Yupo sahihi, linapokuja suala la security versus love most of the time binadamu atachagua security first and love itakuwa kwa kuibwa ibwa.
Hata wewe hapo ukiambiwa uchague kati ya kazi unayoipenda ila haina kipato na kazi usiyoipenda ila inakupa kipato utachagua usiyoipenda na mara moja moja utajiiba ufanye ile unayoipenda na ikitokea umebanwa basi unayoipenda utaitelekeza.
Sasa kwenye mahusiano utii ndo kama kufuli, mwanamke akikutii, hata kama sababu ya kuja kwako ni pesa as long as si malaya na ni mtiifu kwa nafsi yake na kiapo chake una nafasi kubwa ya kutoshuhudia akikusaliti, ila akikupenda akaja kwako halafu akakosa security kama hana utii wa nafsi yake una nafasi kubwa ya kushuhudia akikusaliti.