Ukifanikiwa kimaisha kabla ya kuoa kuna uwezekano mkubwa ukaoa mwanamke asiye na mapenzi nawe

Ukifanikiwa kimaisha kabla ya kuoa kuna uwezekano mkubwa ukaoa mwanamke asiye na mapenzi nawe

Km Kigezo ni Bikra, basi mtaimba sana pambio humu ndani, hadi pale mtakapo tambua nini yapaswa mfanye.
Ninayoyaona huku mtaani, nawahurumia mno waoaji wa kigezo cha BK,
sijasema hazipo, ila kwa uchache sana.
Sasa wakuonewa huruma ni waoaji au hao ambao hawana bikira. Maana kutokua bikira maana yake ashaanza uzinzi kabla hajaolewa, na ndie atakaekutana na consequences za uzinzi mfano magonjwa, mimba zisitorajiwa n.k kivipi aonewe huruma muaji ambae hakutani na hizo consequences.
 
Ni vizuri zaidi kumwahi mwanamke kabla hajawa na list ndefu ya wanaume. Ikishindikana kuwa wa kwanza basi uwe angalao wa pili.
Duhh hii mpya aisee!
30+ ikimkuta mwanamke ashaolewa haina shida lakini kama mwanamke yupo single inamkuta tayari ana mtazamo tofauti wa kimaisha na trauma kutoka mahusiano yake ya nyuma. Ni ngumu sana kupenda wholesome katika age hiyo.
Duhh hatari hii! Najifunza mambo mapya!
 
Km Kigezo ni Bikra, basi mtaimba sana pambio humu ndani, hadi pale mtakapo tambua nini yapaswa mfanye.
Ninayoyaona huku mtaani, nawahurumia mno waoaji wa kigezo cha BK,
sijasema hazipo, ila kwa uchache sana.

Sawa bikra hazipo, ila mjitahidi muoaji akute mali angalau ina mazingira mazuri. 😁
 
Ni vizuri zaidi kumwahi mwanamke kabla hajawa na list ndefu ya wanaume. Ikishindikana kuwa wa kwanza basi uwe angalao wa pili.

30+ ikimkuta mwanamke ashaolewa haina shida lakini kama mwanamke yupo single inamkuta tayari ana mtazamo tofauti wa kimaisha na trauma kutoka mahusiano yake ya nyuma. Ni ngumu sana kupenda wholesome katika age hiyo.
Naunga mkono hoja huko 30 mbali uharibifu ni 26+. Mimi nilikutana na manzi mmoja yupo kwenye age ya 26 yeye alikuwa muwazi kwangu kwa kweli yule manzi aliniambia alikuwa kwenye mahusiano na Wanaume 7 na hapo hatujazungumzia na wale wa kimasiala tulianza vizuri baadae akaanza kunivuruga akaanza kunicheat ndio nikajua kwanini alishindwana na Wanaume 7
 
Kwahiyo huyo manzi yako
Ndio muwakilishi wa wanawake wote?
 
Ndio maana nikimtizama Lebron James, Messi na Snoop Dog wana bahati sana kwani wamewaoa wapenzi wao wa ujanani wakati wakiwa wanajitafuta. Ila hawa masuper star walioa baada ya maarufu huangukia kwa mamodel/slay queen na mabinti, warembo wengi wameishia kuugulia maumivu na kugawana mali zao. Magold digger wapo serious sana, wanajua kutega na kujitongozesha kwa wanaume matajiri na wanajua kunyenyekea ili tu malengo yao ya timie.

Ukiwatizama watu wengi wenye hela walio fanikiwa kwenye maisha ya ndoa, basi walio wanawake wa utotoni au kipindi cha ujana wao wakiwa wanajitafuta.
 
Mwanamke hajaumbwa kupenda mwanaume ameumbwa kutii na ili mwanamke akutii lazima uwe na mali zitakazomfanya maisha yake yawe mepesi (jumlisha na uume imara hapa) ... Ukiwa na mali utakua na mamlaka huwezi kuwa masikini ukataka mwanamke akutii hilo sahau.

Sasa unapotaka kuoa hakikisha kabisa unajiepusha na mwanamke malaya na wala siyo yule asiyekupenda bali awe anakutii tuu.
Hawajakataa ila wengi wao wanakosa utu. Ndio maana siku hizi US kuna vugu vugu la kupitia sheria mpya za ndoa na Alimony, sio binti kaolewa mwaka, then mkiachana anataka nusu ya mali na umlipe Alimony mpaka siku ya kuondoka duniani,hii kitu ndio inayo waumiza wanaume wengi wa ulaya. Ndio maa US asilmilia sabini ya talaka zinakuwa initiated na wanawake sababu wanajua wanaenda kupiga fedha.
 
Back
Top Bottom