Hakika mkuuKupenda na umri kuna uhusiano mkubwa sana. Umri unavyoenda unapitia mahusiano kadhaa, na kadili unavyoongeza idadi ya mahusiano na uwezo wa kutengeneza bond unapungua
Kiapo kipi mkuu? Mi nazungumzia ndoa zote mpaka sogea tukae….usinibadilishie KiswahiliHapa unachokisema ni mkifanikiwa kuwa watiifu kwenye kiapo chenu mmetoboa.
Kichwa cha mwanamke kina mambo ya ajabu mno kikishavurugika hata kama kilikuwa sawa wakati unaitoa huyo bikira. Najua mkuu Natafuta Ajira hatokubaliana na mimi.Bora wewe unamuelewa mwanamke vizuri wengine naona wanajitungia tu story za vijijini wanaleta mjini! Chunguza hata mwanaume ambaye ameoa, anaishi na mwanamke vizuri tu kuna utii, upendo na masikilizano! Baadaye mwanamke akipigwa matukio si unajua kifuatacho? Huwa hatugeuki nyuma..! Sasa yote hawayaoni wao ni bikra tu mengine mtajua wenyewe! Baada ya kutumbua cealed what next??
Kwahivyo una maana ya kuwa mwanaume anatakiwa kuwahi bikra na ule upendo wa kwanza? Binti akiolewa hafikishi 30s? Akifikisha upendo ukiisha unaamsha kutafuta kigoli kipya? Unaoa ili iweje? Do u even know why people marry?Kupenda na umri kuna uhusiano mkubwa sana. Umri unavyoenda unapitia mahusiano kadhaa, na kadili unavyoongeza idadi ya mahusiano na uwezo wa kutengeneza bond unapungua
Hata sogea tukae ni kiapo. As long as mmekubaliana kuwa nyinyi ni wapenzi, na mtakuwa waaminifu hicho ni kiapo kwa nafsi zenu. Labda kama hamjakubaliana mmeamua muunganishe tu makojoleo kama mbwa wanavyofanya.Kiapo kipi mkuu? Mi nazungumzia ndoa zote mpaka sogea tukae….usinibadilishie Kiswahili
Unaitikia tu kama kipofu! Ngoja bwana mkubwa awaongozee mpaka familia zenu!Hakika mkuu
Hajapambanishwa huyu ndio Maana! Na alivyo mjanja anakimbilia vijijini kujiokotea mapunguwani! Angepambana hapahapa mjini na kina sie tumuoneshe shughuli🤣⚔️Kichwa cha mwanamke kina mambo ya ajabu mno kikishavurugika hata kama kilikuwa sawa wakati unaitoa huyo bikira. Najua mkuu Natafuta Ajira hatokubaliana na mimi.
After all wewe you are real man, even if you have no money in your pocket, I mean zero account😀😀😀 Mimi huwa naambiwa "hata ukitaka kubeba nguo zako ukalale uko wiki nzima ni sawa, muhimu hela ya matumizi nyumbani iwepo"
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu Natafuta ajira mimi tayari nishajikaanga naishi na single mother aggregate ya 1-0 unachopaswa kunishauri ni jinsi gani naishi naye
Uzi ufungwe.Mwanamke anafundishwa kupenda , kama hauna pesa epuka Wanawake kwa namna yoyote ile, oa ukishajipata kimaisha.
Usimdanganye mwenzio mkuu!After all wewe you are real man, even if you have no money in your pocket, I mean zero account
[emoji23][emoji23][emoji23]Na watu wengi wanaoa wakifanikiwa!
Tragedy of miscalculation. [emoji16]
DuhUko sahihi, ila kumbuka kukutana na mtu sahihi ni kama kubet! Labda usijihusishe na uzinzi usubiri ndoa tu! Kuna vijana wanakuja kama waoaji ila ni katapeli mbwa koko! Ukijikwaa tu imo! Anakuacha kwenye mataa unasema hurudii unakaa miaka kadhaa anaibuka shetani mwingine! Mwisho wa siku unajumuishwa kwenye kundi la malaya! Haya mambo bwana..
Huyu Mwamba ni Mwanaume hasa, anajielewa vizuri mnoUsimdanganye mwenzio mkuu!
Vipi mkuu?
Hii vita unayoanzisha wala siingilii.Hajapambanishwa huyu ndio Maana! Na alivyo mjanja anakimbilia vijijini kujiokotea mapunguwani! Angepambana hapahapa mjini na kina sie tumuoneshe shughuli🤣⚔️
Sawa ila sio katika ulimwengu huu asubiri ujao!Huyu Mwamba ni Mwanaume hasa, anajielewa vizuri mno