nia nzuri, ila wangejua yaliyomo kwenye mioyo ya girlfriends zao, it's very sad win-one Seran ledada Shadeeya Marry Diana
Wale walioa kwa nguvu ya pesa
 
Ok mkuu, Lets say ulipendwa na malaya sawa, unadhani angekuwa mwanamke mtiifu kati yako na anayemhudumia angekuwa mtiifu kwa nani?
Na ukitaka kujua Hilo huyo mwanamke akijipata hawezi kuwa na wewe tena uwepo wake kwako ni kwasababu ya hela zako na hata kwenye kutoa mapenzi atakupa kwa kupimia lakini yule anayempenda atakuwa na uhuru simu yake moja tu demu anakuja huo ndio uhalisia wa mademu wa Sasa
 
Mwanamke malaya aridhike na pesa? mkuu, utii na umalaya havikai chumba kimoja, atakuja kwako kwamba anakupenda ila pesa bado zina nafasi kwake sababu hakuna utii. Halafu katika uhalisia hakuna upendo wa 24/7 365days, kuna siku mapenzi hupungua. Kama utii wa kiapo upo ndo huwa unashikilia mahusiano.
 
Uko sahihi lakini kwenye swala zima la kutii, simu moja ya kwenye pesa, ukichelewa pesa huipati! mwenye mapenzi atasubiri kwa sababu si anapenda bwana, atapewa tu kwa wakati wake! Ukipenda lazima uwe mwelewa!
 
Mwanamke malaya aridhike na pesa? mkuu, utii na umalaya havikai chumba kimoja, atakuja kwako kwamba anakupenda ila pesa bado zina nafasi kwake sababu hakuna utii. Halafu katika uhalisia hakuna upendo wa 24/7 365days, kuna siku mapenzi hupungua. Kama utii wa kiapo upo ndo huwa unashikilia mahusiano.
Kwahivyo ni kufake utii, lipi ni lipi?
 
Kwahivyo ni kufake utii, lipi ni lipi?
Mkuu, kama mwanamke ni mtiifu kwa nafsi yake,MUNGU wake na kiapo chake wala hafeki, ule utii ndo unaongoza maamuzi yake. Mwanamke wa aina hii akishindwana na mwanaume kabisa, atahakikisha anaachwa ndo avue nguo kwa mwanaume mwingine. Sasa hivi sidhani kama wapo wa aina hii, nadhani ni nadra sana kuwapata.
 
Ukisikia mtu anasema wanawake wengi wanaolewa na mwanaume wasiempenda, usifikiri anachekesha. Uhalisia ni kwamba, mwanaune anaoa mwanamke anaempenda, mwanamke anaolewa na mwanaume ambae yupo tayari. Utakapoweka maisha yako kwenye mstari wanawake watakuona na watakujia na mitego ya kila mamna wakunase. Hautajua nani shetani nani malaika maana wote watakujia na tabasamu.

Watakuendea kwa mchungaji, watakuendea kwa mganga, watajifanya wema kwa wazazi wako, watawachangamkia marafiki zako n.k. Women are opportunistics. They can't engage where there is no benefits.

As a man, your value skyrockets with every level you attain. When you rise to the top you bacome the prize. Don't hand your commitment to any woman who flashes smiles and curves. Fvck her if you must, but keep looking for value.

Usijali sana masuala ya kutaka kupendwa. Hakuna upendo wa bure kwa mwanaume hapa duniani. There is no unconditional love for a man. As a man you will be loved on condition that you're able to provide and protect.

Sio vibaya kupendwa lakini sio kitu cha kulilia au cha lazima. As a man just focus to be a man no one can ignore. Masuala ya kutaka kupendwa waachie wanawake na watoto.

Vet ruthlessly, you didn't build your life to throw it away on a liability. Check her past. Past is not just a past, it's a pattern of habits and behavior, and the strong predictor of future loyalty. Judge a woman harshly and ruthlessly based on her past.

Kumbuka hata utakampopata mmoja alienyooka, haimaanishi kwamba na wengine wataacha kujileta kwako. Mwanamke hatafuti mwanaume mwaminifu wa peke ake, anataka mwanaume mwenye thamani ya juu katika circle yake. Ni bora awe demu wa nane kwa Lugumi kuliko kuwa peke ake kwa winga. Sijui utawafanya nini hawa, but either way don't take them serious.

Vile vile, kumbuka pia utakapotoboa na kujiwekea standards mfano bikira, hautaki single mother, hautaki mshangazi wa 30+ n.k, wanajamii watataka kukufundisha morality. Utasikia singo maza ni wapambanaji, sijui past does not matter na ujinga jinga mwingine Wapuuze.

Wakati unahustle hakuna aliekua ana time na opinions zako, kwanini waje kukupangia sasa hivi. Stand firm, don't compromise your standards, be ruthless with your choice, because you earned that power. Power is not meant to be polite.

Don’t be a simp
Japo mimi sio muoaji na siwezi kuwaoa, ila singo maza hasa wenye mtoto mmoja ningeomba waongezewe ulinzi na wana sehemu yao ya kuishi huko mbinguni
 
Pesa itatii lakini Kuna namna huyo mwanaume hatapata the best kutoka kwako tofauti kama ungekuwa umempenda
The best ni nini mkuu? Hichi ndo kitu kimeleta mageuzi ya mahusiano ndoa hazidumu, kutaka maisha fulani hivi kama ya tamhilia.

Mkishakuwa marafiki kwamba mnaweza zungumza mipango yenu, kila mtu akasimama kwenye nafasi yake, utii ukachukua nafasi yake, mtazeeka pamoja mengine yote yatakuwa ni ziada. Haya ndo maisha wameishi wazazi wetu walio wengi.

And trust me, mkifanikiwa kukaa muda mrefu, upendo unakuja naturally. Ila kama ni yale mapenzi ya kutaka the best, we wafuatilie wapenzi wa aina hiyo, huwa hakuna discpline, na lifespan yake ni ya homa za vipindi. Leo mmependanaaa, kesho mwanamke kanuna kaenda kulala nje huko.
 
Vijana wanataka wapendwe bila kuwa na thamani yoyote , kwamba binti apende masikio yake kama punda , waje wayachemshe wayale walale
 
Back
Top Bottom